BAKOI
JF-Expert Member
- Jan 31, 2016
- 1,211
- 2,330
Ndio ishatafuna kwenu nchi hampewi ng'o mtawakilishwa tu bungeni😉😉😉😉
Ndo maana tunazidi kuwa na maendeleo sasa wewe mgogo endelea kufa njaa hapo Dodoma kwwnu kwa kuishabikia ccm
Ndio ishatafuna kwenu nchi hampewi ng'o mtawakilishwa tu bungeni😉😉😉😉
kweli, mimi hawa jamaa nawakubali kuwa wana uthubutu, always wanataka kujua upande wa pili una nini? mfano wamezaliwa Kilimanjaro lakini wakajiuliza kwani nje ya Kilimanjaro kuna nini? tukiachana na Kilimanjaro kwani tutakutana na nini huko? ndio maana wakasepa wakaenda kujaribu kwingine na wameenea kila mahali,,...Wanajitambua,lindi,
Ni kawaida ya mtu aliyeerevuka kutaka mabadiliko kila mara!Lindi,dodoma,katavi,rukwa,ruvuma,singida,tabora pamoja na kuwa na umasikini wa kutupwa wanaikumbatia ccm.
Born on August 4, 1961, in Honolulu, Hawaii...kitu kingine ni MOBILITY ya wananchi wa maeneo mbalimbali ya Tz.
..Wachaga wanaongoza kwa kuhama Kilimanjaro kwenda kutafuta fursa maeneo mengine ya Tz.
..sasa watu wanalalamika kuwa Wachaga wanapendelewa, wakati Wachaga wenyewe wanakimbia Kilimanjaro.
..kuna haja ya kubadili mentality ya wa-Tz. Kama eneo unaloishi halina fursa au serikali imesahau kupelekea maendeleo basi ni vizuri mtu akahama kwenda kuishi kule kwenye huduma nzuri.
..Chukulia mfano Marekani. Obama amezaliwa Hawaii, amesoma New York, amekwenda kufanya kazi Chicago/Illinois. Alipokuwa anagombea Uraisi alikuwa anajulikana kama the junior senator frm Illinois.
Imetafunaje mkuu wakati mimi kijijini kwangu kuoga asubuhi nawasha heater then naoga kwa shower angali wewe kijijini kwenu unatembea kilomita 5 kusaka maji na bado ukiyapata unayachemsha kwa kuni...Ndio ishatafuna kwenu nchi hampewi ng'o mtawakilishwa tu bungeni😉😉😉😉
Sasa waligoma kwenda kwao ni maramoja baada ya miaka 10Kilimanjaro (hasa Uchagani)kweli ukienda kila barabara kubwa zinazoenda kwenye majimbo zina lami, pia kuna umeme kwa kitu kama 70% hivi, maji safi ni kama 80% hivi, zahanati na shule zipo karibia kila kijiji, japkua nyingi zimejengwa na wananchi wenyewe
lakini kitu cha ajabu kuliko vyote hawa ndio watu ambao hawaipendi CCM, eti haijfanya kitu miaka 50
Unazi wa ccm na umasikini ni kama kiapo cha mke na mume, " wewe ni wangu wa maisha hadi kifo kitutenganishe"Nimeanza kuhusianisha CCM na laana!!!
KLM pamoja na mwalimu kujitahidi kuifinya lkn imesonga mbele sana!!!
Ukiacha huko mikoa yenye miji pinzani na CCM imekua sana
Kuna uhusiano gani kati ya unazi wa ccm na umasikini?
