Zitto katoa wapi pesa za kufanya 'private investigation' Uswisi?

Zitto katoa wapi pesa za kufanya 'private investigation' Uswisi?

zanzibar huru Then ukishajibiwa haya maswali ndo ili iweje?
Fanya kama homework, after one day leta majibu!!
 
Last edited by a moderator:
Zitto angekuwa wa kutoka kule kwa wakwe zangu wa inji hii angeitisha fasta harambee ya kutunisha mfuko wa kufatilia pesa za Uswis si unajua tena kwenye kila ishu wao lazima wakombe vithumni ya wanyonge wanaota ukombozi!
 
37.jpg




all in all Zitto ana worth kiasi gani?
More than a million bucks(usd)lol!

Duh!We ni mfukunyuzi!

Hiyo picha umeitoa wapi?Yuko na nani hapo kushoto kwake?,Maana niliowatambuwa hapo ni Lady Jay D,huyo mdada mwingine looks familiar lakini simjui.

Pia kitabu alichonacho ndugu Zitto ni cha Russel Simmons kinachoitwa "Super Rich",haya bana,miye siwawezi nyie.Nadhani ndugu Zitto anapenda kujisomea kama alivyowahi kusema.

Kwamba anataka kuwa super rich akiwa kiongozi...Mhn ,mhn mhn...Kaazi kweli kweli!Viongozi wa nchi masikini bana!
e2.jpg

BTW hicho kitabu aliweka kama mbwembwe ama kitu gani?Maana mkuu huwa ana act very humble humu!Ama ni super rich?CTFU!
 
zanzibar huru Zitto ya faa hoja ya Uswiss aiunganishe na Chama ili ipate nguvu ya Umma
 
Last edited by a moderator:
Baada ya muda si mrefu mtafahamu huyu mtu aitwaye ZITTO ZUBERI KABWE hasa anafanyia nani kazi. Mpaka sasa wengi hamjafahamu nani hasa anamfanyia kazi. Mnadhani ni upinzani au CDM.

Zitto is a smart National Security Chap......He has a special task to defend CCM in a very smart way......
 
Naomba nikuulize mleta mada kwani hiyo Private Investigation inagharimu kiasi gani?
 
hivi kwa nini tusihalalishe ubepari na kuwekeza hizo hela hapa hapa tz yetu? tanzania kuna mazingira mazuri tu ya kuzalisha hizo pesa haswa kwenye sekta ya mawasiliano, madini, real estate, finance na uchuuzi wa bidhaa..hivi vizee vinataka kuficha hela mpaka vife? au ni ushamba na ufahari kila mwezi kupata kaemail toka uswiss kanasema balance yako ya mwezi huu ni kiasi hiki.

NA hizi hela hatuzipati kwani taz haven ziko nyingi na siyo uswiss peke yake hawa jamaa watahamisha pesa Seychelles au mauritius hapo na hatutaona kitu na uswiss watasema hawatoi majina ya wateja wao waliofunga account.
 
kwa wana JF mnao lilia katiba mpya ije na transparency nadhani mleta hoja yuko right.

Ingekuwa ni ulaya nadhani maswali yangekuwa zaidi ya hayo.

lakini nafurahi kuona wana JF wanauliza maswali ambayo watu wengine hawapendi yaulizwe. GREAT THINKERS ambao wana GREAT MINDS....

Haya ndio yale Nyerere aliyasema. Tunafuata mambo ya kijinga huku yale ya maana tunayawekea question mark. Yaani mmefikia kusema Zitto anatafuta sifa! Mimi sio fan wake, lkn kwa hili kama sio Zitto then who?

Yaani tumefikia sehemu kuibiwa imekuwa ni halali yetu kiasi mtu akiamua kufuatilia basi anawekewa question marks! Huu ni upumbavu. Hata kama Zitto katumwa au anatumiwa, basi anayemtumia atatunufaisha na sisi.

Kama unaona Zitto anapenda sifa, hebu nikuulize wewe usiyependa sifa ambaye ni muadilifu kutoka tumboni mwa mama yako, umefanya nini kuhakikisha wale Twiga wetu walioenda Qatar wamerudishwa? Mnasema angeanzia TRA, wewe unayeyajua ya TRA mbona usifanye badala yake unampangia Zitto pa kuanzia?

Kama mnahusika nyie tulieni. Kama ni safari Rais wenu anasafiri daily mbona na hata siku moja hamjatuletea breakdown ya gharama za safari zake? Haya sio maswali, ni unafiki unaoletwa na wasiwasi wa kukamatwa au kuondokewa na vyanzo vyako vya mapato.
 
