Uthibitisho upi huo unao hitaji juu ya kuboronga kwenye zao la korosho?Ambao mko kwenye nafasi msifanye makosa ili jamii ione kweli Magufuli alikuwa na makosa siyo kulazimisha kuwaaminisha kwa makosa yasiyo na uthibitisho
Umwage korosho baharini ili ugundue nn?kuna wakati hua nawaza km nati ktk kichwa cha mtu huyu zinafanya kazi.
Hatuwezi kupoteza muda wake kwa mtu anayeshindwa kuisimamia ndoa yake.Slaa kasema chadema wanatabia ya kujiteka na kisha kusingizia watu wasiojulikana,jibuni hoja yake acheni kumdhiaki,anza na hoja kwa slaa kwanza.
Kwani ziko wapi hizo koroshoHakuna mvuvi aliyevua korosho baharini muangalie jinsi ya kusema uongo wenu.
Tunachofurahi ni kuwa wote waliofukuzwa na jiwe wenu wamerudi kwenyw system.Mirija ya ufisadi ilivyofungwa,si yeye tu hata hao mloimba miaka nenda rudi wanamaliza tembo wetu.Leo ndo mnawashangilia wamerudi.Nyi hamjitambui na hamtokaa kuja kujitambua
Zitto athibitishe madai yake
sio kwa kuwa kuna watu mna chuki zenu zilizokithiri kwa JPM ndio tuamini kila kibaya kisemwacho dhidi yake
kama mnatenda haki igeni mfano wa Pohamba …maeneo aliyofanya vyema pia asifiwe
Bado na wewe ukifa Mungu atakuwa amenilipa. Nasubiri tu siku hiyo. Najua ipo karibu.Mungu alisha tulipia sisi
Ugumu kwa Zitto ulikuja kwasababu Zitto ni tapeli wa siasa, Magufuri hakupenda matapeli kwasababu Magufuri ananjua tokea ikiwa Chadema,jinsi Kikwete alivyokuwa akimtumia akiwa Chadema,hivo Magufuri alimkatia hiyo milija ndio chanzo ugonvi juu ya magufuri,kwani Zitto anausafi upi?Hakuna kipindi Zito amekutana na ugumu kama wakati wa Magufuli. Na yote hayo ilikuwa ni juu ya kumsema huyo kiongozi muovu.
Kwani ziko wapi hizo korosho
Yani mnamuamini zito kwenye huu upuuzi !!! Korosho haziwezi kukosa soko,magufuli alikuwa na namba za simu za Marais wengi Duniani kwenye ma viwanda huko asingeshindwa kuzipelekaHuyu marehemu huyu, kwa kweli hasara aliyoisababishia nchi, sijui kama kuna mtu anayejua kwa uhakika.
Mpelekeni mahakamani huyo Makonda kama una uthibitisho wa makosa ya jinai aliyoyafanya