Unajua fika kuwa hiyo sio sababu!
Unaweza kuangalia idadi ya majipu na kasi ya maendeleo!
KLM kuna majipu ya aina mbili!
Moja ni lile la viongozi waandamizi wa ßerikali kama mawaziri waliokuwa wanajipendelea ktk bajeti
2. Wakurugenzi na viongozi wengine kama makatibu wakuu waliokuwa wakiajiri vikosi kazi toka kwao, kuboresha miradi mbalimbali ya kwao, Hawa waliokosa uzalendo na kuona KLM kwanza!
Pamoja na hayà ni kweli watu wa KLM wanabidii na wanachukia umaskini na ndio maana wanayafanya yote hayo!
Tusiwalaumu kwa kupenda nyumbani kwao, tuwalaumu pale wanapopindisha mambo, lkn ni dhahiri sisi Wengine hatupendi kwetu kama wachaga na wapare wanavyokupenda nyumbani kwao!
So zitto pamoja na ukweli wako sio serikali tu inayopendelea KLM Bali hata wananchi wa KLM wanapendelea kwao, ni wakati wako pia kuhamasisha wana kigoma kupakumbuka nyumbani!