Zitto, Kitila na Mwigamba wajisalimisha CHADEMA

Zitto, Kitila na Mwigamba wajisalimisha CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Give me a break Mungi.

Huyu Jamaa alilipiwa ada ya chuo na Mbowe?? Ee Mungu Tuhurumie!

Kwa hiyo shukrani yake anamlipa Mbowe ni kumuanzishia Uasi?

Masikini ya Mungu.Kumbe Mbowe anatukanwa matusi yote na mtu aliyemlea kama mdogo wake!

Leo Molemo umewahiwa na Yegella akupe break za nini labda za MINI KABANG.
 
Last edited by a moderator:
Hawawezi kusamehewa bila kuwaeleza wanachama mahusiano yao na maccm wakiwemo mwigulu,wasira,Lukuvi,Nchimbi,usalama wa taifa na ni mipango gani hadi sasa walikuwa tayari wamekamilisha,pesa alizopewa Zitto na TISS zilikuwa za nini! na watutajie MM2 ni nani.! Then watuombe radhi hadharani wanaCDM kwa usaliti wa😵therwise watimuliwe tu!
 
Give me a break Mungi.

Huyu Jamaa alilipiwa ada ya chuo na Mbowe?? Ee Mungu Tuhurumie!

Kwa hiyo shukrani yake anamlipa Mbowe ni kumuanzishia Uasi?

Masikini ya Mungu.Kumbe Mbowe anatukanwa matusi yote na mtu aliyemlea kama mdogo wake!

Ndio shukrani ya punda hiyo! Dogo sasa anatapatapa sana maana amekata mti aliokalia!
 
Last edited by a moderator:
hii kitu ya nilijiunga sijui lini imemuaibisha sana zitto... his ego is way too big for his own good

Kama kweli chadema wanataka changes, then they should fire those kids
Niaje Janjaweed rafiki yake dr slaa. ..nakuona muheshimiwa mkubwa kabisa.
 
zittio aende Ccm,,.

Vyama vya upinzani havimfai!!
 
Ukuu wa katiba unapotumika watu wanaanza ooh unajua nilijiunga nikiwa na miaka 16 .Who cares?

This gentleman Ben Saanane is a thinker! Great argument maker and attacker of fallacies! Keep it up young man!
 
Leo Molemo umewahiwa na Yegella akupe break za nini labda za MINI KABANG.

nitawaomba Moderator tuanzishe thread tutukanane ili ulizike lakini humu ni juu ya baratua ya msamaha wa zitto na uamzi wa cc kama imfueke mazima au umwachie uanachama.
 
Last edited by a moderator:
lakini mhhh, kumbe na ada ya chuo alilipiwa? halafu ndio anatenda haya? anamuita mbowe majina yale yote? jamaa ana roho ngumu aisee.

sasa naanza kuelewa ile hotuba ya mbowe alipokuwa anawa grrom vijana pale land mark kwamba yeye kama yeye alikuwa anwatafuta vijana na kuwawezesha kujiunga na harakati za ukombozi wa nchi yao, kule alikwenda extra mile na kuwawezesha wengine hadi pesa kutoka mfukoni mwake
 
Hii habari imenifanya nimfikirie huyu Jamaa mara mbilimbili.Yaani Jamani kuna watu wasio na shukrani duniani we acha tu!
 
Nasubiri kupata barua hiyo ili niwe na kuchangia, nikizingatia kuwa mi ni kiongozi pia. Lakini tunaweza kumshika mtu uchawi kwenye press conference ya leo!
 
nidhamu siyo eeh?

kwa hiyo wao wana nidhamu kuita media na kuanza matangazo......

fikiria ndugu kabla ya kuropoka, usukule ni sifa mbaya sana, I think you are way better than this, just a word of advice

Mie nazungumzia upokeaji na utunzaji nyaraka, kama walienda kwenye media ni sababu ya walaka ambao ungefuata taratibu za kiofisi yote yasingetokea, aliyeweka mtandaoni "waraka wa siri" ni vijana (Kama si viongozi) wanaojiona wajanja au wanaotaka kuonekana ktk uongozi ni wachapa kazi. Ni muhimu kukubali kuanzia tukio la Arusha, Lema angetumia busara baada ya kuona waraka kwenye laptop ya M3 ingekuwa ni mambo ya ndani ya Chama si kubandika mtandaoni!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom