O oldisgold Senior Member Joined Oct 2, 2013 Posts 198 Reaction score 66 Dec 24, 2013 #161 sasa ripoti ya investigesheni iko wapi?
M MalcolmX Senior Member Joined Mar 13, 2014 Posts 158 Reaction score 100 Nov 9, 2014 #162 ripoti yake ilp wapi?
Z zanzibar huru JF-Expert Member Joined May 28, 2012 Posts 218 Reaction score 110 Nov 12, 2014 Thread starter #163 Kwani kashaenda AUSTRALIA kujua hiyo kampuni ya miraji na dada yake au?
C CRITICAL MIND JF-Expert Member Joined Sep 1, 2013 Posts 416 Reaction score 404 Feb 9, 2015 #164 Majina ya wenye pesa HSBC hayajatajwa hivyo no news
HNIC JF-Expert Member Joined Sep 6, 2011 Posts 1,898 Reaction score 2,202 Jul 4, 2015 #165 Kataja majina leo huko Mwembe Yanga?
MANI Platinum Member Joined Feb 22, 2010 Posts 7,318 Reaction score 6,411 Jul 4, 2015 #166 HNIC said: Kataja majina leo huko Mwembe Yanga? Click to expand... Hana ubavu huo!
HNIC JF-Expert Member Joined Sep 6, 2011 Posts 1,898 Reaction score 2,202 Jul 5, 2015 #167 zitto ameniangusha sana kwenye hili itabidi nifikirie namna ya kum categorize
G George Smiley JF-Expert Member Joined Oct 24, 2011 Posts 471 Reaction score 267 Feb 26, 2016 #168 Mwanaukweli said: Zitto anafanya kazi nzuri sana. Tumuunge mkono. Click to expand... 🙂😀
C calmdowndear JF-Expert Member Joined Jul 12, 2011 Posts 605 Reaction score 275 Aug 9, 2016 #169 Hii iliishia wapi?