Zitto katoa wapi pesa za kufanya 'private investigation' Uswisi?

private investigation....ulaya...uswisi...

Tanzania

200yusuf-manji.jpg

Mehbub Yusufali Manji

Who Uses the Offshore World | International Consortium of Investigative Journalists
Mehbub Yusufali Manji

Businessman
Details: The Manji family is one of the richest in Tanzania. It started Quality Group Limited, the country's major conglomerate with interests ranging from automotive to food processing.

Offshore business: Director and shareholder of Intertrade Commercial Services Inc. (2007-2009) in the British Virgin Islands.

Comment:
Yusuf Manji, chairman and CEO of the company, did not reply to ICIJ's emailed request for comment. The contact address in the records is that of the company in Dar-Es-Salaam.
 
37.jpg

Hivi mshahara na marupurupu yake yote kwa mwezi ni kiasi gani?

Ana biashara zipi alizo declare kama mbunge

all in all Zitto ana worth kiasi gani?

Sasa tujishajumuisha cha kujiuliza maswali yafuatayo:

1. Je kuna umuhimu gani yeye kwenda?
2. CHADEMA na uongozi wake wameshirikishwa kwenye hili au ni CRUSADE ya Zitto na ego yake?
3. Gharama za HOTELI, CHAKULA, MAWASILIANO, USAFIRI, WA NDEGE NA TAXI analipia nani? je zinaweza kufikia kiasi gani per day?
4. Je serikali ya Uswisi itampa ulinzi?
5. Je kaishirikisha Ubalozi wa Tanzania Geneva?
6. Je kaishirikisha Wizara ya mambo ya nje?
7. Je kaishirikisha Usalama wa Taifa
8. Je kaishirikisha wizara ya sheria?
9. Je kaishirikisha wizara ya utawala bora?
10.Je kaishirikisha OECD
11.Je kaishirikisha EU
12. Je kaishirikisha wizara ya fedha?
13. Je kaishirikisha BOT?
14. Je kazishirikisha hizo benki zilizofanya transfer?
15. Je kaishirikisha PCCB ?
16. Je kaishirikisha INTERPOOL?
17. Je kaishirikisha wizara ya fedha ya USWISI?
18. Je kaishirikisha BENKI KUU YA USWISI?
19. Je kaishirikisha POLISI YA USWISI?
20. Je kashawaandikia watuhumiwa barua za kujieleza? na alipoandika barua aliandika kama nani?
21. Je akikuta watu washamaisha hizo pesa kwenda nchi 30 duaniani ataendelea na ziaya yake kwenda kwenye hizo nchi zote?
22. Je akikuta kuwa hakuna pesa ata refund pesa alizopewa na chama au?
24. Je anategemea kutumia gharama za kiasi gani kwenye hii CRUSADE yake?
25. Atataumia legal jurisdiction zipi kwenye huu mpango wake?
26. Hivi wananchi wa jimbo lake watasemaje kuhusu huu mpango wa mbunge wao kufanya ziara ya muda mrefu kwenye hizo Tax havens ambazo anajua fika hatopata kitu?

Huyu ni mbunge kijana ana anaonekana anapenda kujionyesha kuwa ana mawazo mbadala lakini sasa naanza kupatwa na question marks kuhusu huu mpango wake wakati tunajua fika kuwa huhitaji kwenda Uswisi kujua kama Tanzania ina mafisadi.

Kama akitaka tumwone serious angeanza na TRA/TPA ili kujua kwa nini tanzania inapoteza minimum BILIONI 300 per day kutokana na uozo uliopo pale bandari na TRA

If we continue shooting the messengers will we reach there?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hizi ndizo Hatua za mtu anaye maanisha anacho kisema /kifanya., ameona serikali imeshindwa kufanya, amebeba jukumu lakufuatilia mwenyewe.

Kumbuka serikali ya uswisi ilisema ikotayari kufanya kazi na serikali ya tanzania kuhusu hizo pesa. Swali ambalo linaweza kuwa na controversy kidogo ni je, anafanya hivi kwa msaada wa nani., na huyo anasaidia kwa lengo gani. Lakini sio kama nijambo jema au lah.,

I think anafanya kile kilicho takiwa kufanywa na serikali ambayo inaonekana kuulea ufisadi huu.
 
Hivi mshahara na marupurupu yake yote kwa mwezi ni kiasi gani?

Ana biashara zipi alizo declare kama mbunge

all in all Zitto ana worth kiasi gani?

Sasa tujishajumuisha cha kujiuliza maswali yafuatayo:

1. Je kuna umuhimu gani yeye kwenda?
2. CHADEMA na uongozi wake wameshirikishwa kwenye hili au ni CRUSADE ya Zitto na ego yake?
3. Gharama za HOTELI, CHAKULA, MAWASILIANO, USAFIRI, WA NDEGE NA TAXI analipia nani? je zinaweza kufikia kiasi gani per day?
4. Je serikali ya Uswisi itampa ulinzi?
5. Je kaishirikisha Ubalozi wa Tanzania Geneva?
6. Je kaishirikisha Wizara ya mambo ya nje?
7. Je kaishirikisha Usalama wa Taifa
8. Je kaishirikisha wizara ya sheria?
9. Je kaishirikisha wizara ya utawala bora?
10.Je kaishirikisha OECD
11.Je kaishirikisha EU
12. Je kaishirikisha wizara ya fedha?
13. Je kaishirikisha BOT?
14. Je kazishirikisha hizo benki zilizofanya transfer?
15. Je kaishirikisha PCCB ?
16. Je kaishirikisha INTERPOOL?
17. Je kaishirikisha wizara ya fedha ya USWISI?
18. Je kaishirikisha BENKI KUU YA USWISI?
19. Je kaishirikisha POLISI YA USWISI?
20. Je kashawaandikia watuhumiwa barua za kujieleza? na alipoandika barua aliandika kama nani?
21. Je akikuta watu washamaisha hizo pesa kwenda nchi 30 duaniani ataendelea na ziaya yake kwenda kwenye hizo nchi zote?
22. Je akikuta kuwa hakuna pesa ata refund pesa alizopewa na chama au?
24. Je anategemea kutumia gharama za kiasi gani kwenye hii CRUSADE yake?
25. Atataumia legal jurisdiction zipi kwenye huu mpango wake?
26. Hivi wananchi wa jimbo lake watasemaje kuhusu huu mpango wa mbunge wao kufanya ziara ya muda mrefu kwenye hizo Tax havens ambazo anajua fika hatopata kitu?
Huyu ni mbunge kijana ana anaonekana anapenda kujionyesha kuwa ana mawazo mbadala lakini sasa naanza kupatwa na question marks kuhusu huu mpango wake wakati tunajua fika kuwa huhitaji kwenda Uswisi kujua kama Tanzania ina mafisadi.

