Political tolerance --- sio udhaifu ndg.... Hongera Zitto kwa kuliweka hili vizuri.
...mapenzi mabaya! bado unamzimia Zitto pamoja na kuwakana? Utamuumiza Mwigulu we dada.Hahaaa mzee wa sumu yaani wewe chuki zako kwa zitto bado hazijakuisha tu?Mungu amuweke mbali na bahasha yako ile unabebeaga sumu maana tuliokuwa tumetumiwa na Mungu kumuokoa hatupo tena huko.
..tatizo ana-tolerate mpaka RUSHWA, UFISADI, UDINI, na mambo mengine mengi ambayo ni hatari kwa taifa.
cc: ZeMarcopolo, Maundumula
..tatizo ana-tolerate mpaka RUSHWA, UFISADI, UDINI, na mambo mengine mengi ambayo ni hatari kwa taifa.
cc: ZeMarcopolo, Maundumula[/QUOTE
NADHANI LINK YA ZITTO NA JK UISLAM.!!!!!
..tatizo ana-tolerate mpaka RUSHWA, UFISADI, UDINI, na mambo mengine mengi ambayo ni hatari kwa taifa.
cc: ZeMarcopolo, Maundumula[/QUOTE
NADHANI LINK YA ZITTO NA JK NI UISLAM.!!!!!
Kasheshe,Our problem ni kwamba sisi ni wasahaulifu,,, kwenye nchi inayofuata sheria ukishawezesha serikali ikawa na sheria... na aliweza kuhuisha sheria ya PCCB then kinachobaki ni ni kazi ya PCCB kufanya kazi yake.
Ni kichefu chefu sana kumsifia JK,tena kwa mgongo wa kusafiri sana na kutuletea ma rais.Hivi raisi wa China nani anaujua ukweli halisi kwamba alikuja kufanya nini,kama kuna msomi anafikiri alikuja kuangalia magorofa pacha,au kuja tu just kuja kumsalimia JK basi huyo ni empty magazine,kama kuna msomi tena mchumi anafikiri Obama anakuja kusalimia watanzania ambao ni jinarani na kwa baba yake basi mtu huyu amefilisika kifikra.hawa wote wanakuja kuchuma,cha mno JK akienda huko anambulia neti za mbu na kupiga picha na wasanii maarufu.
kwangu mimi JK ni hopeless moving figure
Ukiwa na Rais ambaye anahukumu watu na sio mahakama then hapo hakuna utawala bora.....umesahau kitendo cha Raisi kumpigia kampeni Basil Mramba??
..tatizo ana-tolerate mpaka RUSHWA, UFISADI, UDINI, na mambo mengine mengi ambayo ni hatari kwa taifa.
cc: ZeMarcopolo, Maundumula
Kasheshe,Ukiwa na Rais ambaye anahukumu watu na sio mahakama then hapo hakuna utawala bora...
Ukiwa na Rais ambaye anahukumu watu na sio mahakama then hapo hakuna utawala bora...
Rais hajatolerate udini.
..tatizo ana-tolerate mpaka RUSHWA, UFISADI, UDINI, na mambo mengine mengi ambayo ni hatari kwa taifa.
cc: ZeMarcopolo, Maundumula
..nimesema ana-tolerate RUSHWA, UFISADI, na UDINI.
..umekuja kujibu kwamba hajatolerate udini.
..je, ina maana umekubali ametolerate rushwa na ufisadi??
..hili la udini hujasikia aliyoyasema Prof.Lipumba??
..halafu mifarakano na mipasho ya kidini iliyoshamiri nchini, kama siyo Raisi na serikali, ulitegemea nani aweke mwongozo wa kurejesha uvumilivu na heshima??
Walahi kanda ya magharibi tulilamba galasa. Huyu Zitto mbona mnafiki sana huyu alizaliwa wapi kwanza? Mwanasiasa gani una rangi mbili mbili kama kinyonga? Hivi hata huo Urais unaoutaka ni mwendawazimu gan atakupa mnafiki kama ww?