Zitto katoa wapi pesa za kufanya 'private investigation' Uswisi?

Zitto katoa wapi pesa za kufanya 'private investigation' Uswisi?

Huyu kaibia Kenya zaidi ya usd 40 billion

Daniel+Arap+Moi.jpg



Pesa zimefishwa kwenye banks hizi hapa na hakuna hata senti 5 iliyorudishwa kenya:

pesa zingine ziko humu:
288795.jpg

121018044059-goldman-sachs-greg-smith-story-top.jpg


na kama anazo pesa za kutosha pesa ananazo zitaka zito ziko address hii hapa NEW YORK:

740 PARK AVENUE (le Mutuz na watu wa NYC wanaweza ku confirm nani anakaa humo...na ina a way wako connected na hao ambao Zitto kaambiwa wana accounts Uswisi)
article-2030131-0D921DA000000578-272_468x533.jpg

data=Ay5GWBeob_WIPLDYoIWcfVXxvZu9XwJ55OX7Ag,vuq4wY6_rhE9kyirukO5hCd508h6iM4AKGKaXQncoGUe8PU8DFZteEaWSEzBQu-6VZch5ykWdmdCiNFc8olQQiIdNEAtKEyVZA5caBOydwnRIIaLqN93m0gi_sh5I_vcq75ddw



Zitoo kabwe yupo au?

mmeona leo AG alivyomgeuka?
 
Kwa hesabu za haraka haraka tuu tena kwa conservative estimates itabidi Zitto awe na minimum 4 million usd.

na hiyo sio guarantee kuwa atapata kujua who did what, when and where. In short wenzake nijuavyo washahamisha pesa kwenda kwenye layers of more than 30 corporations, foundations and trusts tena kwa majina ya wengine na makampuni mengine.

Kingine Zitto lazima ajue kuwa uchumi wa nchi hizo unaendeshwa kwa pesa za wizi ndio maana wazungu walifanya colonialism kwani wako driven by plunder.

Na pia asitegemee kuwa hao mambalozi wa nchi hizo wanavoongea naye na mikutano yake nao wao wana interest saaaana na Tanzania. Hao wako huku Tanzania kulinda interests zao including modern day plunder ya makampuni yao namshauri angeanza kusoma kitabu vifuatavyo:

124894886.JPG
102042413.jpg
103051357.jpg
166845544.JPG
102674984.jpg
103182277.jpg



Asante mkulu

nishapata reading list...

kuhusu Zitto naweza kusema kuwa he's full of hot air
 
Umeielewa vizuri hoja ya Zitto kweli? Hebu kasome upya gazeti la mwananchi utajua Zitto ameongea nini. Wakati mwingine msipende sana kukurupuka tu na kuanza kushambulia vitu bila kuelewa. Zitto anasema kama investigation itafanywa kwa kutumia mfumo wa kiserikali kwa maana ya kushirikisha serikali ya Tanzania na Uswis, process yake itakuwa ni ndefu na inaweza kuwa ngumu. Lakini kama mkifanya private investigations, (kwa mfano selikali ya Tanzania itumie inteligensia yake ku-investigate ni akina nani wana pesa huko, ni kiasi gani na walizipataje), mnaweza kutoka na majibu mazuri kabisa. Maana kwenye private investigation hamuhitaji kuishirikisha serikali ya Uswis, mtadeal na wahusika moja kwa moja na wahusika wenyewe ndiyo watakaowapa access kwenye account zao za nje.

"Zitto alisema uchunguzi utakaofanywa utafuata mfumo wa uchunguzi binafsi na kubainisha kuwa, kufuata mfumo wa kiserikali kunaweza kuwa na vikwazo vingi. “Sisi hatufuati mfumo wa kiserikali, mfumo wa kiserikali ndiyo una masharti hayo. Sisi tunafuata mfumo wa uchunguzi binafsi,” alisema Zitto. Quoted from Mwananchi.

