yohana charles
Senior Member
- Mar 21, 2013
- 134
- 10
Mkweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
Hicho ndo nnachoshangaa mkuu. kunya anye kuku. akinya bata kaharisha. Hebu tuwe waungwana jamani, mwacheni zitto atoe maoni yake. mbona maoni yenu hakuna anayeyabeza? lakini pia kuwa ktk upinzani sidhani kama ni sahihi kupinga kila kitu. mfano hata kitu ambacho kipo wazi ww upinge tu ili kuonesha upo upinzani, sio sahihi. naomba nisieleweke nipo au nawatete hawa chukua chako mapema, hapana. mm nipo neutral kabisa, siegemei upande wowote. Mnyonge mnnyongeni lkn haki yake mpeniMboe kamsifia JK ,Selasini kamsifia JK,Sasa Zitto akifanya inakuwa nangwa???au kwasababu hatoki kanda yenu!!!
Mkuu manyimbo, huyu zitto ni ndumilakuwili...si popo wala si ndege haeleweki.zitto si baridi, moto wala vuguvugu...yupo yupo tuu..mwanzoni alikuwa ni chadema pure 100%.then maccm yakamnunua kwa bei ndogo sana..ukizingatia ndio kwanza alikuwa ndio anaingia kwenye siasa.kwa hiyo ana haki ajikombe kwa kikwete maana ndio boss wake anayemuweka mjini..stupid!kwani huyu sie yule aliyepiga marufuku viongozi wa CDM kusifu viongozi wa ccm?
Namna anavyomfagilia kikwete anamshinda Nape!
Zitto CCM-B (II)
jk anaweza kubeazwa kwa upole wake na uhuru aliowapa watanzania ndiyo uhuru huo wanautumia vibaya mpaka wanatukana.lakini wakati wake ndo huo unayoyoma naamini atakapo staafu umuhimu wake mtautambua tu hata mnaombeza.
Lupe,Unatakiwa usome kwa makini katiba ya nchi inayotumika hivi sasa tangia enzi za mkoloni.kikwete hajatoa uhuru wa kuzungumza...huo uhuru wa kuzungumza upo katika katiba ya nchi .nashangaa mnasema ooh kikwete katoa uhuru hajatoa , hiyo ni haki yetu kikatiba.tatizo mnatumia masaburi kufikiri badala ya ubongo.wadanganyeni wasioisoma katika ya nchi tangia enzi za mkoloni.haya kachukue buku 7 yako.
Hahaaa mzee wa sumu yaani wewe chuki zako kwa zitto bado hazijakuisha tu?
Mungu amuweke mbali na bahasha yako ile unabebeaga sumu maana tuliokuwa tumetumiwa na Mungu kumuokoa hatupo tena huko.
Zitto Kabwe: Marufuku wabunge wa CHADEMA kuisifia serikali ya CCM!
https://www.jamiiforums.com/newreply.php?do=newreply&p=6355633
Hivi Juliana Shonza ameolewa jamani? Kanona siku hizi si mchezo........
usitaje bure jina la mungu wako....ni amri ya ngapi hiyo?
Hamna lolote wewe ndiye muuaji uliyekuwa umetumwa kuua viongozi Chadema. Ulipo fail ukakimbilia home kwenu. Sijui huyo bwana atabebana na wewe atatoka sayari gani! Takataka tupu ppppttttuuuuu!!!
Hahaaaaaaaa mfuasi wa kibwetere punguza povu kwanza
Kibwetere naye alihama ccm akahamia chadema kumbe naye alikuwa na agenda yake ndo maana akahama ilipotimia.
Huna la maana unalowaza we mdada zaidi ya mabwana unadhani wote tuna akili kama yako.anza kujipanga viti maalumu ulivyokuwa unategemea upewe kama fadhira huko chadomo vimefutwa.imekula kwako maana uwezo wako ni mdogo sana nakufahamu fika ndo maana umeamua kujificha kwa id fake .
Mwanamke wa kweli ni jasiri
R.I.P chacha wangwe damu yako imeanza kuwatesa
Yah mkuu uko sahihi Kikwete ni mvumilivu ajabu na tutamkumbuka, kawapa uhuru wa kuongea mmeanza kumtusi acheni mambo hizo. Asante Zitto kwa kutambua hili japo hawa vijana walioshikiliwa akili zao na watu fulani hawalitambui hilo. Mnaamini Chama mpaka mawazo yenu yanaendeshwa na viongozi wa chama, Poleni. Kikwete juu juu juu zaidi.