Zitto katoa wapi pesa za kufanya 'private investigation' Uswisi?

Zitto katoa wapi pesa za kufanya 'private investigation' Uswisi?

British government inactive on freezing Mubarak regime accounts
139286-01-02.jpg


The British government has allowed 19 members accused of embezzling under the former regime to keep for the past year and a half financial assets and real estate whose value is estimated in the millions, an investigation by the BBC found.

“The UK is one of the worst countries when it comes to tracing and freezing Egyptian assets,” Mohamed Mahsoub Abdel Meguid, a public investigator and newly appointed legal and parliamentary affairs minister, told BBC Arabic. “The UK is doing nothing less than bleeding Egyptian assets, which can only be to the detriment of the Egyptian nation.”

The six-month investigation conducted by BBC Arabic and released first by The Guardian newspaper and London-based channel Al-Hayat has found millions of pounds in assets unfrozen in violation of international sanctions, including properties in Knightsbridge and Chelsea, and companies registered in the UK. Meanwhile, the British government says it has frozen about US$125 million of Egyptian money.

British government inactive on freezing Mubarak regime accounts | Egypt Independent
 
I agree

Pesa ikishaingia kwa wazungu huwa hairudi, na ikirudi wao huwa wana namna ya kuirudisha tena

Abacha Nigeria kaiba pesa zote hizo halafu wao wanarudisha vijisenti ambavyo vimerudi tena uswisi kupitia NGO na makampuni ya uswisi kupewa sub contracts.
 
Kinachotakiwa ni kumpa support watu wakiwa na mawazo kama ya mleta uzi maana yake tayari tunajigawa makundi kuangalia hayo mambo ya kapata wapi ela badala ya kufuatilia ela zilizofichwa. Mleta uzi asihofu lengo kuu ni kufuatilia fedha zilizofichwa hivyo basi mawazo yako ni ya mwisho baada ya zoezi kufanyika ndipo watu wahoji hayo mambo ya zito. Na ndio maana hata MKAGUZI MKUU WA SERIKALI huwa anahoji matumizi ya fedha baada ya kuwa ela zimeshatumika na si kabla ya matumizi maana itakuwa kama anawafundisha namna ya kutumia

bora umueleze cz cna hakika hata kama uyo mkaguzi mkuu anazijua kazi zake
 
I agree

Pesa ikishaingia kwa wazungu huwa hairudi, na ikirudi wao huwa wana namna ya kuirudisha tena

Abacha Nigeria kaiba pesa zote hizo halafu wao wanarudisha vijisenti ambavyo vimerudi tena uswisi kupitia NGO na makampuni ya uswisi kupewa sub contracts.
Ndiyo ujinga wa mafisadi,ubinafsi ndo unawaponza,badala ya kujenga nchi wanaziweka kwa wazungu na huwa kweli hazirudi kiurahisi.

Kwa kiasi kikubwa nakubaliana na George Smiley,lakini sikubaliani naye kwamba kuwaachia hao mafisadi waendelee kuziweka pesa huko uswisi ndiyo solution eti kwasababu huwa hazirudi zote ama huwa zinarudishwa kwa installments.

Kiukweli ndivyo wanavyofanya(wazungu),na huwa wanazirudisha through some programs kama education,infrastructrues nk.Lakini hilo halina maana kwamba tusijaribu kuikomesha hiyo tabia ya mafisadi in any means neccessary.

Sisi waafrika ni wajinga sana na ujinga wetu unatutafuna kweli kweli.Kikubwa ni ubinafsi na uvivu wa kufikiri.Tunatumiwa inside out!
 
Zitto anaishi dunia gani?

Uswisi ni mmoja katii ya nchi zilizokuwa zinatoa msaada Kenya, je walirudisha kiasi gani kati ya 10 billion usd alizoiba Moi wa Kenya?

Nigeria ambayo civil society yake ni more active na rigorous kuliko hawa wazugaji wetu walifuatilia weee zile pesa zilizochukuliwa na Abacha lakini hakuna hata senti moja ya maana iliyo rejeshwa.


Je mmesahau pesa za RADA serikali ya UK ilivyotusumbua kuzirejesha?