Labda wanajua hivyo vyote wamevipataje! Sio kila kitu kimeletwa na sisiem.Kilimanjaro (hasa Uchagani)kweli ukienda kila barabara kubwa zinazoenda kwenye majimbo zina lami, pia kuna umeme kwa kitu kama 70% hivi, maji safi ni kama 80% hivi, zahanati na shule zipo karibia kila kijiji, japkua nyingi zimejengwa na wananchi wenyewe
lakini kitu cha ajabu kuliko vyote hawa ndio watu ambao hawaipendi CCM, eti haijfanya kitu miaka 50
Mimi ni Mtanga original ila nauliza haya mambo yalisha semwa sana kwa muda sasa ila mbona simuoni mkubwa flani wa Kilimanjaro pale juu toka Mzee Msuya ukiondoa Prof.Maghembe kwa sasa labda Kilimanjaro ina ngekewa basi,ila tukumbuke kwa muda mrefu sana K'njaro ili ongoza na ina ongoza mpaka leo kwa kuwa na mashule mengi ya Sekondari katika nchi hii kwanini tusidhani ina weza kuwa ndio chachu ya maendeleo kwa mkoa ule kwa kuwa na wasomi wengi awali zile mpaka sasa ? pia mawaziri wa elimu makini sana wawili kupata kutokea walitoka K'njaro S. Eliufoo na C.Mgonja,sina hakika Kigoma ilikuwa na shule ngapi ukiondoa hizi za hivi karibuni za mshikemshike.Leo wakichangia mpango wa maendeleo wa miaka 5 baadhi ya wabunge akiwemo zitto kabwe,Amesema serekali imekuwa ikipendelea mkoa wa kilimanjaro kwa miaka mingi na kuisahau baadhi ya mikoa mingine.
Zitto ameyasema hayo baada ya mbunge wa Rombo Joseph selesini kuomba mwongozo kwa Chenge na kusema,Serekali inatoa tamko gani kwa hii tabia ya wabunge kuona mkoa wa Kilimanjaro unapendelewa?Mwenyekiti wa bunge ameiagiza serekali itoe tamko juu ya swala hilo,Maana linaweza kuligawa taifa na kuleta mtafaruku.
Hivi mi najiulizaga,maendeleo ya Kilimanjaro ni ya asili au ni ya upendeleo?
Mbona sisi hatukai kwenye mikoa yetu mbona hatujipi sifa za kijinga namna hiikweli, mimi hawa jamaa nawakubali kuwa wana uthubutu, always wanataka kujua upande wa pili una nini? mfano wamezaliwa Kilimanjaro lakini wakajiuliza kwani nje ya Kilimanjaro kuna nini? tukiachana na Kilimanjaro kwani tutakutana na nini huko? ndio maana wakasepa wakaenda kujaribu kwingine na wameenea kila mahali,,...
kwenye siasa tena wakajiuliza kwani nje ya ccm kuna nini? tusipoichagua ccm tukachagua kwingine kwani itakuaje?
wakaamua kujaribu upinzani
Rudi kwenye hoja ya msingi kwamba mkoa Wa Kilimanjaro unapendelewa sio una maendeleo.hoja hapa ni kupendelewa sio maendeleoHivi wabunge wanajua kazi yao? Mfano serikali inapeleka bajeti bungen, halafu wewe mbunge unaona kabisa haijaligusa jimbo lako badala kusimama na kuhoji na kuishinikiza serikali wewe kwasababu ni CCM unaunga mkono kuwakomoa wapinzani. Matokeo yake ndio haya. Kingine kama serikali imesema itajenga barabara ya lami katika jimbo lako na baada ya mwaka haijafanya hivyo then unaacha kuhoji unawazomea wapinzani wakati wanahoji. Mtu kama msukuma hivi wananchi wako wamekutuma kuomba serikali ihalalishe bangi? Halafu mnashangaa kwanini KLM imeendelea na kwanini hawaitaki CCM. Bunge simamieni serikali acheni ushabiki
KLM iko mbele hata kabda ya uhuru, ndio maana nyerere alikwama na sera ya vijiji vya ujamaa. Hakuna kupendelewa wala nini, watu wameelimika, watu wanajituma, na wanasiasa wanajituma sio washabiki kama wengine. Desemba wakati wanarudi kwao mnawacheka mnasema wanaenda kuhesabiwa. Jibu ni kuwa wanapenda kwao wanapaendeleza kwao.Rudi kwenye hoja ya msingi kwamba mkoa Wa Kilimanjaro unapendelewa sio una maendeleo.hoja hapa ni kupendelewa sio maendeleo
Bila shaka hujaangalia tarehe ilipotoka habari hii. Yaani kuwepo kwako Tanzania basi umejiona upo dunia ya kwanza; usiongee hadharani, utachekwa!Upo dunia ya ngapi wewe ????
Prof. Maghembe si waziri wa maji !
Acha blaa blaa