Zitto: Korosho zilimwagwa Baharini

Zitto: Korosho zilimwagwa Baharini

Baada ya serikali ya Jiwe kuingilia ununuzi wa korosho kutoka mtwara.

Kumbe ilikosa soko la kuuza baadhi ya korosho na kuamua kuzimwaga baharini kwa kuona aibu.

Mh Zzk ametufumbua macho sisi tuliopiga sana kelele juu ya Jiwe kuingilia ununuzi wa korosho.

Hii ni aibu kubwa sana kama taifayulijitafutia kwa uamuzi wa mtu mmoja tu.View attachment 2202765
Kwamba kitu kikikosa soko kinatupwa!!?? Hii ndo naona leo ndugu watz kwann wasingezirudisha kimyakimya sasa
 
Zito ni miongoni mwa watu waliotuhumiwa ufisadi na ndugu zake kina Chadema,so hatutoshangaa yeye kuwakilisha kundi lililojificha la mafisadi waliokutana na mzalendo halisi wa nchi hii.
 
Sukuma gang kamwe kwenye hili hakuna wa kukubali maana ni aibu
Nawewe unaitwa baba kabisaaa nyumbani?
Siasa za porojo ni wakati wake Sasa,mnademka tu na kuupiga mwingi huku mkila KWA urefu wa kamba zenu.
Mnapambana sana mafisadi nyinyi Ili muoneshe naye mwendazake alikua fisadi,nyinyi ni wajinga na wapumbavu
 
Hakuna kipindi Zito amekutana na ugumu kama wakati wa Magufuli. Na yote hayo ilikuwa ni juu ya kumsema huyo kiongozi muovu.
Mirija ya ufisadi ilivyofungwa,si yeye tu hata hao mloimba miaka nenda rudi wanamaliza tembo wetu.Leo ndo mnawashangilia wamerudi.Nyi hamjitambui na hamtokaa kuja kujitambua
 
anaeleta tuhuma ndio anapaswa kuleta ushahidi na sie kazi yetu ni ku challenge huo ushahidi

Mtume s.a.w katutahadharisha sana dhidi ya uongo hadi akatuamrisha tuuseme ukweli hata kama utatugharinu na tujiepushe na uongo hata kama utatupa maslahi


Hayati JPM anasingiziwa mengi sana na kwa kuwa watu wamejaza chuki vifuani basi kila kitu wanaamini …inanikumbusha baada ya vita ya Kagera kila sifa mbaya akapewa Iddy Amin hadi kuna mijitu hadi leo inaamini alikuwa anaua Mawaziri wake na anahifadhi na kula miili yao
Sio kila mtu anawaamini bwana. Hata hao wachache wanaowaamini wanajilazimisha kuamini ili kufurahisha nafsi zao japo wanajua sio kweli.
 
Back
Top Bottom