Zitto katoa wapi pesa za kufanya 'private investigation' Uswisi?

Zitto katoa wapi pesa za kufanya 'private investigation' Uswisi?

37.jpg

Hivi mshahara na marupurupu yake yote kwa mwezi ni kiasi gani?

Ana biashara zipi alizo declare kama mbunge

all in all Zitto ana worth kiasi gani?

Sasa tujishajumuisha cha kujiuliza maswali yafuatayo:

1. Je kuna umuhimu gani yeye kwenda?
2. CHADEMA na uongozi wake wameshirikishwa kwenye hili au ni CRUSADE ya Zitto na ego yake?
3. Gharama za HOTELI, CHAKULA, MAWASILIANO, USAFIRI, WA NDEGE NA TAXI analipia nani? je zinaweza kufikia kiasi gani per day?
4. Je serikali ya Uswisi itampa ulinzi?
5. Je kaishirikisha Ubalozi wa Tanzania Geneva?
6. Je kaishirikisha Wizara ya mambo ya nje?
7. Je kaishirikisha Usalama wa Taifa
8. Je kaishirikisha wizara ya sheria?
9. Je kaishirikisha wizara ya utawala bora?
10.Je kaishirikisha OECD
11.Je kaishirikisha EU
12. Je kaishirikisha wizara ya fedha?
13. Je kaishirikisha BOT?
14. Je kazishirikisha hizo benki zilizofanya transfer?
15. Je kaishirikisha PCCB ?
16. Je kaishirikisha INTERPOOL?
17. Je kaishirikisha wizara ya fedha ya USWISI?
18. Je kaishirikisha BENKI KUU YA USWISI?
19. Je kaishirikisha POLISI YA USWISI?
20. Je kashawaandikia watuhumiwa barua za kujieleza? na alipoandika barua aliandika kama nani?
21. Je akikuta watu washamaisha hizo pesa kwenda nchi 30 duaniani ataendelea na ziaya yake kwenda kwenye hizo nchi zote?
22. Je akikuta kuwa hakuna pesa ata refund pesa alizopewa na chama au?
24. Je anategemea kutumia gharama za kiasi gani kwenye hii CRUSADE yake?
25. Atataumia legal jurisdiction zipi kwenye huu mpango wake?
26. Hivi wananchi wa jimbo lake watasemaje kuhusu huu mpango wa mbunge wao kufanya ziara ya muda mrefu kwenye hizo Tax havens ambazo anajua fika hatopata kitu?

Huyu ni mbunge kijana ana anaonekana anapenda kujionyesha kuwa ana mawazo mbadala lakini sasa naanza kupatwa na question marks kuhusu huu mpango wake wakati tunajua fika kuwa huhitaji kwenda Uswisi kujua kama Tanzania ina mafisadi.

Kama akitaka tumwone serious angeanza na TRA/TPA ili kujua kwa nini tanzania inapoteza minimum BILIONI 300 per day kutokana na uozo uliopo pale bandari na TRA
Pesa kapewa na Mustpha Sabodo
 
mapambano lazima yawe na starting point zitto ameanzisha moto ni jukumu letu kuchochea kuni
 
sasa sidhani kama zitto ataelewa maana ya hii picha au alisoma historia yake. Jinsi ilivyo ikifika easter mwakani tutajua kama anasoma vitabu na kuelewa au na yeye anataka kuwa na library kubwa ya vitabu kama swahiba yake.

trojan-horse2.jpg

hatari hatari, waambieni hao watu wakimbie ndani ya hilo dudu kuna maadui. Watauliwa wote hao. Nimeiona hiyo movie. Maa weeee!
 
