Zitto kugombea urais 2015?

Status
Not open for further replies.

.
Source p/se!
Kufikiri ccm ndio wanaotoa ubunge ua tofauti yake ni ulimbukeni wa kujitambua. Rudi katika akili zako, kataa utumwa.
 
Kati ya technical error or misculculated strategy jamaa yangu Zitto alilofanya ni kuonyesha nia ya kugombea 2015... hili linaweza kuleta mgogoro CHADEMA... tuepushe... hayo.
 
Lol, kwa nini wauliza hivyo?

..Unajua jamaa huwa ana makala nzuri sana kwenye Sunday Citizen ya kunyoosha 'Viingereza' vya watu.
Naona kama na wewe unafanya hivyo hivyo hapa. Angalau sisi ambao 'viingereza' vyetu vina matege tunapata chance ya kuvinyoosha.
kinda like it.:cheer2:
 
Kati ya technical error or misculculated strategy jamaa yangu Zitto alilofanya ni kuonyesha nia ya kugombea 2010... hili linaweza kuleta mgogoro CHADEMA... tuepushe... hayo.
Una maana ya 2015?
 
...there are so many contradictions in your statement, kama ingelikuwa ni kinyesi, basi ni kile chenye harufu ya embe!!!


Hizo kauli ni typical Chadema. Huwezi kukuta hata TLP wanaandika kama wewe. Ishara ya kwamba wote mnafanana kielimu na mgombea mwenza wenu. Ila utanikubali muda ukifika. Muda huu uko gizani sana.
 
[/U][/B]
Hizo kauli ni typical Chadema. Huwezi kukuta hata TLP wanaandika kama wewe. Ishara ya kwamba wote mnafanana kielimu na mgombea mwenza wenu. Ila utanikubali muda ukifika. Muda huu uko gizani sana.
Mbona unahangaika sana kutetea wezi na wewe mwizi nini wakati unayemtetea hafiki siku ya uchaguzi?
 
Superman kasema anayo clip ngoja tumsubiri atuwekee tujionee na kusikia wenyewe kinachodaiwa kusemwa....

Ina maana hadi wakati huu ulikuwa bado hujaona wala kusikia matamshi yake.......du, ndio analysts wa kizazi kipya
 

Zitto alishanunuliwa kitambo tangu kwenye kamati ya madini ya JK. Yupo Chadema picha tu, akili yote CCM na anafanya kazi ya CCM.
 
Zipo tetesi na pia nafikiri Zitto mwenyewe alikiri kuwa atagombea urais 2015.Je,kama hivyo ndivyo hii naiyona kama ni dalili ya CHADEMA kukata tamaa kuwa hawatashika dola uchaguzi huu.
Nasema hilo kwa kuwa inafahamika na imezoeleka kwamba Rais atakaa madarakani kwa miaka 10,yaani vipindi viwili(kama Rais huyo hana matatizo na pia kama chama pinzani hakijashika dola).
Au wadau mnasemaje?
 

Hayo ni mazoea ya CCM ndugu....kama itaonekana kuwa Zitto anafaa kuwa Rais 2015 basi itakuwa hivyo...unajua Mandela alikaa madarakani vipindi vingapi?.....si ajabu na Slaa kukaa kipindi kimoja...inaweza tosha pia
 

Ungekuwa mtoto tungekuambia nenda kajisaidie ukalale. Hivi wewe ulikuwa wapi wakati tunajadili kuwa mwaka 2015 Zitto atakuwa na miaka 38 ambao ni umri mdogo kumbea urais? Ulikuwa wapi wakati watu wanajadili kuwa umri wa chini kugombea urais ni miaka 40? Nenda kalale haraka.
 
 
 
 
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…