Halafu idea ya Zitto kuwa sehemu ya hiyo investigation si yake, bali ni ya mwanasheria mkuu ambaye ameunda kikosi kazi cha kufanya hiyo investigation. Ni mwanasheria ndiye anayependekeza Zitto awe kwenye hiyo team. sasa sielewi hapa Zitto anasekamwa kwa lipi? Na hilo haliihusu CHADEMA bali linamhusu Zitto kama mtu binafsi. sanasana ataomba tu ruhusa kwa bosi wake.
Zitto amesema hajui jina la mtu yeyote mwenye akaunti Uswiss wala hana hata namba ya akaunti hata mmoja inayohusiana na kitu kama hicho, kasema katika tume iliyoundwa ikiongozwa na AG. Mbona mnakuwa na vichwa vigumu vya kuelewa. Manake Zitto anatuhadaa tu sisi watanzania. Mwacheni tu. Kumbuka Ukiwa mnafiki wakati wa ujana wako, ukizeeka utakuwa mchawi!
 
Sasa sidhani kama Zitto ataelewa maana ya hii picha au alisoma historia yake. Jinsi ilivyo ikifika Easter mwakani tutajua kama anasoma vitabu na kuelewa au na yeye anataka kuwa na library kubwa ya vitabu kama swahiba yake.

trojan-horse2.jpg
Ulitisha sana....itwas on that December and we are now on this December, kama ilivyo kwa muanzisha mada.
Wengi tulijiuliza kuhusu huyu jamaa, lakini hatukueleweka.
 
quote_icon.png
By Mpaka Kieleweke

Kosa kubwa la kimantiki na kimkakati alilofanya Zitto ni kutoa ushahidi mbele ya kamati kwa hati ya kiapo, hata kesho akija na majina au jina , ile hati ya kiapo na maelezo yake yatamfunga, hili ndio kosa kubwa la kwanza.
kosa la pili, ni kutokujitokeza yeye wa kwanza na kueleza kuwa alitoa maelezo kwenye kamati ambayo ama hakutaka kutoa ushahidi wake wakati huo kwani alikuwa akiendelea na upelelezi au vinginevyo.......Hoja imekufa kifo cha kujitakia ,

kosa latatu, ni Zitto kuifanya hoja hii kama mali yake binafsi ama kente yake binafsi, ndio maana amejikuta akisulubiwa yeye binafsi badala ya taasisi yake ama. Kambi ya Upinzani, hili ni kosa la kutaka kuonekana kuwa mimi ni bora zaidi ya wale,mimi nna hoja nzito zenye maslahi ya taifa kuliko wale , mimi ni Msomi kuliko wale na wao , it's a grave mistake.


sasa safari zote hizo alispend kiasi gani?
 
Ever thought kuwa zitto kapewa list ambayo kwa macho inaweza kuonekana ni impressive lakini waliompatia liyo so called list of shame kuna possibility walikuwa wana yao na wanajua kuwa sababu zitto ni reactionary lazima atabweteka bila kufanya uchunguzi wa kina.

As it it is kuna mawili yamejiri:

1. Katangaza kuwa anayo list

2. Katangaza anazo accounts

3. Uswisi wamemwambia hawawezi kutoa majina ya watu pasipo legal requirement yoyote ile toka kwa recognised legal authority ambayo wao wanaitambua

4. Serikali ya Tanzania imeunda task force ambayo ndani yake ni TISS, ofisi ya CJ, PCCB na more importantly ZITTO mwenyewe

5. By Easter au around May next year hii issue itakuwa isham discredit ana believe it or not atarukia anaother populist issue.

6. Hii issue itakuwa kama trojan horse na sidhani kama atafika mbali. Kama NIGERIA wameshindwa kurudisha na US/EU Governments explicitly said hawana mamlaka ya kurudisha pesa zilizoibiwa.

hivi kuna mtu anajua ile issue ya majina ya MwembeYanga imefikia wapi?

