Zitto: Mkoa wa Kilimanjaro unapendelewa na Serikali

Zitto: Mkoa wa Kilimanjaro unapendelewa na Serikali

Yapi ambayo Kilimanjaro wamependelewa? Huyu ana lake Jambo!

Labda A. Msando wa ACT anayajua kwa sababu yeye ametokea huko.

Hivi bandari mpya, EPZ, Majengo mapya Muhs yana jengwa wapi?
Msando anatokea porini maeneo ya chekereni kijiji cha mtakuja ni interior kinoma
 
Test ya mwisho tumempa madiwani wote ili tukija kumuhukumu asilalamike
Maana alisema hatukumpa uwezo wa kuunda halmashauri sasa timempa ole wake achemke chadema rombo ituandalie MTU mwingine sio Yeye tena ila na ccm akija MTU anaejali ya kwetu tutampa tu
kwa nionavyo ccm hawawezi kuchaguliwa tena kule kwenye ubunge bro, kwa sasa hivi hii mambo ya "ukanda" iliyopandikizwa na ccm imewafanya watu hata wachaga waanze kuamini chadema ni chama cha wachaga kweli, huko mbele naona Kilimanjaro na arusha zitakua stronghold za Chadema kutokana na hizi propaganda, kama pemba ilivyo kwa cuf
 
Waziri Maghembe akabwa koo
BY SHARON SAUWA
25th April 2013
Email
Print

Waziri wa Maji, Profesa Jummanne Maghembe.
Wabunge wamempa wakati mgumu Waziri wa Maji, Profesa Jummanne Maghembe, baada ya kumtuhumu kuwa anajipendelea kutokana na kupeleka Sh. bilioni 32 katika miradi ya maji kwenye wilaya ya Mwanga anayotoka huku fedha za uchangia wa miradi ya maji katika vijiji 10 kwa kila halmashauri nchini ikitengewa Sh. bilioni 13 tu.

Aidha, Waziri huyo amebanwa na Mbunge wa Mwibara, Khangi Lugola (CCM), akitaka athibitishe ukweli wa taarifa alizosoma katika bajeti yake ya mwaka 2013/14 aliyoiwasilisha jana kwamba bomba lenye urefu wa kilometa 23.5 limetandazwa katika wilaya ya Bunda, mkoani Mara.

Hotuba ya Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni iliyosomwa na Mbunge wa Viti Maalum, Cecilia Pareso, ilisema katika hotuba ya bajeti ya mji wa Same-Mwanga, mradi umetengewa Sh. bilioni 32 na kati ya fedha hizo, Sh. bilioni 20.6 ni fedha za ndani.

“Na katika miradi yote ya maendeleo ya mwaka huu ya maji hakuna mradi mwingine wowote ambao umetengewa kiasi kikubwa cha fedha za ndani, isipokuwa mradi wa kuboresha huduma za maji katika jiji la Dar es Salaam ulitengewa Sh. bilioni 43,” alisema Pareso.

Alisema kambi hiyo inataka kupata maelezo ya kina kama fedha zinaweza kutolewa wakati upembuzi yakinifu haujatolewa kwa miradi husika.

“Je, ni kwanini maeneo mengine yanashindwa kupatiwa fedha kwa kigezo kuwa upembuzi yakinifu bado mshauri hajakamilisha?” alihoji.

Alisema suala hilo linapaswa kutolewa maelezo ya kina ili kuondoa manung’uniko ya dhana ya upendeleo katika miradi ya maji na hasa huo ambao ni kwenye wilaya anayotoka Waziri Maghembe kutengewa fedha kabla ya upembuzi yakinifu kukamilika.