GT wanapaswa kujadili HOJA, kushindana kwa hoja, na si kushambulia nafsi! Inquisitive mind is far better!

tena unaweza ukakuta aliyeleta uzi huu yumo CDM , wivu na husda tu
 
Wazo mbadala wewe zanzibar huru? Ulitaka afanyeje?
Watu wengine mpo ku katisha watu tamaa tu na ku critisize, na hamtoi the way foward
 
Sasa sidhani kama Zitto ataelewa maana ya hii picha au alisoma historia yake. Jinsi ilivyo ikifika Easter mwakani tutajua kama anasoma vitabu na kuelewa au na yeye anataka kuwa na library kubwa ya vitabu kama swahiba yake.

trojan-horse2.jpg
Thats the Trojan Horse,from the Trojan war.Nadhani hata malicious program ya "trojan horse",hiyo term imetolewa kutoka kwenye hivyo vita vya wagiriki.Unaweza kusema ni kivipi tunaweza kuufananisha mfano huo na issue hii ya Zitto.Maana kwenye hiyo stori,hilo lifarasi lilotolewa kama zawadi kwa Trojans(from Odysseus),kumbe kuna wanajeshi wamejificha humo ndani.
 
banks are mafia lodges, may someone tell zito to make other recovery measures on local assets abused by chama cha mapinduzi, the pay back period of mr zitto mission is infinity, kama umeshindwa kurecover hela za EPA kwenye local banks how can you rap on SWIZZ BEAT, its a laugh, a comic move to the sane brain.

I whoMleta hoja alisema hapo awali kuwa pale TRA/TRA per day zaidi ya bilioni 100 zinapotea kwa wizi.

Nchi za ulaya zime endelea kwa sababu ya plunder, toka enzi na enzi. I cant see them returning a single penny hata kama ikiwa established kuwa pesa ziliibiwa toka kwenye coffers za taifa

Its another day another attention seeking politician trying to divert attention the real incompetency tuliyonayo inayofanya watu wawe wanaiba.

Nijuavyo mimi hawa private investigators per day going rates zao per day ni around $40,000 na hiyo ni very conservative estimate.

sasa piga hesabu hiyo x 5 months na hao hawatokupatika kila kitu ili urudi tena.
 
I whoMleta hoja alisema hapo awali kuwa pale TRA/TRA per day zaidi ya bilioni 100 zinapotea kwa wizi.

Nchi za ulaya zime endelea kwa sababu ya plunder, toka enzi na enzi. I cant see them returning a single penny hata kama ikiwa established kuwa pesa ziliibiwa toka kwenye coffers za taifa

Its another day another attention seeking politician trying to divert attention the real incompetency tuliyonayo inayofanya watu wawe wanaiba.

Nijuavyo mimi hawa private investigators per day going rates zao per day ni around $40,000 na hiyo ni very conservative estimate.

sasa piga hesabu hiyo x 5 months na hao hawatokupatika kila kitu ili urudi tena
.
Mkuu mbona una wasiwasi sana as if hizo pesa za uchunguzi unazitoa wewe?Kweli concern yako ni kuzionea pesa za uchunguzi huruma?
 
Thats the Trojan Horse,from the Trojan war.Nadhani hata malicious program ya "trojan horse",hiyo term imetolewa kutoka kwenye hivyo vita vya wagiriki.Unaweza kusema ni kivipi tunaweza kuufananisha mfano huo na issue hii ya Zitto.Maana kwenye hiyo stori,hilo lifarasi lilotolewa kama zawadi kwa Trojans(from Odysseus),kumbe kuna wanajeshi wamejificha humo ndani.

Ever thought kuwa zitto kapewa list ambayo kwa macho inaweza kuonekana ni impressive lakini waliompatia liyo so called list of shame kuna possibility walikuwa wana yao na wanajua kuwa sababu zitto ni reactionary lazima atabweteka bila kufanya uchunguzi wa kina.

As it it is kuna mawili yamejiri:

1. Katangaza kuwa anayo list

2. Katangaza anazo accounts

3. Uswisi wamemwambia hawawezi kutoa majina ya watu pasipo legal requirement yoyote ile toka kwa recognised legal authority ambayo wao wanaitambua

4. Serikali ya Tanzania imeunda task force ambayo ndani yake ni TISS, ofisi ya CJ, PCCB na more importantly ZITTO mwenyewe

5. By Easter au around May next year hii issue itakuwa isham discredit ana believe it or not atarukia anaother populist issue.

6. Hii issue itakuwa kama trojan horse na sidhani kama atafika mbali. Kama NIGERIA wameshindwa kurudisha na US/EU Governments explicitly said hawana mamlaka ya kurudisha pesa zilizoibiwa.

hivi kuna mtu anajua ile issue ya majina ya MwembeYanga imefikia wapi?
 