995076-nostradamus.gif
 
Huyu kaibia Kenya zaidi ya usd 40 billion

Daniel+Arap+Moi.jpg

Mkuu ukifanya exaggeration usipitilize basi, USD 40BILLION unaijua au unaisikia??? Yani kama angeiba hiyo angekua tayari mtu wa sita kwa utajiri DUNIA NZIMA.. Huwezi kuhamisha USD 40 Billion na ukaificha Uswis hivi hivi, ni sawa hizi banks zimekaa kiwizi wizi ila kuna special cases hua wanazikimbia zinazoweza kuwaweka kwenye matatizo.. Mtu huna Global company $40B utoe wapi... Yani kwa hii reply yako moja imefanya nyingine zote zionekane invalid
 
Mkuu ukifanya exaggeration usipitilize basi, USD 40BILLION unaijua au unaisikia??? Yani kama angeiba hiyo angekua tayari mtu wa sita kwa utajiri DUNIA NZIMA.. Huwezi kuhamisha USD 40 Billion na ukaificha Uswis hivi hivi, ni sawa hizi banks zimekaa kiwizi wizi ila kuna special cases hua wanazikimbia zinazoweza kuwaweka kwenye matatizo.. Mtu huna Global company $40B utoe wapi... Yani kwa hii reply yako moja imefanya nyingine zote zionekane invalid

mhhh

wewe google THE LOOTING OF MOI

Kisha jumuisha left and right
 
Hivi ni lini tutakuwa na mawazo yanayojenga....???!! baadala ya kumpa support kwa anachokifanya, we are questioning soucre of income...!!!!! Swali la kujiuliza; hivi, tuhuma alizoibua kipindi cha nyuma bungeni mbona hazijajengewa hoja alizipataje taarifa na kwa kiasi gani cha pesa?? hw comes swali hili lije katika kipindi hiki cha matatizo ya ZZK?? "Cheap politics"
 
hakuna hata senti moja iliyorudishwa nigeria toka huko USA na EU

PESA ZIKISHAINGIA HUKO EUROPE HUWA HAZIRUDI NA KAMA ZIKIRUDI WANAZIREJESHA KUPITIA MASHIRIKA YAO YA MISAADA

UK WALIGOMA KURUDISHA PESA ALIZOIBA MOI

LAKINI TUMTAKIENI VITA NJEMA NDUGU ZITTO. ILA SIJAJUA ATAENDA HUKO USWISI KAMA BINAFSI AU CHADEMA WAMEMTUMA?

you must be one stupid fella, your mum must regret having you brought in this planet

so this is zito's war is not national interest

poor you
 
37.jpg


Hivi mshahara na marupurupu yake yote kwa mwezi ni kiasi gani?

Ana biashara zipi alizo declare kama mbunge

all in all Zitto ana worth kiasi gani?

Sasa tujishajumuisha cha kujiuliza maswali yafuatayo:

1. Je kuna umuhimu gani yeye kwenda?
2. CHADEMA na uongozi wake wameshirikishwa kwenye hili au ni CRUSADE ya Zitto na ego yake?
3. Gharama za HOTELI, CHAKULA, MAWASILIANO, USAFIRI, WA NDEGE NA TAXI analipia nani? je zinaweza kufikia kiasi gani per day?
4. Je serikali ya Uswisi itampa ulinzi?
5. Je kaishirikisha Ubalozi wa Tanzania Geneva?
6. Je kaishirikisha Wizara ya mambo ya nje?
7. Je kaishirikisha Usalama wa Taifa
8. Je kaishirikisha wizara ya sheria?
9. Je kaishirikisha wizara ya utawala bora?
10.Je kaishirikisha OECD
11.Je kaishirikisha EU
12. Je kaishirikisha wizara ya fedha?
13. Je kaishirikisha BOT?
14. Je kazishirikisha hizo benki zilizofanya transfer?
15. Je kaishirikisha PCCB ?
16. Je kaishirikisha INTERPOOL?
17. Je kaishirikisha wizara ya fedha ya USWISI?
18. Je kaishirikisha BENKI KUU YA USWISI?
19. Je kaishirikisha POLISI YA USWISI?
20. Je kashawaandikia watuhumiwa barua za kujieleza? na alipoandika barua aliandika kama nani?
21. Je akikuta watu washamaisha hizo pesa kwenda nchi 30 duaniani ataendelea na ziaya yake kwenda kwenye hizo nchi zote?
22. Je akikuta kuwa hakuna pesa ata refund pesa alizopewa na chama au?
24. Je anategemea kutumia gharama za kiasi gani kwenye hii CRUSADE yake?
25. Atataumia legal jurisdiction zipi kwenye huu mpango wake?
26. Hivi wananchi wa jimbo lake watasemaje kuhusu huu mpango wa mbunge wao kufanya ziara ya muda mrefu kwenye hizo Tax havens ambazo anajua fika hatopata kitu?