“Jambo hili ni hatari sana na hasa ikizingatiwa kuwa mradi huu haukuwa kwenye mpango wa bajeti wa mwaka 2012/2013, sasa leo fedha zinaondolewa kwenye miradi mingine na kurundikwa kwenye wilaya anayotoka Waziri wa Maji au ni nini kilipelekea mgawanyo huo wa fedha?” alihoji.
Upo dunia ya ngapi wewe ????
Prof. Maghembe si waziri wa maji !
Acha blaa blaa
 
ni sawa na mtoto ukimdekeza pamoja na kumpa kila kitu bado hataridhika na kutaka zaidi na kuona wenzake hawastahili kupata
ila hawa watu wanajiongeza wenyewe, mtoti anayedekezwa huwa hajiongezi mwenyewe
 
Hiyo ya return ni uongo kabisa. Sijaona Domestic Revenue Collection ikiwa kubwa kuliko Mbeya au Mwanza kwa mfano. Nakubaliana kuhusu watu wa Kilimanjaro kielimu wako vizuri tofauti na maeneo mengine(siyo yote), lakini pia kujituma kusaka noti kwa njia yoyote(halali na yoyote), lakini hizo ni pesa individual, lami na miuondombinu mingine mikubwa siyo pesa za mfukoni kwa mtu, bali ni kutoka fuko kuu la hazina ya Taifa


Hiyo domestic revenue itatoka wapi Kama MKOA viwanda Karibu vyote vilikufa ......na wafanyabiashara wakahamia mikoa mingine ambapo wanalipa Kodi
 
Upinzani wenyewe hakuna lolote jipya walilofanya hadi sasa hvi ukiachilia mbali yaliyofanywa na serikali ya ccm
 
Mkoa wa Kilimanjaro ni mdogo sana ukitengeneza kilometa 200 za barabara ujue eneo kubwa la mkoa litanufaika. Angalia mkoa wa Pwani una km ngapi za barabara za lami. nadhani ni zaidi ya kilimanjaro.
pili maendeleo ya mkoa huu yanatokana na historia yake. kuna suala la elimu na uchumi wa watu mkoa huu. hivi vimechangia sana.
Kabla ya kusema mkoa huu unapendelewa tuangalie mijini na hasa majiji je hayana kila kitu? kwa nn tusiseme pia kuna upendeleo?
 
Wanajitambua,lindi,
Kilimanjaro (hasa Uchagani)kweli ukienda kila barabara kubwa zinazoenda kwenye majimbo zina lami, pia kuna umeme kwa kitu kama 70% hivi, maji safi ni kama 80% hivi, zahanati na shule zipo karibia kila kijiji, japkua nyingi zimejengwa na wananchi wenyewe
lakini kitu cha ajabu kuliko vyote hawa ndio watu ambao hawaipendi CCM, eti haijfanya kitu miaka 50
Ni kawaida ya mtu aliyeerevuka kutaka mabadiliko kila mara!Lindi,dodoma,katavi,rukwa,ruvuma,singida,tabora pamoja na kuwa na umasikini wa kutupwa wanaikumbatia ccm.
 
Halmashauri ya manispaa ya mji wa Moshi si ya kubezwa,
 
ila umeme, maji na barabara, waishukuru serikali
Maji Noo. Sehemu kama wilaya ya HAI kwa Mbowe ni kanisa. Wajerumani waliisaidia ELCT kuvuta maji toka mt kili na kuyasambaza.
 
Hawa hawapaswi kupewa nchi kwani mawazir kutoka huko keki ya taifa walikuwa wakiipelekea kilimanjaro tu baada ya kugawa pasu kwa pasu. Maselfish sana
 
Hawa hawapaswi kupewa nchi kwani mawazir kutoka huko keki ya taifa walikuwa wakiipelekea kilimanjaro tu baada ya kugawa pasu kwa pasu. Maselfish sana


Waambie na wamji wako walichaguliwa wawe pia maselfish
 
Mwambie kiongozi Mkuu wa ACT-UJIJI 2020,aungane Na maCCM wenzie, agombee Urais, ili na yeye aipendelee MWANDIGA.
Teeeeeeeeh teeeeeeeeh teeeeeeeeeh teeeeeh teeeeeeeeeh teeeeeeeeh
Cc mcubic
Cc MOTOCHINI
 
Back
Top Bottom