Zitto: Mkoa wa Kilimanjaro unapendelewa na Serikali

Chagua upinzani banaaa hapo Moro majimbo 3 wamechagua upinzani baada ya miaka 5 morogoro yote itakuja kuchagua upinzani hawa wabunge wa upinzani uzuri wao hawakai kimya pale wanapoona shida jimboni kwao haijatatuliwa hii ndio inaipa upinzani ukuaji kila siku hata huko kilimanjaro ndugu zangu wasiha walistuka ndugu zangu wa same walistuka moshi vijijini wakastuka kuona maendeleo mbona yanadumaaa kulinganisha na majimbo mengine wakagundua shida ni ccm wakaitupa kwenye dastibini
haya mr. kimario, bruno kimz ni ndugu yako nini, anaitwa bruno kimario au ndio wewe?
 
Leo wakichangia mpango wa maendeleo wa miaka 5 baadhi ya wabunge akiwemo Zitto Kabwe,Amesema serikali imekuwa ikipendelea mkoa wa Kilimanjaro kwa miaka mingi na kuisahau baadhi ya mikoa mingine.

Zitto ameyasema hayo baada ya mbunge wa Rombo Joseph Selasini kuomba mwongozo kwa Chenge na kusema,Serekali inatoa tamko gani kwa hii tabia ya wabunge kuona mkoa wa Kilimanjaro unapendelewa?

Mwenyekiti wa bunge ameiagiza serikali itoe tamko juu ya suala hilo,Maana linaweza kuligawa taifa na kuleta mtafaruku.

Hivi mi najiulizaga,maendeleo ya Kilimanjaro ni ya asili au ni ya upendeleo?
ni upendeleo wa serikali kwa kuwa ulikuwa kama miji ya kitalii arusha na kilimanjaro kumbe wakaazi wamekuwa walevi mpaka akina mama wanakodisha wanaume kutoka kenya
 
Mkuu umeandika nilichotaka kuandika. Mimi ninayo mengi tu kuhusu upendeleo wa serikali yetu kwa mikoa ya Kilimanjaro na jirani zao wa Arusha. Hii mikoa miwili ni mikoa ya ambayo inaendelea kupata upendeleo wa maendeleo kutoka serikalini kwa kipindi kirefu tu, na wakati mwingine si kwa sababu eti ni mikoa ya utalii.

Kuna ambao wanasema eti Kilimanjaro imepata maendeleo kwa sababu imechagua upinzani, hawa nawahurumia kwa sababu hawajui kama hawajui kwamba kabla hata ya mfumo wa vyama vyingi kuingia nchini, mikoa hiyo miwili ilipendelewa na serikali kupata maendeleo tofauti na mikoa mingine.

Mfano ni wakati wa Nyerere ukitoa mkoa wa Dar es Salaam, mikoa ya Lindi na Mtwara ilitakiwa kuwa na barabara ya kiwango cha rami, lakini mpango huo ukasitishwa upakelekwa Kilimanjaro na Arusha.
 
Kilimanjaro (hasa Uchagani)kweli ukienda kila barabara kubwa zinazoenda kwenye majimbo zina lami, pia kuna umeme kwa kitu kama 70% hivi, maji safi ni kama 80% hivi, zahanati na shule zipo karibia kila kijiji, japkua nyingi zimejengwa na wananchi wenyewe
lakini kitu cha ajabu kuliko vyote hawa ndio watu ambao hawaipendi CCM, eti haijfanya kitu miaka 50

Ndiyo sababu tumechagua upinzani jaribu uone.
 
wewe unahisi labda ni kwa nini wanapendelewa?
 
Mimi binafsi sijafanya utafiti kujiridhisha kwamba ni kwa nini wanapendelewa ingawa utafiti unaonesha wakati wa utawala wa Nyerere maendeleo katika mikoa hiyo miwili yalipewa kipaumbele kutokana na itikadi za kidini.
 
wewe ni muisilamu?
 
Kilimanjaro ni mgonjwa mwenye ahueni katika wagonjwa mahututi. Ndiyo nafuu hiyo tunayojadiliana hapa?
 
