Zitto, Kitila na Mwigamba wajisalimisha CHADEMA

Zitto, Kitila na Mwigamba wajisalimisha CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Haaah,haaa ''sakosi'' tangu lini ikapigiwa magoti. CHADEMA moto chini,mziki mnene
 
Kama ameomba msamaha ni vizuri kamati kuu ikamsamehe, zitto akiri makosa yake na abaki mwanachama wa kawaida,kutokumsamehe zitto kutadhihirisha kuwa chama kilipania kuwafukuza! Kamati kuu itumie busara. Ingawa kitendo cha zitto kukaa kimya juu ya uovu uliotokea kigoma sio sawa!
 
zitto kwa usaliti wake alisababisha msuwaji Arusha kwani kama asingewapotosha madiwani kusingekuwa na uchaguzi mdogo Arusha, zitto, Nchemba, msaki, ludovic walishiriki kwenye video ya lwaks na akapendekeza lwaks afukuzwe, zitto nenda..

Ni kweli mkuu!
 
Zitto na Kitila hawawezi kuomba msamaha hizi ni porojo za kawaida kutoka Bavicha.
 
Ben! who cares? Mbona unataka kufanya CDM kama ya kwako, wasinge kijenga chama we usingekuwa cdm, lazima uheshim michango ya wenzako waliokutangulia ingawa inaonekana wamekuwa wasaliti lets give them another chance. Kuwavua uongozi inatosha. Hope cc makini wata watafanya maamuzi makin sio unavyo taka wewe Ben.

Ukitaka mchango wako uheshimike ni lazima uheshimu michango ya wengine hata ambao wamekaa siku moja ndani ya Chama.Ninapinga ubaguzi wa hao wabaojiita nimekua mwanachama tangu nikiwa na miaka 16.Mwingine akajiit kuwa mtu wa kwanza kuwa CHADEMA mkoani Singida na mwenyekiti kwa miaka 20 hivyo aachwe tu afanye atakalo bila kuzingatia katiba.Who cares? Tunaamini katika misingi,Malengo na katiba ya chama.Nothing more,nothing less!
 
Kama ameomba msamaha ni vizuri kamati kuu ikamsamehe, zitto akiri makosa yake na abaki mwanachama wa kawaida,kutokumsamehe zitto kutadhihirisha kuwa chama kilipania kuwafukuza! Kamati kuu itumie busara. Ingawa kitendo cha zitto kukaa kimya juu ya uovu uliotokea kigoma sio sawa!

Ushauri huu ni mzuri subiri aje Molemo kukutukana
 
Last edited by a moderator:
Kama ameomba msamaha ni vizuri kamati kuu ikamsamehe, zitto akiri makosa yake na abaki mwanachama wa kawaida,kutokumsamehe zitto kutadhihirisha kuwa chama kilipania kuwafukuza! Kamati kuu itumie busara. Ingawa kitendo cha zitto kukaa kimya juu ya uovu uliotokea kigoma sio sawa!

Alishaomba misamaha mingi sana siku za nyuma Chama kikamsamehe. Huyo Mbowe anayetukanwa na kina Zitto amemvumilia zitto kwenye mengi.
Zitto hata akisamehewa(infact mimi sioni sababu ya kumsamehe) atafanyaje kazi na watu wasiomwamini? Zitto haaminiki. Wenzake kwenye Sekretarieti hawamwamini, CC haimwamini pia. Zitto haaminiki hata kwa wafagiaji pale ofisini Kinondoni.
Mbaya zaidi hata kwao Kigoma haaminiki tena.
Zitto ajitafakari. Kuna maisha mengine nje ya siasa za chadema. Aende kwingine akajijenge upya. Umri wake bado unamruhusu kuhimili changamoto mpya za kujijengea tena heshima iliyogaragara kwenye tope jeusi.
Zitto achana na Chadema.
 
Last edited by a moderator:
mimi naona ni ujuha ku discuss kitu ambacho hatujui wamejibu na ku demand
 
Hamna aliye juu ya Chama kuwepo longest haijustify kufanya ujinga aliofanya

Amepofushwa na ubaguzi wa Umri.Ni mbaguzi in nature

Hata Yuda alikua miongoni mwa wanafunzi wa Yesu akaja kumsaliti dakika za Mwisho .Alikua sehemu ya historia

Namshangaa msomi anayetumia kigezo cha umri wa kuwa ndani ya taasisi kama justification ya kupewa haki za ziada nje ya katiba au katika compromise ya katiba iliyoandikwa na watu.Eti hii ndio "Akili Kubwa" na wengine ni "Akili ndogo".Ushamba wa kisiasa
 
Mimi binafsi nataka Chadema wawafukuze Zitto na Kitila pamoja na Mwigamba.

Akili kubwa haziwezi kuomba msamaha kwa akili ndogo za kina Lema na Mbowe.

Kukata mzizi wa fitina Chadema si muwafukuze.
 
Nilijua tu kuwa zote hizo ni mbwembwe xhadema ni chama makini hakitishiwi nyau. Watz zitto tulikuwa tunampenda sana lakini mashwetani no wani wakampenda zaidi wakanyonya kila kitu, ulivyoonyesha kunyorodeka wakatupilia mbali, Kamuulize kabruu, lamwai na bagenda.
 
Mimi binafsi nataka Chadema wawafukuze Zitto na Kitila pamoja na Mwigamba.

Akili kubwa haziwezi kuomba msamaha kwa akili ndogo za kina Lema na Mbowe.

Kukata mzizi wa fitina Chadema si muwafukuze.

Lakini mashtaka yaliyoelekezwa kwao na kupewa barua kama maazimio ya kikao kilichoongozwa a akili ndogo,leo Akili Kubwa inahaaha kujibu na pia kuaandaa press conference na kulialia kwenye media.Akili Kubwa imelizwa na akili ndogo,sivyo?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom