minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 23,505
- 22,516
Washauri wapambe wake akina Cyprian musiba, le mutuz na wenzao ndiyo wanamshikikazaMtawala analitafutia taifa matatizo makubwa. Kama hawawezi kutawala kwa ninii wanalazimisha?
Washauri wapambe wake akina Cyprian musiba, le mutuz na wenzao ndiyo wanamshikikazaMtawala analitafutia taifa matatizo makubwa. Kama hawawezi kutawala kwa ninii wanalazimisha?
Mawazo ya kijinga haya!!
Tangu 'ghala la Silaha' liteketee Kule Mwandiga 2017 kijana amekuwa hajiamini kabisa
Wamarekani kabla hawajakutwanga huwa wanaharibu zana zako Za kivita unazoamini ndio kali zaid ambazo unakuwa umezificha,
kisaikolojia ukiamka Asubuhi ukaambiwa Mzee 'Lugalo imegeuzwa jivu' lazima ulegee na Kuishi kwa wasiwasi zaid.
Zitto aachane Na Mabeberu arudi uzalendoni maana inawezekana wanaomtuma wakamshighulikia ili tu kuichafua Serikal Kama walivyofanya kwa Mgonjwa wetu wa Belgium
Wathubutu waone, hakitabaki hata kifaranga katika koo zao!!
Mbona Msiba amesema kwamba mh anaumwa sijui nini isiyotibika? Au ndiyo mipango yenyewe hiyo!!!!Kupitia account yake ya twitter mbunge wa Kigoma mjini amesema kuna operation maalumu iliyoanzishwa kwa lengo la kummaliza.
Tunafahamu kuwa Operesheni Maalumu #Mzizima2 imepewa kibali kutekelezwa. Dhima ‘ Vita ya Mwisho kuleta Nidhamu kamili’ inataka kinachoitwa kumnyamazisha SAI ( mie huyo ). Wakajipange upya Tu. Mungu tu Ndio anaweza kuninyamazisha. SIOGOPI mwanadamu mwenzangu aslani
We are aware of a special operation to ‘finish’ me off. Special Operation code named ‘Mzizima 2’ has been given the go ahead with the mission ‘Final Battle for the Total Discipline’. The aim of the mission is to completely silence the voice of SAI (aka Zitto). They Better replan
Mbona Msiba amesema kwamba mh anaumwa sijui nini isiyotibika? Au ndiyo mipango yenyewe hiyo!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu Jiwe bora augue saratani au ugonjwa wa kupooza tu. Hana faida.Kwanini yuko kimya kama hahusiki? Kwanini hakuruhusu wachunguzi toka nchi za nje? Hana mamlaka huyo dikteta na MUUAJI kutoa vitisho kwa mbunge yeyote yule anayeongea ndani ya Bunge au nje ya Bunge.
Kuandika twiter ndio itapata msaada. Haya msaidieniPolice ipi hii ya ccm, wanaotekeleza wajibu wao kwa maelekezo toka juu. Mkuu wa wilaya au mkoa akisema weka ndani mtu anaswekwa ndani. Zito si mtoto mdogo, anajua ni kitu gani sahihi cha kufanya.
Wewe utakufa na utazikwa umeoza hata huyo mtoto chupa atalelewa na warundi anakotoka mama yakeKama angetafutwa kweli sidhani hata huo muda wa Kuandika hivyo angekuwa nao na hivi sasa angeshakuwa Historia na jina lake la Kwanza kubadilika na ama kuanzia na herufi ' M ' au ile ya ' H '. Ila kwakuwa ukishakuwa Mwanasiasa lazima uwe na mbinu kadha wa kadha ili kubakia juu, kusikika na Wapiga Kura wako na pengine hata Wafadhili wako ndani na nje wakuamini na wajue unafanya Kazi na Pesa yao haipotei wacha tumuamini ' Kinafiki ' Mlalamikaji wetu mzoefu.
Acha unafiki. Kiongozi wa nchi kitu gani asikashifiwe kama anaharibu??
Trump kiongozi wa most powerful country in the world, they just called him mother*****r and no biggie ndio huyo kichaa??
Halafu hata aibu huna kuhusisha raia na issue ya Lisu??
Raia gani mwenye uwezo wa kuondoa ulinzi eneo la makazi ya viongozi wa serikali linalolindwa 24hr??
Raia gani mwenye uwezo wa kuondoa CCTV eneo la tukio baada ya tukio bila uwajibikaji wowote??
Raia gani aliyezuia uchunguzi huru wa tukio wakati wa ndani umeshindwa??
So just cut the crap, Jiwe ni muuaji.
Aombe asylum Au pia atoe taarifa Hii kwenye balozi Hii nchi sidhani kama ni Salama tena dah mpk miaka Hii mitano iishe itakuwa kama karne moja tumetawaliwa na huyu mtu
Time to silence Magufuli na makonda as well tumechoka sasa owe tit for tatAcheni UPUMBAVU, mwambieni aende polisi sio tweeter. Au huku kwenye social networks ndio kuna walinda usalama?
Nokia ya kitochi yuzingi jamii foramu
Huwezi wewe muoga zaidi ya kunguru.Time to silence Magufuli na makonda as well tumechoka sasa owe tit for tat
So sad ..Katu siwezi kupuuza madai kama haya!!!
Hata Ben Saanane alitujuza members wenzake hapa hapa JF kwamba anatishia kuuawa lakini, kama ilivyo ada, wakatokea watu wakamkejeli na kumuita anatafuta kiki!!
Thread ile ilikuwa ndiyo thread ya mwisho kwa Ben na kiasi cha wiki moja baadae, taarifa za kutoonekana kwa Ben zikaanza kusambaa na hadi hivi sasa hatujui kimemkuta nini hasa!!!
Na ndicho pia kilitokea kwa Tundu Lissu pale aliposema bayana kuna watu walikuwa wanamfuatilia!
Sijapata kughadhibika kama hata baada ya kuwa TL amemiminiwa risasi, bado wakatokea washenzi na kudai hizo ni kiki tu!
you hope is hopelessI hope it’s not true.