Mkuu mbona una wasiwasi sana as if hizo pesa za uchunguzi unazitoa wewe?Kweli concern yako ni kuzionea pesa za uchunguzi huruma?

40,000 x 30 days x 6months....minus other legal expenses....na majibu tunayajua yatakuwa yepi.

issue sio wasi wasi, issue hapa sipendi kufanywa kama mjinga na hawa wansiasa ambao wanajua fika mirija ya ufisadi iko humu humu Tanzania lakini wanyamaza kisha wanakuja kutuletea hizi half baked measures ambazo tunajua fika zitatu cost more kuliko kitu chochote kile.

Tunaishi kwenye jamii ambayo kila kukicha tunaaburuzwa

Majina ya wauza unga
Majina ya Mwembe yanga
Majina ya wenye akaunti uswisi

As if watanzania wako interested na majina. Tukizuia huku ndani hakuna kitakacho toka na hilo hakuna mwana siasa ambao wako tayari kukubali kwani itawabana na wao.
 
Nakubaliana na wewe,ila binfasi nadhani majina yatajwe na pia kuwepo na accountability,yani measurements zitake place hand to hand with naming them.Hatuwezi tu kusema tutazuia bila ya kuwataja na kuwachukulia hatua hao culprits.Yani hatuwezi "kuzuia huku ndani" kama zoezi hilo halitaenda hand to hand na uwajibishaji.
 
Ever thought kuwa zitto kapewa list ambayo kwa macho inaweza kuonekana ni impressive lakini waliompatia liyo so called list of shame kuna possibility walikuwa wana yao na wanajua kuwa sababu zitto ni reactionary lazima atabweteka bila kufanya uchunguzi wa kina.

As it it is kuna mawili yamejiri:

1. Katangaza kuwa anayo list

2. Katangaza anazo accounts

3. Uswisi wamemwambia hawawezi kutoa majina ya watu pasipo legal requirement yoyote ile toka kwa recognised legal authority ambayo wao wanaitambua

4. Serikali ya Tanzania imeunda task force ambayo ndani yake ni TISS, ofisi ya CJ, PCCB na more importantly ZITTO mwenyewe

5. By Easter au around May next year hii issue itakuwa isham discredit ana believe it or not atarukia anaother populist issue.

6. Hii issue itakuwa kama trojan horse na sidhani kama atafika mbali. Kama NIGERIA wameshindwa kurudisha na US/EU Governments explicitly said hawana mamlaka ya kurudisha pesa zilizoibiwa.

hivi kuna mtu anajua ile issue ya majina ya MwembeYanga imefikia wapi?
Hapa ndo sijakupata,je una maana kuwa waliompa Zitto majina ni local people from Tanzania?Maana sioni haja ya watu wa mataifa ya nje kumtega Zitto kwasababu yeye ni "reactionary".Sioni possibility hiyo.Unless una taarifa kwamba kapewa hiyo list ya majina na wabongo.
 
nimemkopesha hizo hela..una swali jingine?:glasses-nerdy:
 
na hadi ze kitukuu wa kitukuu wa sherlock holmes atatumika....hela ya waokota machupa ya maji ya bakresa barabarani itarudi tu
:becky:
 
Nakubaliana na wewe,ila binfasi nadhani majina yatajwe na pia kuwepo na accountability,yani measurements zitake place hand to hand with naming them.Hatuwezi tu kusema tutazuia bila ya kuwataja na kuwachukulia hatua hao culprits.Yani hatuwezi "kuzuia huku ndani" kama zoezi hilo halitaenda hand to hand na uwajibishaji.

whats the purpose of naming names? what if watu waliotajwa ni innocent? fines atalipa nani.
 
whats the purpose of naming names? what if watu waliotajwa ni innocent? fines atalipa nani.
Kutaja kuwa watu wana accounts uswisi ni one thing,na pesa hizo kutokupatikana kihalali ni another thing.

Sidhani kama aliwahukumu aliposema anayo majina ama kwamba atayataja.Inawezekana kuna ambao wanazo hizo pesa huko lakini ni za halali.

Kwahiyo naona wewe ndiyo una wasiwasi,sidhani kama Zitto alisema kuwa wamezipata hizo pesa isivyo halali.

