kweli ni ujinga kutaka kuunga mkono, hawa wabakaji, Baada ya kuona ushahidi Mahakama zote hapa nchini, Mahakama ya Afrika Mashariki na Hata Mahakama ya Africa, zimekubali kuwa Hukumu iliyotolewa ni stahiki.apambane na Hali ya chama chake ndo kinakufa hivi,
Mkuu mahakama zote zinisingizie mimi tu?unajua hii kesi imepitia mahakama ngapi?Au ushabiki wa dansi unakusumbua?Kwa hiyo hawa wazazi wameambiwa na huyo mnayemdhani wafanya hii conspiracy?
Mpk sasa najiuliza umuhimu wa babu seya,kiasi kwamba alikua ajenda/ahadi ya mgombea Fulani,kwamba akishinda atamuachia huru (alibezwa sana hawa zaidi na upande wa Pili) lkn upande ule ule uliobeza ahadi ile ya mgombea yule Leo wanajivunia babu seya kuachiwa huru na mh Rais
Asee najiuliza tena kutoka na majibu yakoUkiangalia aina ya watu walio fanya kama ajenda kukamatwa kwa Babu Seya utagundua vitu vitatu
Moja : Babu Seya alionewa
Mbili : Babu Seya alionewa hivyo
ikafanywa ajenda yakum
komoa muoneaji.
Tatu : Hakuonewa walitaka kura
kutoka kwa wanamichezo
na wasanii.
Mpk sasa najiuliza umuhimu wa babu seya,kiasi kwamba alikua ajenda/ahadi ya mgombea Fulani,kwamba akishinda atamuachia huru (alibezwa sana hawa zaidi na upande wa Pili) lkn upande ule ule uliobeza ahadi ile ya mgombea yule Leo wanajivunia babu seya kuachiwa huru na mh Rais
Asee najiuliza tena kutoka na majibu yako
1..alionewa na nani?kwann aonewe
2..OK walitaka na sasa kakomolewa (muoneaji)
3.kwa kumuacha sasa itakua lengo limetimia?
Ahsante mkuu kwa kunipa mwanga nakujiuliza hayo..
Mie kwa upande wangu nimefurah kutoka babu seya haiwezekan familia nzima ikawa wabakaji
Hahaha..nakuelewa ujue mkuu,sasa kwnn afanyiwe hujuma kubwa km hy?yy nani mpk aundiwe kitu km hiki ambacho hukumu yake ni km alipotezwa ,Ok ni ktk kujiuliza tu,but mie wakaida tu km kutojulikana basi ki JF JF ,km forums inavyopendaKuna wakati unaweza pigwa risasi na polisi.
Wananchi wakiuliza sababu yakupigwa wewe risasi jibu ni rahisi.
Ulikuwa unajihusisha na ugaidi vielelezo vinatolewa toka getoni kwako SMG,A47 sijui,gobole,Bomu la mkono,baruti.
Mbele ya kamera vinaoneshwa waandishi wanaandika wananchi wanabaki kutoamini.
Je kuna MTU aliwakagua askari walipokuja kukagua getoni kwako.
MKUU NAWAOGOPA WATU WASIOJULILANA YAISHEE.
YAWEZA KUWA WEWE NI MMOJA WAPO.
Umejuaje kua wamesamehe??Umejuaje hao waliobakwa kama hawajasamehe?
Zitto wewe huna dhambi?!!!Mbunge wa Kigoma Mjini kupitia ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ameonekana kutofurahishwa na uamuzi wa Rais Magufuli kusamehe wafungwa ambao ni wanamuziki mashuhuri, Nguza Viking (Babu Seya) na mwanaye 'Papii Kocha'.
Tangu utangazwe msamaha huo, Zitto amekuwa akiandika na kutoa kauli zinazoonesha kupingana na jambo hilo licha ya Rais kuwa na mamlaka kikatiba kumsamehe mfungwa yeyote akiona inafaa..
Miongoni mwa kauli zake huko Twitter;
"I have read judgement that convicted Babu Seya and son. And judgements at the high court appeal, appeal at court of appeal and petition at African Court. I am appalled by decision to pardon convicted rapists. Devastated by statements to congratulate such a decision" ZZk.
"Waliozomea na kuzodoa ahadi ile walikuwa sahihi. Wanaomzomea Rais kwa kutoa msamaha wapo sahihi pia. Hakuna sababu kuzodoana. Tukemee wabakaji kusamehewa kiholela" ZZK.
Naungana na ZZk,nimefadhaika sana,Nyie mnao shangilia kama mna watoto,imagine leo mtoto wako atoke shule akuambie amebakwa na mwalimu utafanyaje?je akiwa amelawitiwa?afu mwalimu asifanywe kitu?
Kukosoa ni lazima wewe, pia kujadili ni lazima; Mungu anakosolewa sembuse huyo mungu wenu?Hiyo tabia yenu ya kufwata nyumanya kama fisi ndio inawaponza?! Hivi hamuwezagi jianzishia jambo lenu? Mpaka msubiri jambo aanzishe Mag ndio muanze kulijadili? Ina maana gani hiii kwenu?