Zitto: Kikwete ni Rais wa ajabu.

Zitto: Kikwete ni Rais wa ajabu.

Ulisoma shule ipi wewe?? JK siyo Mungu au hujui hilo!! JK ni mwanadamu aliyeomba yeye mwenyewe urais japo kwa razima ashinde! Hayo uliyoongea napata taabu sana kukujua jinsi ulivyo! kuishi Tanzania siyo hisani ya watawala!!

Sio swala la Raisi wa Tanzania kuwa Mungu au ala, bali ni swala la Madaraka makubwa aliyokuwa nayo Raisi wa Tanzania, ndicho nilichomaanisha, kwamba ana uwezo wa Kikatiba wa kufukuza na kuajiri mtu yoyote yule Tanzania bila kuulizwa au kuhojiwa na Mtu yoyote yule, kwa maana hiyo kama akiiamua anaweza kukifuta CHADEMA au Chama chochote kile cha Upinzani na hakuna wa kumzuia, ndicho nilichomaanisha!

Sasa wapo ambao wana Madaraka makubwa kama hayo na wanayatumia vibaya kuwakandamiza Wapinzani, lkni Bw.Kikwete hafanyi hivyo nafikiri ndicho alichomaanisha Bw.Zito Kabwe, kuna Nchi nyingi watu wanapotea tu kwa kuhoji mambo fulani, sisi kwetu Mtu anasimama Bungeni na kumuita Raisi wa Nchi dhaifu (ambaye ni Mkuu wa Majeshi na vyombo vya Usalama vyote Tanzania) na bado anaishi bila vikwazo tena na dala dala anapanda na nyumbani kwake si ajabu hata mlinzi na hakuna wa kumbughudhi, ndio maana ya hayo aliyosema Bw.Zito Kabwe nahisi!
 
Kumbe MNYIKA ni kichwaa,hv huyu jamaa akpga shule adi level za mastaz c itakua balaa.yaan kwa elimu yake ya f6 ameweza kujua jk n dhaifu.k2 ambacho zzk a phd candidate hakjui.SALUTE U JJM.
 
Hivi aliyesema kwanzia leo ni marufuku CHADEMA kuisifia selekali si ndo huyu huyu au?

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

Mheshimiwa roman, hapo ndipo ninashindwa kuwaelewa hawa wanasiasa, juzi hata mwezi haujaisha kasema marufuku kuisifia serikali leo anakuwa mtu wakwanza kuisifia! ujue nijinsi gani taifa hili limepoteza mwelekeo kauli ya mwanasiasa sasahivi inategemea ameamkaje siku hiyo! alafu wengi wanasahau walichoongea jana kazi kweli kweli.
 
leo hii mpo mtandaoni na kutoa maoni sababu ya kikwete .. kikwete ni mvumilivu sana atakuja kukumbukwa atakapoondoka .. kuna nchi nyingine mitandao kama jamii forums wangeshaifunga kitambo...
kama ilivyo facebook kwa baadhi ya nchi

bravo zito! hakika weye ni mwanasiasa uliyekomaa

Ikulu wanatumia ID za yahoo wataweza wapi kufunga Facebook?
 
Kwani UDHAIFU wa MZEE DHAIFU ni kuachia UHURU WA HABARI, au kutochukua maamuzi kwa kusimamaia Katiba na kushindwa kuwajibisha watu?
Embu tuache kupotosha waTanzania, Huyu Bwamdogo ZITTO naona ameanza tena chokochoko zake.
Kama hajaelewa si akasome tena HANSARD MNYIKA alisema nini?
na ni UDHAIFU wa HAINA gani tunauzungumzia watanzania?
 
Mheshimiwa roman, hapo ndipo ninashindwa kuwaelewa hawa wanasiasa, juzi hata mwezi haujaisha kasema marufuku kuisifia serikali leo anakuwa mtu wakwanza kuisifia! ujue nijinsi gani taifa hili limepoteza mwelekeo kauli ya mwanasiasa sasahivi inategemea ameamkaje siku hiyo! alafu wengi wanasahau walichoongea jana kazi kweli kweli.

Tehteh!
Kwake SEREKALI sio KIKWETE, Serekali ni MAWAZIRI anaopambana nao Bungeni kama yule wa FEDHA na MADINI, Si unajua Dogo anabifu nao, Tokea wamuumbue kwa RUSHWA!
 
-Kwenye Sera za Mambo ya Nje hatuangalii matukio ya kutembelewa.Sera yetu ya Mambo ya Nje ambayo tenets zake ni za tangu enzi za Mwl.Nyerere zinatakiwa kufanyiwa overhaul.

Leo hii unashindwa kumtofautisha Rais na Waziri wa Mambo ya Nje.

Ikiwa unawezesha Marais 2 wa Mataifa makubwa ambayo yana ambitions za kuchota raslimali(Ambition za kibeberu) huku mikataba ikiwa ya Siri na huthubutu kuweka wazi ili watanzania wajue kama tumenufaika ama la,does it make you a vibrant leader? Huo ni udhaifu

Hatuwezi kujivunia kutembelewa na Mabeberu ikiwa hatujui na wala hatushirikishwi katika mikataba iliyosainiwa.Hapo wananchi tutakua tumemsaidia Chifu Mangungo.

2:Economic Diplomacy:Hadi sasa sera zetu za mambo ya nje zimeshindwa kwenda kasi na trend ya Dunia.Kenya wamelichukulua hili kwa umakini.Wizara imeshindwa ku-intergrate wizara ya Fedha na uchumi,viwanda na Biashara,Kilimo,Mali asili na Utalii na wizara ya Uwezeshaji.Tumekomalia uzururaji wa Rais kama nguzo kuu ya sera za Mambo ya nje.Tunatekeleza Sera ya Kuomba na Kushukuru

Membe ni msomi mzuri kwenye International Relations na ana uwezo lakini Rais hawezi kukwepa lawama za kuingilia Foreign Affairs.

Katika mamia ya Ziara za Rais nje ya nchi isije kuonekana kuwa ndiyo utekelezaji wa Sera za Mambo ya nje.Hapana!

Kukiwa na Sera imara kila jambo linaenda vizuri badala ya kutegemea kipaji cha kutembea cha Rais.Sera ni institutional Mechanism.Taasisi imara na sio watu imara wa kukata mbuga halafu wanarejea na matunda mwitu yenye sumu na kuiangamiza familia pole pole kwa miaka mingi ijayo.

Ni nini sera yetu kwa Afrika?Nini sera yetu specific kwa EU?Ni nini sera yetu kwa Middle East?Ni nini Sera Yetu kwa SADC.Ni ipi sera yetu kwa Latin America?Ni utashi na kipaji cha Rais kuweza kuweka pozi la Picha na wakuu wa nchi hizo tu?Uimara wa Rais hapa Siuoni zaidi ya kipaji chake tu cha kutembea na kuimarisha Album

Actually Rais asingekua na njia nyingine ya kuficha udhaifu wake zaidi ya kutoa uhuru wa maoni ambao ni constitutional Right.Siyo Hisani.
acha kutembea na sumu kwanza ndipo tutapokea mawazo yako
 
Kwa maneno machache nakubaliana na wewe. Hivi mie kutoa maoni yangu ni hisani ya rais? Au je nikisema Zitto ni dhaifu ni tusi? Jamani tuwe makini kama watu kama Zitto wanasifia mambo haya je tunao uongozi?
Ngoja nimuulize Zitto swali dogo hivi kama yeye angelikuwa Kikwete angefanyaje kwa changamoto anazokutana nazo Kikwete? Pppptuuu....

Huyo Zitto atakuwa alikunywa wanzuki kwan haiwezekani aone haki ni kama hisani ya Rais.
 
Last edited by a moderator:
Hivi aliyesema kwanzia leo ni marufuku CHADEMA kuisifia selekali si ndo huyu huyu au?

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Ndo hata mi nashangaa! Anatapa tapa huyu jamaa. I doubt if he is always aware of what he says
 
Dah!! Huyu jamaa huwa nashindwa kumuelewa kabisa ni kama kinyonga.
 
-Kwenye Sera za Mambo ya Nje hatuangalii matukio ya kutembelewa.Sera yetu ya Mambo ya Nje ambayo tenets zake ni za tangu enzi za Mwl.Nyerere zinatakiwa kufanyiwa overhaul.

Leo hii unashindwa kumtofautisha Rais na Waziri wa Mambo ya Nje.

Ikiwa unawezesha Marais 2 wa Mataifa makubwa ambayo yana ambitions za kuchota raslimali(Ambition za kibeberu) huku mikataba ikiwa ya Siri na huthubutu kuweka wazi ili watanzania wajue kama tumenufaika ama la,does it make you a vibrant leader? Huo ni udhaifu

Hatuwezi kujivunia kutembelewa na Mabeberu ikiwa hatujui na wala hatushirikishwi katika mikataba iliyosainiwa.Hapo wananchi tutakua tumemsaidia Chifu Mangungo.

2:Economic Diplomacy:Hadi sasa sera zetu za mambo ya nje zimeshindwa kwenda kasi na trend ya Dunia.Kenya wamelichukulua hili kwa umakini.Wizara imeshindwa ku-intergrate wizara ya Fedha na uchumi,viwanda na Biashara,Kilimo,Mali asili na Utalii na wizara ya Uwezeshaji.Tumekomalia uzururaji wa Rais kama nguzo kuu ya sera za Mambo ya nje.Tunatekeleza Sera ya Kuomba na Kushukuru

Membe ni msomi mzuri kwenye International Relations na ana uwezo lakini Rais hawezi kukwepa lawama za kuingilia Foreign Affairs.

Katika mamia ya Ziara za Rais nje ya nchi isije kuonekana kuwa ndiyo utekelezaji wa Sera za Mambo ya nje.Hapana!

Kukiwa na Sera imara kila jambo linaenda vizuri badala ya kutegemea kipaji cha kutembea cha Rais.Sera ni institutional Mechanism.Taasisi imara na sio watu imara wa kukata mbuga halafu wanarejea na matunda mwitu yenye sumu na kuiangamiza familia pole pole kwa miaka mingi ijayo.

Ni nini sera yetu kwa Afrika?Nini sera yetu specific kwa EU?Ni nini sera yetu kwa Middle East?Ni nini Sera Yetu kwa SADC.Ni ipi sera yetu kwa Latin America?Ni utashi na kipaji cha Rais kuweza kuweka pozi la Picha na wakuu wa nchi hizo tu?Uimara wa Rais hapa Siuoni zaidi ya kipaji chake tu cha kutembea na kuimarisha Album

Actually Rais asingekua na njia nyingine ya kuficha udhaifu wake zaidi ya kutoa uhuru wa maoni ambao ni constitutional Right.Siyo Hisani.

Hahaaa mzee wa sumu yaani wewe chuki zako kwa zitto bado hazijakuisha tu?
Mungu amuweke mbali na bahasha yako ile unabebeaga sumu maana tuliokuwa tumetumiwa na Mungu kumuokoa hatupo tena huko.
 
Political tolerance --- sio udhaifu ndg.... Hongera Zitto kwa kuliweka hili vizuri.

Huwezi kuacha nchi ikajingoza yenyewe huki ukidai eti ni political tolerance! Political torelence ni kusimamia haki na kuangamiza uovu! Wewe ni Zitto tunawajua hivyo haitupi shida
 
Hekima za Kikwete zitaanza kuthaminiwa akitoka madarakani.

Pia udhaifu wake utaonekana zaidi akitoka madarakani. Hasa pale mrithi wake atakapokuta negative balance hazina, na madeni kila mahali. Bila kusahau kusambaratika kwa elimu na Afya.
 
-Kwenye Sera za Mambo ya Nje hatuangalii matukio ya kutembelewa.Sera yetu ya Mambo ya Nje ambayo tenets zake ni za tangu enzi za Mwl.Nyerere zinatakiwa kufanyiwa overhaul.

Leo hii unashindwa kumtofautisha Rais na Waziri wa Mambo ya Nje.

Ikiwa unawezesha Marais 2 wa Mataifa makubwa ambayo yana ambitions za kuchota raslimali(Ambition za kibeberu) huku mikataba ikiwa ya Siri na huthubutu kuweka wazi ili watanzania wajue kama tumenufaika ama la,does it make you a vibrant leader? Huo ni udhaifu

Hatuwezi kujivunia kutembelewa na Mabeberu ikiwa hatujui na wala hatushirikishwi katika mikataba iliyosainiwa.Hapo wananchi tutakua tumemsaidia Chifu Mangungo.

2:Economic Diplomacy:Hadi sasa sera zetu za mambo ya nje zimeshindwa kwenda kasi na trend ya Dunia.Kenya wamelichukulua hili kwa umakini.Wizara imeshindwa ku-intergrate wizara ya Fedha na uchumi,viwanda na Biashara,Kilimo,Mali asili na Utalii na wizara ya Uwezeshaji.Tumekomalia uzururaji wa Rais kama nguzo kuu ya sera za Mambo ya nje.Tunatekeleza Sera ya Kuomba na Kushukuru

Membe ni msomi mzuri kwenye International Relations na ana uwezo lakini Rais hawezi kukwepa lawama za kuingilia Foreign Affairs.

Katika mamia ya Ziara za Rais nje ya nchi isije kuonekana kuwa ndiyo utekelezaji wa Sera za Mambo ya nje.Hapana!

Kukiwa na Sera imara kila jambo linaenda vizuri badala ya kutegemea kipaji cha kutembea cha Rais.Sera ni institutional Mechanism.Taasisi imara na sio watu imara wa kukata mbuga halafu wanarejea na matunda mwitu yenye sumu na kuiangamiza familia pole pole kwa miaka mingi ijayo.

Ni nini sera yetu kwa Afrika?Nini sera yetu specific kwa EU?Ni nini sera yetu kwa Middle East?Ni nini Sera Yetu kwa SADC.Ni ipi sera yetu kwa Latin America?Ni utashi na kipaji cha Rais kuweza kuweka pozi la Picha na wakuu wa nchi hizo tu?Uimara wa Rais hapa Siuoni zaidi ya kipaji chake tu cha kutembea na kuimarisha Album

Actually Rais asingekua na njia nyingine ya kuficha udhaifu wake zaidi ya kutoa uhuru wa maoni ambao ni constitutional Right.Siyo Hisani.

great words...umeweka siasa pembeni na huo ndio ukweli.
 
Huyu jamaa simuelewagi kabisa sometime

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
SOURCE JAMBO LEO GAZETI DADA WA UHURU NA MZALENDO
(BEN SAANANE; Membe ni msomi mzuri kwenye International Relations na ana uwezo lakini Rais hawezi kukwepa lawama za kuingilia Foreign Affairs.) ZITO -JK......... BEN -MEMBE Inabidi CDM Muwe makini

AKILI NDOGO HAIWEZI KUTAWALA AKILI KUBWA....
 
Back
Top Bottom