Zitto anazungumzia transparency lakini ilitakiwa awe transparent kwanza kuhusu huu mpango wake kwa kujibu maswali:

a) Je kuna sheria gani imekiukwa na watanzania kufungua akaunti Uswisi na kwingineko?

b) Je ana uthibitisho gani kuonyesha kuwa walio na akaunti uswisi waliziiba toka kwa umma?

c) Je akiwataja watu majina na wengine wakawa hawana hatia atatoa wapi pesa za kuwalipa wakimshitaki?

d) Je tatizo lake ni watu kuwa na akaunti uswisi au kutolipa kodi Tanzania au vipi? Inabidi Zitto awe clear na objective yake hapa.....

KWA COMMENT KAMA HIZI, Bila shaka wewe ni mkwamishaji wa juhudi za kupambana na udhalimu na wizi wa rasilimali za umma.Naweza kuwa sijakosea nikikuhusisha na kunufaika na hizi ishu..

1. Mtumishi wa umma na kiapato chako kinajulikana na huna asili ya biashara,Unatoa wapi huo utajiri mkubwa ($billions)?
2. unafungua account USWISS ya kazi gani,Na hayo mabilion unayatoa wapi???
3. Kama watuhumiwa wakuu ni viongozi waandamizi serikalini, ulitegemea washirikishwe kwenye uchunguzi huo??

haya mabo ya kutetea maslahi ya umma ni kupeana moyo, kuombeana na kutoa mawazo ya kufanikisha juhudi za kutokomeza wizi na ufisadi badala ya kukatishana tamaa kisa kuna namna ambayo wewe unafaidika na huo mfumo.
 
Matatizo ya watu kudandia mambo wasiyoyajua, sasa mtu aliyeileta hii picha inahusikaje kwenye uzi huu?
Well, kwa ajili JF imegeuka jukwaa la kupiga soga basi ngoja niwasaidie kama hivi:
Kushoto ni madam Ritta, kulia ni Maria Sarungi na Lady JD
Hiyo ilikuwa ni siku ya jumamosi tarehe 1 Dec kwenye Red Ribbon Fashion Galla pale Serena Hotel, na hicho kitabu mnachokipigia kelele kilikuwa kinanadiwa na Mhe. Zitto alifanikiwa kukinunua kwenye mnada ule ambao madhumuni yake ni kusaidia watoto yatima waathirika wanaolelewa na Tanzania Mitindo house.
Hii picha itakuwa imetolewa kwenye blog ya michuzi

asante kwa aya majibu kwanza,thn nimegundua kuna watu umu ndani wapo kwa ajili ya kuropoka bila ya kuwa na uhakika na kile wanacho post,i hp yule aliyesema zitto kabeba iko kitabu kwa lengo la kujionyesha amepata majibu yake jinsi ilivyokuwa.
 
26. Hivi wananchi wa jimbo lake watasemaje kuhusu huu mpango wa mbunge wao kufanya ziara ya muda mrefu kwenye hizo Tax havens ambazo anajua fika hatopata kitu?

watu wengine bwana sjui huwa hawapigi mswaki .. suala hili si la ZZK tena ni azimio la bunge so watafanya investgation kwa kufuata bunge limesemaje huku wakipitia taratibu zote, Kaa pembeni .

  • :shut-mouth:




 
zitto bwana very clever!!!alipiga kelele kuhusu buzwagi jk akamteua kwenye tume ya madini akapiga pesa za kutosha hadi akaona posho ni ufisadi,akazisusa..sasa kaja na hii singo na ameshajumuishwa kwenye timu ya uchunguzi,.atapiga hela za kutosha na ubunge keshasema hataki tena,hata akishindwa kuthibitsha haimathiri chochote sababu urais alikuwa anatania na watu mkadhani yuko serious...that's zitto zuberi kabwe
 
zitto bwana very clever!!!alipiga kelele kuhusu buzwagi jk akamteua kwenye tume ya madini akapiga pesa za kutosha hadi akaona posho ni ufisadi,akazisusa..sasa kaja na hii singo na ameshajumuishwa kwenye timu ya uchunguzi,.atapiga hela za kutosha na ubunge keshasema hataki tena,hata akishindwa kuthibitsha haimathiri chochote sababu urais alikuwa anatania na watu mkadhani yuko serious...that's zitto zuberi kabwe
ZZK pro RA the king's maker of TZ. sasa yuko na Baba mwanaasha!! amepewa deal na anapewaga Madeal na TISS kwa shinikizo la Ba mwanasha. ZZK a multi faced hypocrite TZ has ever had!! He in service of one CCMAGAMBA wing. He is being used!! aka gogo la choooni!!
 
