Zitto: Kikwete ni Rais wa ajabu.

Zitto: Kikwete ni Rais wa ajabu.

Yaani Zitto anataka tuamini kuwa marais wa China na Marekani wamekuja kwa kushawishiwa na Kikwete? Anashindwa kujua nini wanafuata TZ?Gesi ndo mpango mzima, Obama kaona Wachina wamekuja, naye inabidi aje asijekosa kabisa! Hakuna cha kujivunia katika hilo. Kweli Zitto bado mtoto kwenye siasa, URAIS kwako ni ndoto ya mchana
 
Our problem ni kwamba sisi ni wasahaulifu,,, kwenye nchi inayofuata sheria ukishawezesha serikali ikawa na sheria... na aliweza kuhuisha sheria ya PCCB then kinachobaki ni ni kazi ya PCCB kufanya kazi yake.

Huwezi kuanzisha chombo, halafu chombo hicho kikitaka kufanya kazi yake wewe unazuia! Inawezekanaje serikali inayofuata sheria ikawasamehe wezi wa EPA, achilia mbali kina Chenge na wengineo? Haya huyaoni kweli au ndo uzuzu kwa kuwa unapata makombo yanayodondoka mezani kwa mafisadi?
 
"Everybody is considered Innocent until Proven Guilty",

That what president is demonstrating to you people who want to become parliament, judiciary and executive at same time... I know babu hawezi hii!!!

Brother Ben Sa8 please engage your brain, things are easy and no-brainer to understand...

So Wezi wa EPA walikua Innocent lakini akawaambia warudishe walichoiba.Doctrine ya Innocent until proven Guilty inafanyaje kazi.Engage you brain my Brother.Rule of Law,Mr.President alitakiwa kuwa mtu wa Mwisho kufanya jambo ambalo ni SILLY kama lile.Unless tumekua Banana Republic.

Mambo mengine yananikumbusha Mfalme Juha na Nchi ya Kusadikika.Makuwadi wa Mfalme Juha walizidi kumfanya azidi kuonekana kituko hadi alipoangamia kijuha kabisa.Tuache Unafiki na tutumie taaluma zetu na akili za kuzaliwa sasa.Ebo!

Kasheshe mimi na wewe tumekua hapa JF kwa miaka mingi sana.Tumeona evolution ya Utawala wa JK na baadhi ya viongozi wa upinzani na vyama vyao.Acha kuwapotosha Junior Members!Masikhara haya ni gharama kubwa
 
Last edited by a moderator:
Kuukubali ukweli kwa mwanasiasa siyo udhaifu bali ni dalili za kukomaa kisiasa.

Ukweli hauna Itikadi.

Endelea kusimama kwenye ukweli ambao ni ufunguo wa kwenye mema katika jamii.

Bravo

Sure, ukweli utabaki kuwa ukweli. Si kweli kuwa kila alilofanya kikwete ni baya, yapo mengi amefanya mazuri.
 
Kwangu Maneno ya Zito naweza kusummarize kuwa ..Tanzania tumefikia hatua ya kutisha katika udini. Haya ni mwendelezo tu wa yale aliyosema Prof. Lipumba, kwamba alihudhulia Kuapishwa JK sio kwa sababu uchanguzi ulikua huru na haki bali "Ni mwenzetu". Mtazunguka saaaana lakini hii ndio point, ivo msimshangae sana Zitto.
 
Asante ZZK kwa kukamilisha mpango wako ndani ya CHADEMA, unafanya vizuri katika nafasi yako
 
-Kwenye Sera za Mambo ya Nje hatuangalii matukio ya kutembelewa.Sera yetu ya Mambo ya Nje ambayo tenets zake ni za tangu enzi za Mwl.Nyerere zinatakiwa kufanyiwa overhaul.

Leo hii unashindwa kumtofautisha Rais na Waziri wa Mambo ya Nje.

Ikiwa unawezesha Marais 2 wa Mataifa makubwa ambayo yana ambitions za kuchota raslimali(Ambition za kibeberu) huku mikataba ikiwa ya Siri na huthubutu kuweka wazi ili watanzania wajue kama tumenufaika ama la,does it make you a vibrant leader? Huo ni udhaifu

Hatuwezi kujivunia kutembelewa na Mabeberu ikiwa hatujui na wala hatushirikishwi katika mikataba iliyosainiwa.Hapo wananchi tutakua tumemsaidia Chifu Mangungo.

2:Economic Diplomacy:Hadi sasa sera zetu za mambo ya nje zimeshindwa kwenda kasi na trend ya Dunia.Kenya wamelichukulua hili kwa umakini.Wizara imeshindwa ku-intergrate wizara ya Fedha na uchumi,viwanda na Biashara,Kilimo,Mali asili na Utalii na wizara ya Uwezeshaji.Tumekomalia uzururaji wa Rais kama nguzo kuu ya sera za Mambo ya nje.Tunatekeleza Sera ya Kuomba na Kushukuru

Membe ni msomi mzuri kwenye International Relations na ana uwezo lakini Rais hawezi kukwepa lawama za kuingilia Foreign Affairs.

