Ole
JF-Expert Member
- Dec 16, 2006
- 2,157
- 979
Sijui.
Hebu wanaojuwa waeleze, ATCL wanazo 'route' ngapi hadi sasa
Sijui.
Hebu wanaojuwa waeleze, ATCL wanazo 'route' ngapi hadi sasa
Tatizo sio ndege tatizo ni zile sherehe za uzinduzi hapingi uwepo wa ndegeKesho utamwona amependa ndege anaenda kigoma kupiga picha na Wananchi
Sisi Wananchi tunachukizwa sana na uwongo wa Zitto