Pesa ikishaenda kwa kwa wazungu huwa hairudi kama huamini jiulize huyu jamaa GENERAL SANI ABACHA aliiiba zaidi ya 5 billion USD

Wazungu wamerudisha kiasi gani Nigeria?

sani_abacha_nigeria.jpg



The Ambassador of Switzerland to Nigeria, Dr. Hans-Rudolf Hodel has disclosed that a total of $700 million deposited in Swiss banks by the late former military President, General Sani Abacha have so far been returned to the Nigerian government even as proceedings are still pending in Geneva against Abacha’s son, Abba, for support of a criminal organization.
He added that in the last 15 years, Switzerland has so far returned about $1.7 billion of illicit money to their countries of origin including Angola, Peru, Nigeria and the Philippines.
Hodel made this disclosure in Abuja, Tuesday, when he briefed newsmen about an upcoming seminar by the Switzerland embassy and the Inter-Governmental Action Group against Money Launring in West Africa (GIABA) on Anti – Money Laundering and Combating the Financing of Terrorism where he noted that he is not aware of the existence of $1 billion alluded to by former President Olusegun Obasanjo as still being held in the Swiss banks.
 
Very trivial and silly questions?!!!!

37.jpg


Hivi mshahara na marupurupu yake yote kwa mwezi ni kiasi gani?

Ana biashara zipi alizo declare kama mbunge

all in all Zitto ana worth kiasi gani?

Sasa tujishajumuisha cha kujiuliza maswali yafuatayo:

1. Je kuna umuhimu gani yeye kwenda?
2. CHADEMA na uongozi wake wameshirikishwa kwenye hili au ni CRUSADE ya Zitto na ego yake?
3. Gharama za HOTELI, CHAKULA, MAWASILIANO, USAFIRI, WA NDEGE NA TAXI analipia nani? je zinaweza kufikia kiasi gani per day?
4. Je serikali ya Uswisi itampa ulinzi?
5. Je kaishirikisha Ubalozi wa Tanzania Geneva?
6. Je kaishirikisha Wizara ya mambo ya nje?
7. Je kaishirikisha Usalama wa Taifa
8. Je kaishirikisha wizara ya sheria?
9. Je kaishirikisha wizara ya utawala bora?
10.Je kaishirikisha OECD
11.Je kaishirikisha EU
12. Je kaishirikisha wizara ya fedha?
13. Je kaishirikisha BOT?
14. Je kazishirikisha hizo benki zilizofanya transfer?
15. Je kaishirikisha PCCB ?
16. Je kaishirikisha INTERPOOL?
17. Je kaishirikisha wizara ya fedha ya USWISI?
18. Je kaishirikisha BENKI KUU YA USWISI?
19. Je kaishirikisha POLISI YA USWISI?
20. Je kashawaandikia watuhumiwa barua za kujieleza? na alipoandika barua aliandika kama nani?
21. Je akikuta watu washamaisha hizo pesa kwenda nchi 30 duaniani ataendelea na ziaya yake kwenda kwenye hizo nchi zote?
22. Je akikuta kuwa hakuna pesa ata refund pesa alizopewa na chama au?
24. Je anategemea kutumia gharama za kiasi gani kwenye hii CRUSADE yake?
25. Atataumia legal jurisdiction zipi kwenye huu mpango wake?
26. Hivi wananchi wa jimbo lake watasemaje kuhusu huu mpango wa mbunge wao kufanya ziara ya muda mrefu kwenye hizo Tax havens ambazo anajua fika hatopata kitu?

Huyu ni mbunge kijana ana anaonekana anapenda kujionyesha kuwa ana mawazo mbadala lakini sasa naanza kupatwa na question marks kuhusu huu mpango wake wakati tunajua fika kuwa huhitaji kwenda Uswisi kujua kama Tanzania ina mafisadi.

Kama akitaka tumwone serious angeanza na TRA/TPA ili kujua kwa nini tanzania inapoteza minimum BILIONI 300 per day kutokana na uozo uliopo pale bandari na TRA
 
An attempt to uncover the truth is highly appreciated...... the monies in mission is very immaterial in relation to plunder under investigation. However It may prove to be unfruitful but it will act as preventive mechanism for poeple who wish to attempt doing it in future. It is patriotic move that deserves a courage from a patriotic Tanzanian!

