Zitto, Kitila na Mwigamba wajisalimisha CHADEMA

Zitto, Kitila na Mwigamba wajisalimisha CHADEMA

Status
Not open for further replies.
"Kauli ya Chacha Wangwe na baadhi ya Viongozi wa Chadema Kwamba Kuna Mgogoro (CHADEMA) Si ya Kweli, Kwani hali ni Shwari ila haya ni Mageuzi ya Kawaida katika Vyama vya Siasa, hasa inapoonekana Kuna Watu Wanakwenda Kinyume Cha Maadili na Madaraka Waliyonayo ......"

(Hii ni Kauli ya Zitto Kabwe aliyoitoa Mjini Tanga, tarehe 5.7.2008 akitetea Uamuzi wa Kamati Kuu ya Chadema Kumvua Madaraka aliye Kuwa Makamu Mwenyekiti (T) Marehemu Chacha Wangwe"
 
kwa ufupi hizi spinning za akina zitto na wenzake imekula kwao.

chadema imeshakuwa kubwa mno, ni taasisi ambayo ina taratibu, kanuni, miongozo na katiba. Walishindwa kutambua hilo hawa ndugu, wamelikoroga, hawana budi ila kulinywa

sioni option yeyote iliyobaki kwa cc ya chadema zaidi ya kupigilia msumari wa moto wa hawa jamaa kufukuzwa chama completely

they betrayed watanzania, they betrayed harakati za ukombozi, they betrayed taifa letu la tanzania.

vitani askari akigeuka nyuma anapigwa risasi na vita inaendelea. sioni i matumizi ya falasafa hii kwa cc ya chadema. ni fukuza kabisa.

nyoka akiingia chumbani kwako ni shurti untafute katika kona zote na umgonge kichwa afilie mbali la sivyo atakufanyia timing na kukukwiba kwa simu kali na unaweza kufa.

kwaherini wasaliti wote. chadema iliwapenda lakini naona ccm imewapenda zaidi

Nina Taarifa kwamba walichanganyikiwa siku ile ya Kongamano Pale LandMark.

Wasomi zaidi ya 1000 walikuwa wakiimba kwa hisia Kali kumtaka Mbowe afukuze Takataka zote zinazovuruga chama kwa ufadhili wa Lumumba.
 
"Kauli ya Chacha Wangwe na baadhi ya Viongozi wa Chadema Kwamba Kuna Mgogoro (CHADEMA) Si ya Kweli, Kwani hali ni Shwari ila haya ni Mageuzi ya Kawaida katika Vyama vya Siasa, hasa inapoonekana Kuna Watu Wanakwenda Kinyume Cha Maadili na Madaraka Waliyonayo ......"

(Hii ni Kauli ya Zitto Kabwe aliyoitoa Mjini Tanga, tarehe 5.7.2008 akitetea Uamuzi wa Kamati Kuu ya Chadema Kumvua Madaraka aliye Kuwa Makamu Mwenyekiti (T) Marehemu Chacha Wangwe"

Masikini hakujua Sheria ni Msumeno inakata pande zote.
 
"Mtoto akinyea mkono haukatwi bali unaoshwa" huu ni usemi maarufu sana unaopendwa kutumiwa na wazee wetu. Maana yake ni kuwa anayekosa basi asamehewe, lakini wakati mwingine mikono huwa haiwezi takata hasa kama "mtoto" huyo anajinyea mara kwa mara na dawa hapo ni Kuikata mikono hiyo.
Hawa jamaa hawastahili kusamehewa kwani ni wasaliti. Let them go.....

Hawa sio MKONO, hawa wamenyea KAMBI sasa unategemea wanaweza kuishi Kamnbini bado? Labda wasafishe kinyesi chao wao wenyewe.
 
Kupigana na taasisi ni sawa na mtu kurusha ngumi hewani! Atachoka tu na hewa itaendelea kuwepo!!! CDM kwa sasa ni kama Oxygen. Ndani yake tunaishi, tunajimudu na kuwa na uhai wetu!!!

Walidhani Mbowe ni kama Mrema.

Pole yao.Mbowe ni Kisiki cha Mpingo na ndiyo maana ana cheo kinachoitwa Kamanda wa Anga.
 
Ukitaka kumuua paka usimuangalie machoni.........................Fukuza mapaka hayo

Wananchi wameonyesha kuwa hawako pamoja nao ,fukuza kabisa hao na futa nyao zao.Kama ZZK angekuwa bado na mapenzi na chama mbona hakuwakemeo waliokuwa wanaandamana na kutishia kumdhuru Dr. Walikuwa wanapima maji. Ya bahari kuu kwa ulimi?
 
ule usemi samaki anaujaja akiwa ndani ya maji umetimia.. Baada ya kushindwa kukihujumu chama kwa mbinu mbalimbali ikiwemo ya kushambulia mikutano ya Dr Slaa na kutoa matamko ya kipuuzi wakiqatumia viongozi mbalimbali wale wasaliti waliokwapuliwa vyeo vyao ndani chadema na kinachosubiliwa ni kupokonywa uanachama wao Zitto, Kitila na Samson Mwigamba wamejisalimisha jana baada ya kujibu barua waliyotumia na kuomba wasamehewa wasinyang'anywe uanachama kuwa wanamapenzi na chama..

Tupia basi barua yao hapa! !
 
KUSAMEHEANA KWA SISI WANADAMU KUPO "WASAMEHEWE"but wawe chini ya SPECIAL CLINIC & FOLLOWUP 'cause wameshakula nyama ya mtu,but in one heart wangefikiriwa at least ktk "uanachama" pekee!
 
Mwigamba hata machoni sitaki kumwona katuvuruga sana... Zitto chukueni kadi aende ze Gambaz mkumbo ye alifuata mkumbo tuu msameheni
 
hili chama kubwa aisee..

hiki chama kipo, akina slaa, mbowe, lissu, mnyika etc etc na Mimi mwenyewe na watanzania kwa ujumla wanachama na wasio wanachama wa chadema wanafahamu kwamba HAKUNA alie juu ya taasisi.

taasisi inajengwa na misingi na taratibu, haijengwi juu ya personalities au umaarufu wa mtu. Hapana

jamii imetushangaa sana CHADEMA kama tungeshindwa kufaanya maamuzi sahihi ya kusafisha nyumba yetu. Utawezake kuisema serikali kwa kutochukua maamuzi juu ya mafisafi wakati wewe huwezi kusafisha nyumba yako.

katika hili CHADEMA wamewin mioyo mingi sana ya watanzania. imezidi kuimarika na kuaminiwa na wengi

bravo CHADEMA
 
Walidhani Mbowe ni kama Mrema.

Pole yao.Mbowe ni Kisiki cha Mpingo na ndiyo maana ana cheo kinachoitwa Kamanda wa Anga.

kwa kuwa ushahidi upo jinsi wanavyohujumu harakati za katibu kanda za magharibi,basi kamati iulize pia na hili
 
Mbona ccm hamkusamehe yule kiongozi wenu wa Zanzibar mkamfukuza kuwa ni msaliti?
Fanyeni yenu na muache unafiki.mbona cdm hawakuwashauri kuhusu maamuzi yenu?
Huu ni undumilakuwili
 
Huo ni uzushi zitto hajaomba msamaha mnazidisha uongo ili kujipa moyo na kutafuta la kuongea,chadema kimekwisha huu ndio mwaka wao wa mwisho,mnakikuuuza lkn wapi uroho wa madaraka kwa mwenyekiti,ukabila undugu na udini ndio sera za mbowe na chama chake.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom