Zitto: Kikwete ni Rais wa ajabu.

Zitto: Kikwete ni Rais wa ajabu.

Zitto mwenyewe ni wa ajabu ajabu

Ukisema Ziggo ni wa ajabu ajabu kwa ufasaha wa Kiswahili ni kama kusema ni wa ajabu kiasi fulani kitu ambacho si sahihi. Ziggo ni wa ajabu kweli kweli na mnafiki, na nafikiri ni homa ya kufa kwa ndoto zake za kuoa akiwa Ikulu (illusions)

Na kudhihirisha ufupi wa akili, anasifu ujio wa the so called viongozi wawili wakubwa....kwa nini na yeye huyo anayesifiwa asiwe mkubwa. Hao wanakuja kuweka mazingira ya kuchuma rasilimali zetu yeye Ziggo anaona hilo ni jambo la kupongeza.

Sijui Waswahili wakoje, yaani kutembelewa na mzungu nayo ni mafanikio! Hao Wachina wamekuja kusafisha macho
 
-kwenye sera za mambo ya nje hatuangalii matukio ya kutembelewa.sera yetu ya mambo ya nje ambayo tenets zake ni za tangu enzi za mwl.nyerere zinatakiwa kufanyiwa overhaul.

Leo hii unashindwa kumtofautisha rais na waziri wa mambo ya nje.

Ikiwa unawezesha marais 2 wa mataifa makubwa ambayo yana ambitions za kuchota raslimali(ambition za kibeberu) huku mikataba ikiwa ya siri na huthubutu kuweka wazi ili watanzania wajue kama tumenufaika ama la,does it make you a vibrant leader? Huo ni udhaifu

hatuwezi kujivunia kutembelewa na mabeberu ikiwa hatujui na wala hatushirikishwi katika mikataba iliyosainiwa.hapo wananchi tutakua tumemsaidia chifu mangungo.

2:economic diplomacy:hadi sasa sera zetu za mambo ya nje zimeshindwa kwenda kasi na trend ya dunia.kenya wamelichukulua hili kwa umakini.wizara imeshindwa ku-intergrate wizara ya fedha na uchumi,viwanda na biashara,kilimo,mali asili na utalii na wizara ya uwezeshaji.tumekomalia uzururaji wa rais kama nguzo kuu ya sera za mambo ya nje.tunatekeleza sera ya kuomba na kushukuru

membe ni msomi mzuri kwenye international relations na ana uwezo lakini rais hawezi kukwepa lawama za kuingilia foreign affairs.

Katika mamia ya ziara za rais nje ya nchi isije kuonekana kuwa ndiyo utekelezaji wa sera za mambo ya nje.hapana!

Kukiwa na sera imara kila jambo linaenda vizuri badala ya kutegemea kipaji cha kutembea cha rais.sera ni institutional mechanism.taasisi imara na sio watu imara wa kukata mbuga halafu wanarejea na matunda mwitu yenye sumu na kuiangamiza familia pole pole kwa miaka mingi ijayo.

Ni nini sera yetu kwa afrika?nini sera yetu specific kwa eu?ni nini sera yetu kwa middle east?ni nini sera yetu kwa sadc.ni ipi sera yetu kwa latin america?ni utashi na kipaji cha rais kuweza kuweka pozi la picha na wakuu wa nchi hizo tu?uimara wa rais hapa siuoni zaidi ya kipaji chake tu cha kutembea na kuimarisha album

actually rais asingekua na njia nyingine ya kuficha udhaifu wake zaidi ya kutoa uhuru wa maoni ambao ni constitutional right.siyo hisani.


a very confusing response, its ndugu bens usual jk bashing and attacking his own cdm leader, pls come out straight and tell zk what is in your mind.
 
Sasa mbona hujibu na wewe bana? Ween funguka ukweli wako kama ni REACHABLE or NOT REACHABLE.

shonza.jpg
Mashallah.... Au unasemaje Kibunango ? CCM Raha bana....

Mkuu taratibu, tena taratibu sana! Usione vinaelea vimeundwa...
 
Sawa Mkuu nakuelewa.

Ila hii dunia ya uwazi kwa sana tu. Unauliza na ukishapewa jibu basi unajiondokea kama Kunguru mwoga. Hata hivyo nafikiri umeshanipa jibu. Ila nafikiri nimefanya vizuri kwa faida ya wengine. Ngoja nijilie Nyama pori na Kigongo changu nishushie maana ndiyo Raha pekee ya kuishi Shamba huku Sikonge 🙂

images

Mkuu taratibu, tena taratibu sana! Usione vinaelea vimeundwa...
 
Uhuni mtupu ukiangalia mchango wa ziara zake ng'ambo kwa Taifa ni sufuri sioni cha kumpongeza wananchi bado wako na hali duni ya maisha kuliko hata wakati anaingia madarakani,Zitto wewe ni mchumi na hulioni hilo,au umevaa miwani ya mbao kama wale watu fulani tafadhali linda heshima yako lete comments zenye tija kwa taifa si kujipendekeza pendekeza kwa baba Ritz,
 
Ahh ahh sasa Mkuu unataka Polisi waje wanikamate kirahisi maana wataanza kuuliza ni NANI ana mipapai mingi sana kwake na bado huwa ananunua Mapapai kwa watu? Lahh, itabidi mwaka huu nipunguze au niache kabisa maana Siri yangu imeandikwa wazi.
Samahani kwa kwenda nje ya mada... Hiyo ni ya mapapai?
 
a very confusing response, its ndugu bens usual jk bashing and attacking his own cdm leader, pls come out straight and tell zk what is in your mind.

Nje ya Mada,out of proportion,desperation,obsession........!
 
sasa kama akili zako zinaishia kuangalia typing error unaweza ku-argue nini kikubwa??

Vyote. ...Typing Error inayibadili mantiki ya neno/sentensi inaleta mkanganyiko.Ila uliyoandika haikua typing error ukizingatia ukaribu/mfanano wa neno "come on" na "Common".

Acha kiherehere next time!
 
Back
Top Bottom