Zitto kuaga wabunge wenzake leo - Machi 19, 2015

Zitto kuaga wabunge wenzake leo - Machi 19, 2015

Status
Not open for further replies.
Mbona zitto mwenyewe simuoni bungeni na bunge limeahirishwa
 
Muwe mnatupa habari za uhakika mbona bunge limehairishwa mpaka kesho?
 
Kijana historia inaonyesha hamna wakala wa Ccm alishawahi kutoka vyama pinzani kwa kutumika na ccm yupo kwenye siasa mpaka leo
Anachokifanya zitto leo ni kuagana na siasa za nchi hii baada ya usaliti wake na kutumika na lumumba

Mungu sidhani kama atawapa mtakacho hata hivyo. Hata hivyo kesho ndio ataongea.
 
Naomba kujua ni wabunge wangapi ambao walifukuzwa kwenye vyama vyao na kupoteza Ubunge alafu wakapewa nafasi ya kuutubia bunge? Anautubia bunge kama nani maana si Mbunge tena?
Kweli Zitto ulikuwa kibaraka wa CCM. Hongera Chadema kwa kuliona hili

Zitto amefanya makubwa sana katika historia ya nnchi hii na yeye anaamua kukubali adhabu anayoonewa hakuna mbunge alie fukuzwa na kuamua kutoka na kukubali kuonewa na kama akiamua anaweza kukata rufaa na kuendelea kuwa mbunge kimahakama ila yeye ameamua konyosha mfano wa uonevu unaotendeka kisheria
Bigup Zitto Zuberi Kabwe safari njema
 
Zitto atapewa nafasi ya kulihutubia bunge ifikapo saa mbili kamili leo hii 19/3/2015
Chanzo Clouds fm muda huu!

bunge limeahirishwa saa mbilu kasorobo usiku huu!atahutubia saa mbili ipi?
 
Ili kuwapata watanzania ni wote kwa umoja wao mil 45 sio kijikundi cha watu milion 5 wa lumumba.

Milion 5 ndio waliipigia kura CCM, NA CHADEMA ONLY 2 millions. Unaweza nielewa zaidi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom