Zitto: Korosho zilimwagwa Baharini

Zitto: Korosho zilimwagwa Baharini

Ugumu kwa Zitto ulikuja kwasababu Zitto ni tapeli wa siasa, Magufuri hakupenda matapeli kwasababu Magufuri ananjua tokea ikiwa Chadema,jinsi Kikwete alivyokuwa akimtumia akiwa Chadema,hivo Magufuri alimkatia hiyo milija ndio chanzo ugonvi juu ya magufuri,kwani Zitto anausafi upi?
Sukuma gang naona jiwe limewagusa
 
Yani mnamuamini zito kwenye huu upuuzi !!! Korosho haziwezi kukosa soko,magufuli alikuwa na namba za simu za Marais wengi Duniani kwenye ma viwanda huko asingeshindwa kuzipeleka
Zitto muongo,huu ujinga awadanganye watoto,naweza kukubali jiwe alisababisha hasara Ila sio hii
Marais ndio wananunua korosho? Au kwakuwa yeye alikuwa anaingilia kila jambo basi mnadhani kila rais anafanya huo upuuzi.
 
Zito kaleta facta gani hapo?ushahidi.kwamba zilimwagwa baharini uko wapi?
Kuna figures kaweka
Kama unaona hizo figures sio facts then weka figures zako kumprove wrong..
Simple as that
 
Naye atoe ukweli kwa ushahidi. Mie kusema wewe ni mwizi naihakikishia vipi mahakama sasa
Kuna figures kaweka
Kama unaona hizo figures sio facts then weka figures zako kumprove wrong..
Simple as that
 
Alikuwa anatamba wakati ule kuwa hawawezi kumroga wala kumshika
Sasa alishindwa nini kuyasema haya?
Huyu jamaa Swaumu yake ianze upya baada ya Eid na asilimu tena

Sasa hao waliomwaga tani zote hizo na kumpa ubuyu huu walishindwa kupiga hata kapicha
Mbona Rais aliwahiwa picha pamoja na ulinzi wote ule
 
Mirija ya ufisadi ilivyofungwa,si yeye tu hata hao mloimba miaka nenda rudi wanamaliza tembo wetu.Leo ndo mnawashangilia wamerudi.Nyi hamjitambui na hamtokaa kuja kujitambua

Tafuta mahali nimewahi kuwashangilia majizi ya msoga line, sasa hivi tunafurahi sukuma gang mnavyoshikishwa ukuta baada ya magu kuleta siasa za kihayawani. Wote nyie ni majizi, ila hatutaki utawala wa kuburuzwa na mabush star.
 
Baada ya serikali ya Jiwe kuingilia ununuzi wa korosho kutoka mtwara.

Kumbe ilikosa soko la kuuza baadhi ya korosho na kuamua kuzimwaga baharini kwa kuona aibu.

Mh Zzk ametufumbua macho sisi tuliopiga sana kelele juu ya Jiwe kuingilia ununuzi wa korosho.

Hii ni aibu kubwa sana kama taifayulijitafutia kwa uamuzi wa mtu mmoja tu.View attachment 2202765
Umwage baharini wananchi wasijui.. hebu akanye kwanza huyo nyepesi
 
Korosho sio maembe au mapapai kwamba zikikaa week zinaoza.Zitto ni muongo mkubwa hana tofauti na Kibwetere.Yaani korosho ipite bandarini ilipiwe gharama zote halafu ikatupwe??? Huyu kijana sio bure laana ya uchawi wa kwao imeanza kumtafuna.
 
Atuambie bahari ipi korosho zilimwagwa kama atlantic,Pacific,Hindi,Somali au Kimbiji na je ilikuwa loose cargo au ziliondoka na contena zake mazima.

Hili taifa lina watu wa ajabu sana halafu wanaitwa WAHESHIMIWA.

Kama kuna mwanachama,shabiki ama mfuasi wa ACT humu jipige ngumi tatu za nguvu jichoni halafu jisemèe mwenyewe kuwa ni ZUZU.
 
Korosho sio maembe au mapapai kwamba zikikaa week zinaoza.Zitto ni muongo mkubwa hana tofauti na Kibwetere.Yaani korosho ipite bandarini ilipiwe gharama zote halafu ikatupwe??? Huyu kijana sio bure laana ya uchawi wa kwao imeanza kumtafuna.
Hahaha Najiuliza Kwanini Wasipewe Watu Wale.

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Huyu ni mmoja kati ya waliopewa kazi ya kumchafua JPM, lengo likiwa ni kujaribu kufuta picha ya JPM mioyoni mwa Watanzania walio wengi baada ya kuona kila wakijaribu kufanya nini hawawezi kufikia kasi ya JPM hata kwa 1 ya 10.

Wamefanya utafititi wakagundua kuwa, zaidi ya 90% ya Watanzania bado wanamkumbuka, wanampenda na wanamuenzi JPM kwa kiwango cha juu sana.
Ili kujaribu kupunguza wingi huo wa Watanzania wanaomkubali JPM, wameamua kumshambulia Hayati JPM kwa namna mbalimbali.

Mimi nasema hivi, hata kama watatunga uongo wa kila aina kumchafua JPM, kamwe, kamwe, kamwe, kamwe, kamwe, hawataweza.

MOTO WA JPM siyo wa kitoto. Tofauti na mioto mingine, MOTO WA JPM kila wanapojaribu kuuzima, ndo unawaka mara mia zaidi.

NB:-
JPM mbolea sh.45,000/- na sasa sh.130,000/+
 
Baada ya serikali ya Jiwe kuingilia ununuzi wa korosho kutoka mtwara.

Kumbe ilikosa soko la kuuza baadhi ya korosho na kuamua kuzimwaga baharini kwa kuona aibu.

Mh Zzk ametufumbua macho sisi tuliopiga sana kelele juu ya Jiwe kuingilia ununuzi wa korosho.

Hii ni aibu kubwa sana kama taifayulijitafutia kwa uamuzi wa mtu mmoja tu.View attachment 2202765
Aisee. Sasa mambo ni mengi.
Yaani masaa machache yaliyopita tulikuwa na inshu ( read issue) ya bargaining plea. Sasa tuko huku!🙄
 
Back
Top Bottom