However ni muhimu uchunguzi ufanyike ili kujuwa kama walizipata kihalali,ama wao wenyewe kuja clean na kusema walivyozipata.

Jambo la kushangaza,ni kwasababu kitendo cha kuziweka huko Uswisi(especially viongozi), ni sawa na kuzificha.Its fishy,na ndiyo maana tuna demand uchunguzi.
 
hata ya epa, maswali ya hivi yaliletwa, baadaye ikagundulika kuwa ni ukweli.

Pamoja na methodology, na gharama alizotumia, suala la msingi ni kuwa aliyosema ni ya kweli au si ya kweli.

Nafurahi kuwa mwanasheria mkuu ameunda kikosi kazi kinachoshirikisha usalama wa taifa na interpol kuhakiki ukweli wa madai ya zito. Hilo ndilo la muhimu.

zanzibar huru, ukijua ametoa wapi pesa, ukweli wa madai utaupeleka wapi?

yani watu kama hawa ni hatari sana kwa society,saa hizi anam question zitto, ila ikigundulika ni ukweli na majina yakatajwa , atakuja kumpongeza tena. Mleta mada anakuwa kama hajui system ya tanzania ikoje. Kwanini apitie huko huko serikalini? Thank 4 the good cause zitto is doing to tanzania.
 
Kutaja kuwa watu wana accounts uswisi ni one thing,na pesa hizo kutokupatikana kihalali ni another thing.

Sidhani kama aliwahukumu aliposema anayo majina ama kwamba atayataja.Inawezekana kuna ambao wanazo hizo pesa huko lakini ni za halali.

Kwahiyo naona wewe ndiyo una wasiwasi,sidhani kama Zitto alisema kuwa wamezipata hizo pesa isivyo halali.

However ni muhimu uchunguzi ufanyike ili kujuwa kama walizipata kihalali,ama wao wenyewe kuja clean na kusema walivyozipata.

Jambo la kushangaza,ni kwasababu kitendo cha kuziweka huko Uswisi(especially viongozi), ni sawa na kuzificha.Its fishy,na ndiyo maana tuna demand uchunguzi.

Moi wa Kenya aliiba zaidi ya 10 billion wazungu walirudisha kiasi gani?

Abacha wa Nigeria aliiba 4 billion usd je wazungu walirudisha kiasi gani ya hicho?

Mubutu pesa alizoiba Zaire wazungu walirudisha kiasi gani?
 
Sasa tujishajumuisha cha kujiuliza maswali yafuatayo:

5. Je kaishirikisha Ubalozi wa Tanzania Geneva?
6. Je kaishirikisha Wizara ya mambo ya nje?

13. Je kaishirikisha BOT?
14. Je kazishirikisha hizo benki zilizofanya transfer?

21. Je akikuta watu washamaisha hizo pesa kwenda nchi 30 duaniani ataendelea na ziaya yake kwenda kwenye hizo nchi zote?

25. Atataumia legal jurisdiction zipi kwenye huu mpango wake?

Kwa mujibu wa maelezo ya Zitto kutoka Star TV;
5 & 6 amesema Uswisi ni moja kati ya nchi zinazotoa misaada kwa Tanzania kwahiyo serikali waongee nao wawasaidie katika hili, pia ikiwezekana kuwa na mkataba wa transparency kati ya nchi hizi mbili ili taarifa ziwe wazi.

13 &14 amesema kisheria mtu yeyote akihitaji kuhifadhi au kuhamisha fedha nje lazima awe na kibali cha gavana na kwa kuanzia BOT itoe list ya hao waliopewa vibali kufungua akaunti nje.

21 amesema traces zote zitapatikana kuanzia pale mchakato ulipoanzia (yani BOT) kwenda kwenye hizo akaunti na hata zikihamishwa itaonekana zilipoelekea japo amesema kazi haitakuwa rahisi ila watanzania wasipende mambo marahisi.

25 amesema ajenda hii sio yake kama Zitto yeye katumika tu kuiwakilisha kwasababu yupo kwenye nafasi ya kutumia platform ya bunge, kuna vijana wakitanzania ambao ni waandishi wa habari za kichunguzi wenye connections Uswisi Joburg na kwingineko, pia wabunge wa ndani na nchi nyingine ndio wameshirikiana katika hili sakata
 
Back
Top Bottom