Zitto Kabwe ndani ya kipindi cha Clouds360 saa 3:30 usiku

Zitto Kabwe ndani ya kipindi cha Clouds360 saa 3:30 usiku

Ndio maana kulikuwa na haja ya kuwa na mgombea binafsi. Huyu jamaa anauwezo mkubwa kuliko wapinzani wote ukiwaweka pamoja bila lipumba.
Mbowe + slaa +lissu +mnyika bado hawamfikii Zitto.
 
Sasa nimeelewa kwanini Slaa alimkimbia Zitto kwenye Mdahalo!
 
zitto kweli kasumbua vichwa vya watu. nimeamini zitto ni mtu mkubwa nchi hii. ujue watu wanabaki wanampima kama vile ni rais au waziri mkuu.

Hao watu ni wewe,Mumeo na wanenu
 
Huyu dogo (niki wa pili) analeta sifa za kisanii..
Anataka amfunike kwa lazima wakati hana hata uwezo wa kujenga hoja na kumchalenji.
Zito amerelax sana cz wanaomhoji hawako deep ktk siasa!

Yani nilitaka sana nisikie Zito anasema nini lkn huyu Nick amenifanya nikabadili channel, bure kabisa
 
Kijana Niki Wa Pili anajitahid kupelekeshana na Zito ila Zitto anajitahid kuonyesha ukomavu wake

kipindi kimekuwa vizur ila mtangazaji amepwaya .Niki Wa pilli kaonekana Kama mtangazaji

Mtangazaji hajapwaya amekuwa msikilizaji mzuri huyo Nick anarukia rukia kuongea mpaka inakosa mvuto, sasa kwa jinsi anavyorukia hata huyo mtangazaji anapataje mwanya wa kuchangia?! Too pathetic
 
Yani nilitaka sana nisikie Zito anasema nini lkn huyu Nick amenifanya nikabadili channel, bure kabisa

Hata mimi nimeboreka sana. Kaharibu kipindi alafu anaongea utadhani yuko kijiweni. Anauliza swali.... halijaisha anauliza jingine.. hizi elimu za kukariri tatizo sana!!
 
duh, huyo Z balaaaa, nina wasiwasi huyu jamaa lazima amkaribishe akikatwa jina
 
Yani nilitaka sana nisikie Zito anasema nini lkn huyu Nick amenifanya nikabadili channel, bure kabisa

Kweli mkuu huyu Nick kaniudhi sana mimi nafikiri anatakiwa kujifinza namna ya kuwahoji wanasiasa
ni vizuri akiuliza swali ampe nafasi ya kujibu,lakini yeye kabla hajajibiwa anauliza tena kama yupo kwenye kijiwe cha kahawa Nick bure kabisa.
 
Back
Top Bottom