Tanganyika jeki
JF-Expert Member
- Jun 12, 2011
- 243
- 87
Kikwete ni mkuu wa nchi aliyejaribu kwa kiasi
kikubwa kuwafanya watu kuwa huru. Kama
rais angekuwa ni mtu mwenye hasira, ni wazi
kwamba nchi ingekuwa katika machafuko
makubwa, alibainisha Zitto.
Hivi ndugu Zitto wakati anatoa matamshi hayo sijui kama alifikiria tukio la kuogofya kama la mwanahabari David Mwangosi...
Sijui kama alifikiria vitisho wavipatavyo wale wote wanaothubutu kuweka bayana kadhia za Serikali hadharani...
Serikali ya sasa ni kama panya tu, inang'ata na kupuliza ili ionekane ni njema mbele ya wananchi wake...
Kuna siku wananchi watamshukuru rais wao kuwaacha wavute hewa, mali ya serikali. What's freedom, and its limits?