Zitto: Korosho zilimwagwa Baharini

Zitto: Korosho zilimwagwa Baharini

Deep state zinatoa leaks za mambo ya awamu ya 5 kidogo kidogo kama vile drip ya mgonjwa. Kila siku unasikia mambo mengine. Mpaka 2025 utasikia mambo mengi sana yamezungumzwa.
 
Uthibitisho wa korosho kumwagwa baharini haupo, mwenye ushahidi alete hapa
 
Baada ya serikali ya Jiwe kuingilia ununuzi wa korosho kutoka mtwara.

Kumbe ilikosa soko la kuuza baadhi ya korosho na kuamua kuzimwaga baharini kwa kuona aibu.

Mh Zzk ametufumbua macho sisi tuliopiga sana kelele juu ya Jiwe kuingilia ununuzi wa korosho.

Hii ni aibu kubwa sana kama taifayulijitafutia kwa uamuzi wa mtu mmoja tu.View attachment 2202765
Kwanini hakuwahi kusema mwambieni aache unafiki
 
Haituusuuuu

Aendelee tuuu nauchawa wake

Mbona Wakati Chuma yupo akudhubutu kufungua domo lake
Alishawahi kumsakama Jiwe kuhusu 1.5 T, kipindi cha CAG prof. Assad hadi babu pole pole akajigonga gonga katika kujaribu kutetea upotevu wa hicho kiwango cha pesa, wewe ulikuwa wapi?
 
Tanzania ya wasenge kibaooo.,

Asilimia kubwa wapiga porojo wengi mnapigwa bomba....
Mnakaa mitandaoni kumdiss jamaa aliyewakaza kweli kweli msiishi kwa magendo
 
Baada ya serikali ya Jiwe kuingilia ununuzi wa korosho kutoka mtwara.

Kumbe ilikosa soko la kuuza baadhi ya korosho na kuamua kuzimwaga baharini kwa kuona aibu.

Mh Zzk ametufumbua macho sisi tuliopiga sana kelele juu ya Jiwe kuingilia ununuzi wa korosho.

Hii ni aibu kubwa sana kama taifayulijitafutia kwa uamuzi wa mtu mmoja tu.View attachment 2202765
... dah; Mungu wetu apewe sifa; bila wewe Mungu tungeumia sana kwa hakika!
 
Huyu marehemu huyu, kwa kweli hasara aliyoisababishia nchi, sijui kama kuna mtu anayejua kwa uhakika.

Hasara kubwa Sana, ndege, barabara, madaraja, interchange 4, kweli ni hasara ya kiwango cha juu
 
Baada ya serikali ya Jiwe kuingilia ununuzi wa korosho kutoka mtwara.

Kumbe ilikosa soko la kuuza baadhi ya korosho na kuamua kuzimwaga baharini kwa kuona aibu.

Mh Zzk ametufumbua macho sisi tuliopiga sana kelele juu ya Jiwe kuingilia ununuzi wa korosho.

Hii ni aibu kubwa sana kama taifayulijitafutia kwa uamuzi wa mtu mmoja tu.View attachment 2202765
Jiwe alikuwa ni laana kwa Taifa. Aoze haraka na kuliwa na mafunza huko kaburini.
 
Baada ya serikali ya Jiwe kuingilia ununuzi wa korosho kutoka mtwara.

Kumbe ilikosa soko la kuuza baadhi ya korosho na kuamua kuzimwaga baharini kwa kuona aibu.

Mh Zzk ametufumbua macho sisi tuliopiga sana kelele juu ya Jiwe kuingilia ununuzi wa korosho.

Hii ni aibu kubwa sana kama taifayulijitafutia kwa uamuzi wa mtu mmoja tu.View attachment 2202765

That a**hole has lost his mind!
 
Bahari gani mbona haisemwi? Au bahari ya Tanganyika,!!! Misukule huwa haina akili
 
Baada ya serikali ya Jiwe kuingilia ununuzi wa korosho kutoka mtwara.

Kumbe ilikosa soko la kuuza baadhi ya korosho na kuamua kuzimwaga baharini kwa kuona aibu...
Jamani tusitoe tuhuma zisizo na ushahidi, korosho za kiwango hicho umwage baharini hakuna hata zilizoelea mpaka ufukweni tukapata na KACLIP!!!???

Let the past be the past, heal and move on....

Hizi frictions na kukumbusha madonda huwa hazina mwisho mwema maana zitaendelea kujenga makundi na chuki baina ya makundi haya jambo ambalo ni bomu kwani ikitokea akapatikana mwehu mmoja akaliamsha dude tunaweza kujikuta tunaanzisha migogoro baina ya wenyewe kwa wenyewe!!!!

Inatosha jamani let us move on kama taifa!!!!
 
Baada ya serikali ya Jiwe kuingilia ununuzi wa korosho kutoka mtwara.

Kumbe ilikosa soko la kuuza baadhi ya korosho na kuamua kuzimwaga baharini kwa kuona aibu.

Mh Zzk ametufumbua macho sisi tuliopiga sana kelele juu ya Jiwe kuingilia ununuzi wa korosho.

Hii ni aibu kubwa sana kama taifayulijitafutia kwa uamuzi wa mtu mmoja tu.View attachment 2202765
!!!
 
Back
Top Bottom