Kilimanjaro watu wana uzalendo wakuzaliwa, anayepata hela lazima awekeze kwao ni wachache sana ambao hawajawekeza kwao sio wanawake sio wanaume home kwanza mengine baadae watu matajiri wanajitoa kweli kwa maendeleo ya kule, wananchi huwa wanachangia sana shughuli za maendeleo kujenga shule,zahanati,kuchimba mitaro n.k watu wengine hawaahieikiani wakipata hela ni kuweka heahima bar, mavazi mjini vijijin kwao wanajisahaulisha halafu wakibaki nyuma mapovuuu zindukaaa
 
Mkuu umeandika nilichotaka kuandika. Mimi ninayo mengi tu kuhusu upendeleo wa serikali yetu kwa mikoa ya Kilimanjaro na jirani zao wa Arusha. Hii mikoa miwili ni mikoa ya ambayo inaendelea kupata upendeleo wa maendeleo kutoka serikalini kwa kipindi kirefu tu, na wakati mwingine si kwa sababu eti ni mikoa ya utalii.

Kuna ambao wanasema eti Kilimanjaro imepata maendeleo kwa sababu imechagua upinzani, hawa nawahurumia kwa sababu hawajui kama hawajui kwamba kabla hata ya mfumo wa vyama vyingi kuingia nchini, mikoa hiyo miwili ilipendelewa na serikali kupata maendeleo tofauti na mikoa mingine.

Mfano ni wakati wa Nyerere ukitoa mkoa wa Dar es Salaam, mikoa ya Lindi na Mtwara ilitakiwa kuwa na barabara ya kiwango cha rami, lakini mpango huo ukasitishwa upakelekwa Kilimanjaro na Arusha.
Ukiacha hiyo barabara, tafadhali tuambie na mambo mengine ambayo Nyerere alipendelea huko, au hata Mwinyi na Mkapa...
 
Usipende kila kitu kutafuniwa, na wewe fanya utafiti kujua ni kwa nini Watanzania wa mikoa mingine tunalalamika upendeleo wa maendeleo kwa mikoa ya Kilimanjaro na Arusha.
 
Mimi sijaona ndio maana nikakuuliza wewe... After all watu wa huko wanawalalamikia sana kwa kuua KNCU yao ambayo ndiyo ilikuwa ikiwapelekea maendeleo wao na sio serikali... Naweza kukutumia PDF ya kitabu nilichosoma, ni Thesis iliyoandikwa na THOMAS FISHER akitafuta PhD yake kule University of Edinburgh... Nadhani ukiisoma hii Doc kuna hasira zako nyingi juu ya kabila hili na watu wa kule kwa ujumla zitaondoka kwako... Nimekuwekea hapo kwenye attachment kipakue mwenyewe ukipitie kidogo
 
Mkuu, unaonekana unajadili kitu usichokijua na ndio maana nimekwambia fanya utafiti usipende kila kitu kutafuniwa.

Nimekusoma mahali ukijaribu kuniaminisha kwamba maendeleo ya mkoa wa Kilimanjaro serikali haihusiki...hapa sijakuelewa. Lakini pia hakuna mwenye chuki na kabila la Wachagga, tunachojadili hapa ni upendeleo wa serikali katika kugawa keki ya taifa katika mkoa wa Kilimanjaro na jirani zao wa Arusha.
 
Mkuu wangu, Boss kubwa mimi nimesoma kitabu cha mtu aliyefanya utafiti na si mboyoyo... Na mimi nimemwamini yeye sababu hata nikiwa kule watu wa kule wanasema hivyo... Sasa naomba unipe E-mail nikutumie hicho kitabu then ujisomee alafu urudi hapa kupinga vizuri, na upinge kwa hoja sio siasa... Shukrani
 
Sawa mkuu, n'takutumia hiyo E-mail.
 
Kilimanjaro (hasa Uchagani)kweli ukienda kila barabara kubwa zinazoenda kwenye majimbo zina lami, pia kuna umeme kwa kitu kama 70% hivi, maji safi ni kama 80% hivi, zahanati na shule zipo karibia kila kijiji, japkua nyingi zimejengwa na wananchi wenyewe
lakini kitu cha ajabu kuliko vyote hawa ndio watu ambao hawaipendi CCM, eti haijfanya kitu miaka 50
Watu wanajituma na wanafanya kazi kwa maendeleo yao mkuu.

Kama Nkapa tu kakimbia nyumbani kwake kahamia lushoto na alikuwa rais wa nchi ambaye angeweza kupeleka maendeleo kwake.
Hapo unafikiria nini?

Kuna watu haeapendi na hawaheshimu kwao, hilo ni tatizo kubwa sana
 
Back
Top Bottom