Kwa hesabu za haraka haraka tuu tena kwa conservative estimates itabidi Zitto awe na minimum 4 million usd.

na hiyo sio guarantee kuwa atapata kujua who did what, when and where. In short wenzake nijuavyo washahamisha pesa kwenda kwenye layers of more than 30 corporations, foundations and trusts tena kwa majina ya wengine na makampuni mengine.

Kingine Zitto lazima ajue kuwa uchumi wa nchi hizo unaendeshwa kwa pesa za wizi ndio maana wazungu walifanya colonialism kwani wako driven by plunder.

Na pia asitegemee kuwa hao mambalozi wa nchi hizo wanavoongea naye na mikutano yake nao wao wana interest saaaana na Tanzania. Hao wako huku Tanzania kulinda interests zao including modern day plunder ya makampuni yao namshauri angeanza kusoma kitabu vifuatavyo:

124894886.JPG
102042413.jpg
103051357.jpg
166845544.JPG
102674984.jpg
103182277.jpg
 
The Ambassador of Switzerland to Nigeria, Dr. Hans-Rudolf Hodel has disclosed that a total of $700 million deposited in Swiss banks by the late former military President, General Sani Abacha have so far been returned to the Nigerian government even as proceedings are still pending in Geneva against Abacha’s son, Abba, for support of a criminal organization.
He added that in the last 15 years, Switzerland has so far returned about $1.7 billion of illicit money to their countries of origin including Angola, Peru, Nigeria and the Philippines.
Hodel made this disclosure in Abuja, Tuesday, when he briefed newsmen about an upcoming seminar by the Switzerland embassy and the Inter-Governmental Action Group against Money Launring in West Africa (GIABA) on Anti – Money Laundering and Combating the Financing of Terrorism where he noted that he is not aware of the existence of $1 billion alluded to by former President Olusegun Obasanjo as still being held in the Swiss banks.

Abacha kaiba more tha 5 bILLION USD

Swiss wamerudisha 700 million usd

zilizobaki wamegoma kurudisha

Moi wa Kenya aliiiba ngapi na UK wamekubali kurudisha ngapi?
 
Abacha kaiba more tha 5 bILLION USD

Swiss wamerudisha 700 million usd

zilizobaki wamegoma kurudisha

Moi wa Kenya aliiiba ngapi na UK wamekubali kurudisha ngapi?

Moi aliiba 10 billion na UK wamegoma kurudisha hata senti 5 wenyewe huita ndururu

Hawa jamaa hapa chini washaiba kiasi gani toka Tanzania kupeleka UK kwa mlango wa nyuma?

photo_verybig_118321.jpg
 
Katumwa huyo utafikiri analipwa?we kinakuuma nini Zito akifanya kwa kutumia hela yake mwenyewe?
 
Hata ya EPA, maswali ya hivi yaliletwa, baadaye ikagundulika kuwa ni ukweli.

Pamoja na methodology, na gharama alizotumia, suala la msingi ni kuwa aliyosema ni ya kweli au si ya kweli.

Nafurahi kuwa mwanasheria mkuu ameunda kikosi kazi kinachoshirikisha Usalama wa Taifa na Interpol kuhakiki ukweli wa madai ya Zito. Hilo ndilo la muhimu.

zanzibar huru, ukijua ametoa wapi pesa, ukweli wa madai utaupeleka wapi?

Well said mkuu,
yaani nashindwa kuelewa kwa nini baadhi ya wana JF wanamjia juu Kabwa, kumkejeli, kumbeza nk! Kwani tatizo liko wapi - kwani kuna dhambi gani kuthubutu, mwacheni afanye upelezi/utafiti wake kwa njia anazo zijuwa mwenyewe, sio vizuri kukatisha watu tamaa.

Kwani hata akishindwa si atajilahumu mwenyewe, sisi tuna haki gani ya kutaka kumuwekea spana kwenye hazima yake. Watanzania tubadilike, kwa nini tunashindwa kuwa na mantra ya "YES WE CAN" sina shaka Mh.Kabwe anasukumwa na mantra tajwa hapo juu.
 
Back
Top Bottom