Katika mamia ya Ziara za Rais nje ya nchi isije kuonekana kuwa ndiyo utekelezaji wa Sera za Mambo ya nje.Hapana!

Kukiwa na Sera imara kila jambo linaenda vizuri badala ya kutegemea kipaji cha kutembea cha Rais.Sera ni institutional Mechanism.Taasisi imara na sio watu imara wa kukata mbuga halafu wanarejea na matunda mwitu yenye sumu na kuiangamiza familia pole pole kwa miaka mingi ijayo.

Ni nini sera yetu kwa Afrika?Nini sera yetu specific kwa EU?Ni nini sera yetu kwa Middle East?Ni nini Sera Yetu kwa SADC.Ni ipi sera yetu kwa Latin America?Ni utashi na kipaji cha Rais kuweza kuweka pozi la Picha na wakuu wa nchi hizo tu?Uimara wa Rais hapa Siuoni zaidi ya kipaji chake tu cha kutembea na kuimarisha Album

Actually Rais asingekua na njia nyingine ya kuficha udhaifu wake zaidi ya kutoa uhuru wa maoni ambao ni constitutional Right.Siyo Hisani.
Hivi Jimbo la ZZK ni lipi?Itabidi 2015 uende ukampumzishe,maana nahisi madini yako kichwani yanahitajika!ZZK KACHOKA!Chezea mabinti wa kibongo??wanachukua hadi akili!!!
 
Hawa wachumi bongo,wajinga kwelikweli,huwa hawana uwezo wakuvuka mipaka ya udini.Si ajabu role model wake ni Lipumba.JK,na mwigulu.wote ni wachumi ktk siasa.
 
Ni wepesi sana kudanganywa hawa,tena kwa uongo walioutunga wao..hajajifunza mpaka leo kuwa misikitini husema uongo kuhusu ufaulu wao,husema uongo kuhusu hali z akiuchumi ktk misikiti na vurugu za kugombea ulaji..?kwanini asijuilize itakuweje leo iwe kweli...?Jamaa wa CUF walitegemea mpemba aje muona na kumpromote kwa kuitangaza CUF.Leo wataaambiana kuwa kwa vile Bayo sis muilam ndio maana watu hakuna.

Aisee hata warangi wa mbauda,majengo na sehemu za jirani hawakusogea?
 
Kama baada ya kusoma zaidi miaka 19 bado akili yako haiwezi kuchambua tofauti kati ya uvumilivu wa kisiasa na udhaifu, tutaandika nini hapa uelewe?

Ni aibu kwa Zitto kuwa ndiye amesema maneno hayo, shame on him and please get lost in the dark. You cannot fool us that far, jamaa ni dhaifu period.
 
Zito acha kujikomba komba kwa watawala utafika popote kwani uhuru wa maoni sio hisani ya kikwete bali ni haki ya kuishi ya binadamu hasa kwenye Nchi inayoamini democracia,
 
Kwangu Maneno ya Zito naweza kusummarize kuwa ..Tanzania tumefikia hatua ya kutisha katika udini. Haya ni mwendelezo tu wa yale aliyosema Prof. Lipumba, kwamba alihudhulia Kuapishwa JK sio kwa sababu uchanguzi ulikua huru na haki bali "Ni mwenzetu". Mtazunguka saaaana lakini hii ndio point, ivo msimshangae sana Zitto.

Okey kumbe link ya Zitto na JK ni dini.
 
Last edited by a moderator:
Hahaaa mzee wa sumu yaani wewe chuki zako kwa zitto bado hazijakuisha tu?
Mungu amuweke mbali na bahasha yako ile unabebeaga sumu maana tuliokuwa tumetumiwa na Mungu kumuokoa hatupo tena huko.
Hamna lolote wewe ndiye muuaji uliyekuwa umetumwa kuua viongozi Chadema. Ulipo fail ukakimbilia home kwenu. Sijui huyo bwana atabebana na wewe atatoka sayari gani! Takataka tupu ppppttttuuuuu!!!
 
Hivi Jimbo la ZZK ni lipi?Itabidi 2015 uende ukampumzishe,maana nahisi madini yako kichwani yanahitajika!ZZK KACHOKA!Chezea mabinti wa kibongo??wanachukua hadi akili!!!

Mhhh Deony !! !..........................!
 
Last edited by a moderator:
Ata mwaka 2010 jk alifka kigoma lakini hakufka katka jimbo la zito hvyo wana ajenda ya siri...fuatilien ishu ya lwakatare
 
Back
Top Bottom