Bado ninatafakari, kwanini zito hajatoa kauli yoyote juu ya genge la wahuni wanaohamasisha watu kufanya fujo katika mikutano ya Dr Slaa?, nini msimamo wake juu ya fujo zilizojitokeza na pia atueleze Dr. Alex anaratibu fujo hizo kwa maagizo ya nani?
Zitto asipofukuzwa nitasikitika sana.............. Unless akiri usaliti wake wote alioufanya ikiwemo kupoteza maisha ya watu, alivyoshiriki kuunda uhuni dhidi ya Lwakatare kwa kumtengeneza Dennis Msaki na Ludovic kama karata ya ushindi nk.
Du Kamanda Tupogo(Molemo), nawe unaingia huu kuonyesha upande wako hata Kabla ya uamuzi wa mwisho je hujui kuwa una influene ya kuwez kushawishi jambokwa viongozi kutokana na nafasi yako ndani ya Chama rejea sifa za PR
nitawaomba Moderator tuanzishe thread tutukanane ili ulizike lakini humu ni juu ya baratua ya msamaha wa zitto na uamzi wa cc kama imfueke mazima au umwachie uanachama.
Zitto Kabwe CCM wanampenda sana, aende tu CCM atakuwa Mwenyekiti wa Taifa na Mgombea urais 2015
Watu wajinga sana,Swala Dennis Msaki na Lwakatare,Liko wazi hata ukiiangalia ile Video youtube CDM inapanga Ugaidi,Watu wanasubiri mwakani wapewe FBI wathibitishe video ya kweli,ili muchinjiwe Baharini,ili USA na ULAYA wajue CDM Magaidi.kwa kuwa WATZ wamewajuwa na miishio yao CDM Mwakani.
Nitaishangaa chadema ikinasa kwenye mtego wa kuwasamehe.....kwanza kitila alikana u-cc toka 2010 ni heri chama kibaki na wachaga kuliko wasaliti.
CCM ni wajanja sana wewe.Nakuhakikishia atakaporudi CCM watamfanya kama Lamwai.
Hili ndio tatizo kubwa la Chadema, hakuna nidhamu ktk ofisi pale HQ, Nyaraka za kiofisi maelezo yake yanawekwa mtandaoni. Kila anayekiona kitu ofisini saa hiyohiyo anajifanya mjanja wa kuwahi kubandika mtandaoni na viongozi hawaoni madhara yake. Hakuna siri kila mtu ni msemaji wa Chama. Maana yake record office ya chama ina makanjanja wasio na ethics. ndio maana siri nyingi za chama zinavuja.
Kwa ufupi mkifukuza au muache chama hakiwezi kuwa salama,huo ni mwiba uliokwama kooni kumeza tatizo kutoa tatizo.Acha kujifundisha ujinga wewe!!!
Kuropoka kote kwenye media waliacha nini? hawakupata tuhuma dhidi ya uongozi uliopo ndiyo maana wamesaidiwa na ccm kuunda uwongo!!
Kama Zitto mjanja wakati anasema chama hiki kimemtoa mbali angeongezea kuwa hata ada za chuo alilipiwa na Mbowe!
Zitto kwa usaliti wote ule akosamehewa nitawashangaa sana chadema
Ukuu wa katiba unapotumika watu wanaanza ooh unajua nilijiunga nikiwa na miaka 16 .Who cares?
Kama kweli wanataka msamaha ni vizuri wakasema ukweli wote jinsi CCM ilivyowatumia! Wawe wazi bila kuficha neno!!! Kusema tu wana mapenzi na CDM haitoshi!! Hayo ni mazingaombwe ya mchana kweupe! Wajieleze kwanza kwa umma! Baada ya hapo nguvu ya umma ndiyo itakayowahukumu!!
i dont trust hii habari
Huna hadhi ya ku-Quote andishi langu!
Shame!!