Huyu ni mbunge kijana ana anaonekana anapenda kujionyesha kuwa ana mawazo mbadala lakini sasa naanza kupatwa na question marks kuhusu huu mpango wake wakati tunajua fika kuwa huhitaji kwenda Uswisi kujua kama Tanzania ina mafisadi.

Kama akitaka tumwone serious angeanza na TRA/TPA ili kujua kwa nini tanzania inapoteza minimum BILIONI 300 per day kutokana na uozo uliopo pale bandari na TRA
Kajamaa kamejaliwa sura...ndio maana kanapenda media?au ni ukorofi tuu km ktk siasa?
 

Hakuna kitu kama hicho anachofanya ni image cleaning kaona imechafuka anatunga vitu vya uongo kuwa anaajiri private investigator ni uongo uliokubuhu wa kucheza na akili za watanzania.

Pia Zitto alijidai ana majina akabanwa akaruka badala yake akasema aliwaambia kamati kuwa kuna mtu (private investigator) anamjua anaweza fanya kazi hiyo.Maana yake alichomaanisha ni kuwa kuna private consultant anamtafutia kazi serikali imwajiri halafu huyo investigator amkatie mamilioni ya commission serikali ikimwajiri kufanya hiyo private investigation.Ufisadi kwenda mbele!!!!! HUyu Zitto ni balaa
 
Unachosema ni kweli kabisa nakumbuka mwaka jana nilifanya field yaani practical trainning ofisi moja ya TRA katika wilaya fulani, sasa kulikuwa na kampuni fulani ya MAKABURU ambayo ilikuwa imefanya kazi kwa miaka kumi bila kulipa kodi na walikuwa wamefunga mkataba wakawa wanataka kulipwa mabilioni yao hapo alikuja kijana mmoja mzalendo ambaye ni mfanyakazi katika hiyo kampuni akamwambia Meneja kuwa kuna watu wanataka kutoroka na pesa zetu, mwisho wa siku walilamatwa.
 
Zitto Kabwe ni mtu aliyechanganyikiwa,hajui atapata vipi umaarufu utakaotosha kumpa Madaraka makubwa nchini. Bahati mbaya kwake elimu yake ipo kwenye makaratasi ya vyeti tu na sio kichwani. Bahati mbaya kwake pia ni kwamba he is obsessed with personal populariy,gain and interests badala ya national interests. Hana washauri wazuri bali opportunists wanaomtumia kwa kumpamba sifa asizokuwa nazo.Ninamshangaa anapojinasibu kuwa 'mwalimu'- ni vipi anashindwa kujiangalia vizuri na kuiona nafasi yake sahihi? Kwa nn anahangaika na kutumia waandishi wa habari na wapambe kujinyanyua awe mrefu kuliko kimo chake? Yeye na Kitila Mkumbo na Mwigamba wangeonekana angalao wana akili kidogo kuomba msamaha chama chao kuliko kuendeleza mvutano kwa kujiona wako sahihi.Kuna Katiba,kanuni na taratibu za vyama na kuna sheria za nchi lakini mwisho wa siku mahakama ya umma ndiyo hutoa hukumu ya mwisho.Hawa watatu machoni mwa umma ni wasaliti wa chama chao-waandishi wa habari,msajili wa vyama,Usalama wa Taifa, CCM wote hawawezi kuwasafisha. Aidha mtubu (japo hamtaaminika tena),au hamieni vyama vingine,subirini mgombea binafsi au anzisheni chama chenu kwa mtaji wa umaarufu wenu, elimu yenu, uwezo wenu. Kudandia hoja nyingine au kuchochea chuki dhid ya Chadema hakuwezi kuwa endelevu.
 
Back
Top Bottom