Kama akitaka tumwone serious angeanza na TRA/TPA ili kujua kwa nini tanzania inapoteza minimum BILIONI 300 per day kutokana na uozo uliopo pale bandari na TRA
Umetumwa kumchafua na tunajua waliokutuma ni wakina nani ila ukubali au ukatae ZITTO ni kiongozi wa pekee CDM ambaye hana kashfa na anjitahidi kupita kila kikwazo ambacho mnamuwekea na kama hauna hoja za msingi za kumchafua basi ni vema utulie kimya.
 
Huo mgao wa 7000 mnaopewa pale lumumba umewafanye mjifanye km wehu na kukosoa kila linalofanywa na upinzan, serikali imeshindwa kufanyakazi kwa makusudi na zito ameamua kuisaidia sasa huyu zanzibar huru anakuja na umbeaumbea usiokua na mwelekeo wowote, haya kachukue 7000 yako kwa nepi
 
maswali ni mengi lakini ni pumba tupu,some times ni bora ukawa kimya kuficha upumbavu wako

Hivi mshahara na marupurupu yake yote kwa mwezi ni kiasi gani?

Ana biashara zipi alizo declare kama mbunge

all in all Zitto ana worth kiasi gani?

Sasa tujishajumuisha cha kujiuliza maswali yafuatayo:

1. Je kuna umuhimu gani yeye kwenda?
2. CHADEMA na uongozi wake wameshirikishwa kwenye hili au ni CRUSADE ya Zitto na ego yake?
3. Gharama za HOTELI, CHAKULA, MAWASILIANO, USAFIRI, WA NDEGE NA TAXI analipia nani? je zinaweza kufikia kiasi gani per day?
4. Je serikali ya Uswisi itampa ulinzi?
5. Je kaishirikisha Ubalozi wa Tanzania Geneva?
6. Je kaishirikisha Wizara ya mambo ya nje?
7. Je kaishirikisha Usalama wa Taifa
8. Je kaishirikisha wizara ya sheria?
9. Je kaishirikisha wizara ya utawala bora?
10.Je kaishirikisha OECD
11.Je kaishirikisha EU
12. Je kaishirikisha wizara ya fedha?
13. Je kaishirikisha BOT?
14. Je kazishirikisha hizo benki zilizofanya transfer?
15. Je kaishirikisha PCCB ?
16. Je kaishirikisha INTERPOOL?
17. Je kaishirikisha wizara ya fedha ya USWISI?
18. Je kaishirikisha BENKI KUU YA USWISI?
19. Je kaishirikisha POLISI YA USWISI?
20. Je kashawaandikia watuhumiwa barua za kujieleza? na alipoandika barua aliandika kama nani?
21. Je akikuta watu washamaisha hizo pesa kwenda nchi 30 duaniani ataendelea na ziaya yake kwenda kwenye hizo nchi zote?
22. Je akikuta kuwa hakuna pesa ata refund pesa alizopewa na chama au?
24. Je anategemea kutumia gharama za kiasi gani kwenye hii CRUSADE yake?
25. Atataumia legal jurisdiction zipi kwenye huu mpango wake?
26. Hivi wananchi wa jimbo lake watasemaje kuhusu huu mpango wa mbunge wao kufanya ziara ya muda mrefu kwenye hizo Tax havens ambazo anajua fika hatopata kitu?

Umetumwa kumchafua na tunajua waliokutuma ni wakina nani ila ukubali au ukatae ZITTO ni kiongozi wa pekee CDM ambaye hana kashfa na anjitahidi kupita kila kikwazo ambacho mnamuwekea na kama hauna hoja za msingi za kumchafua basi ni vema utulie kimya.
 
Couldn't even bother to respond kule kwani its not even worth it. The whole debate about Swiss Bank accounts is being MIXED up with tax evasions.

Kama Zitto kweli anataka accountability kwa nini hiyo kamati yake hawataki kuweka reports za mashirika yote online? Kwa nini hawataki reposts za ukaguzi wa mashirka ya umma ziwe wazi wa watanzania wote?

Tazama hii tovuti ya CAG kisha jiulizeni reports za TANESCO, TRA na TRC ziko wapi?

http://nao.go.tz/?cat=17

http://nao.go.tz/?cat=34

usishangae webite haifanyi kazi...

Strange, TRA has not complained or compiled a list of the so called Tax evaders so why is Zitto trying to make a political capital out of this non-issue?

Perhaps Mr Zitto should come to JF and write an OpEd on this subject so we can have an informed debate. e

here's Zitto's article on the Guardian:

Foreign aid is not the only African story worth hearing | Zitto Kabwe | Global development | theguardian.com
 
Back
Top Bottom