Taifa kwanza na mbunge mmoja bungeni hahahahACT sisi ni TAIFA kwanza
Membe ni Nani katika siasa za Tanzania,JK alihitaidi ambebe lkn hakubebeka,asubiri huruma ya Magufuli tu
hongera sana mh.zitto.ni dhahiri kuwa zitto ni mwanasiasa imara kama dkt.agustino mrema.
ameongelea akiwa wap?
Kidundumila, atapewa vyeo kedekede, lkn ukweli utakuja fichukaakwani baba atampa sifa mbaya mtoto wake wa kumzaa?
Arovera hivyo ndivyo wanavyokufa kisiasa na yote mema waliyotenda hufutikaa katika historiaaKweli zzk ni shujaa kama Mrema na anafaa sana ktk nji hii