mtz one
JF-Expert Member
- Dec 25, 2012
- 4,275
- 1,225
hawaendi kokote watakula sahani moja na nyinyi malaghai wakubwaWao wanajua wametusaliti nini, vile mna ukaribu nao sana waulizeni watawafafanulia... Bado nawashauri kwa moyo wangu wote muwachukue hakika watakisaidia chama chenu!