Kama unaona Zitto anapenda sifa, hebu nikuulize wewe usiyependa sifa ambaye ni muadilifu kutoka tumboni mwa mama yako, umefanya nini kuhakikisha wale Twiga wetu walioenda Qatar wamerudishwa? Mnasema angeanzia TRA, wewe unayeyajua ya TRA mbona usifanye badala yake unampangia Zitto pa kuanzia?
asante sana. Umempa stahiki yake
 
...Hiyo picha umeitoa wapi?Yuko na nani hapo kushoto kwake?,Maana niliowatambuwa hapo ni Lady Jay D,huyo mdada mwingine looks familiar lakini simjui....
katika picha kushoto ni Madam Rita Paulsen wa Benchmark Prod, mtoto wa Prof. Sarungi former minister, na Lady JD
 
Je zimekuwa nyingi mno, inaonyesha kweli wewe ni mwalimu.
 
harakati za urais 2015 wananchi watasikia mengi na kuona mengi ,kuna ukweli hapa kwenye maswali haya na yanahitaji majibu sio mepesi .zito hajakurupuka hata suala la saini zile za kumuondoa pinda tuliona hukukurupuka na hili pia tunaona utulivu ndani yake ,hili halihitaji sahihi linahitaji ukweli uwe bayana na kuutafuta ukweli kuna gharama zake ambazo mh.zito amepiga mahesabu .tumuacha apige kazi
 
Haya ndio yale Nyerere aliyasema. Tunafuata mambo ya kijinga huku yale ya maana tunayawekea question mark. Yaani mmefikia kusema Zitto anatafuta sifa! Mimi sio fan wake, lkn kwa hili kama sio Zitto then who?

Yaani tumefikia sehemu kuibiwa imekuwa ni halali yetu kiasi mtu akiamua kufuatilia basi anawekewa question marks! Huu ni upumbavu. Hata kama Zitto katumwa au anatumiwa, basi anayemtumia atatunufaisha na sisi.
.

Jambo lipi la maana na lipi sio la maana ni relative, na kila mtu ana tafsiri yake kutokana na uelewa wa ni lipi ni jambo la maana na lipi sio la maana, wewe umetumia kigezo gani kuita hoja ya mtoa mada ya kipumbavu? Unajuaje kama anajua zaidi ya unavyojua kwamba labda Bw. Zito Kabwe haya yote anayoyafanya ni show tu? unauhakika gani na hilo mpaka uiite hoja yake ni ya kipumbavu?

Je kesho ukija kusikia kwamba Bw. Zito Kabwe naye anaakaunti huko Uswisi na hayo yote alikuwa anafanya ili kupoteza ushahidi ambao labda ungemfunga yeye mwenyewe bado utaita hoja ya mtoa mada ya kipumbavu?

Nataka tu kuweka sawa hapo kwenye kuiita hoja hoja ya mwingine ya kipumbavu!
 
zanzibar huru Wapo watu nje ya nchi wanamsaidia bila malipo, then kuna Taasisi kibao Uswis na raia wema wamechoka kuona viongozi wa third world country wakificha mapesa nchini kwao. Hivyo ukiwaomba msaada na wameshajua Mh Zito ni law maker, basi wanamsaidia.

Kuhusu TRA na Bandari, hiyo hata wewe unaweza kulifanyia kazi. "its not about what your country does for you, its about what you do to your country" take sense of ownership and get busy
 
Pesa ikishaenda kwa kwa wazungu huwa hairudi kama huamini jiulize huyu jamaa GENERAL SANI ABACHA aliiiba zaidi ya 5 billion USD

Wazungu wamerudisha kiasi gani Nigeria?

sani_abacha_nigeria.jpg

hakuna hata senti moja iliyorudishwa nigeria toka huko USA na EU

PESA ZIKISHAINGIA HUKO EUROPE HUWA HAZIRUDI NA KAMA ZIKIRUDI WANAZIREJESHA KUPITIA MASHIRIKA YAO YA MISAADA

UK WALIGOMA KURUDISHA PESA ALIZOIBA MOI

LAKINI TUMTAKIENI VITA NJEMA NDUGU ZITTO. ILA SIJAJUA ATAENDA HUKO USWISI KAMA BINAFSI AU CHADEMA WAMEMTUMA?
 
Mleta mada huna uzalendo huna uzalendo na rasilimali za nchi yetu. Sina hakika kama unafaa kuwa hata balozi wa nyumba kumi. Ni aibu kwa Watanzania wenye mawazo kama yako katika karne hii ya 21, badala ya kumsaport mtu anayetetea rasilimali za Taifa kwa ajili ya watoto wetu we unamvunja moyo? Kama we siyo miongoni mwa wezi hao basi Taifa lina hasara kwa kuwa na watu kama wewe.
 
banks are mafia lodges, may someone tell zito to make other recovery measures on local assets abused by chama cha mapinduzi, the pay back period of mr zitto mission is infinity, kama umeshindwa kurecover hela za EPA kwenye local banks how can you rap on SWIZZ BEAT, its a laugh, a comic move to the sane brain.
 
Back
Top Bottom