KILLERS KISS GUY
JF-Expert Member
- May 9, 2013
- 718
- 259
Tofauti ni kubwa sana mkuu.CHADEMA INA viongozi na makada wengi sana ambao wanaweza kwenda kwenye vyombo vya habari na kuelezea Sera,falsafa,itikadi,misimamo na ratiba ya shughuli za chama bila kuwategemea viongozi wa kitaifa.ACT hata ratiba ya ziara ya chama mikoani inatolewa na kiongozi mkuu Zitto! Afisa habari wa ACT wala hajulikani kwa sababu kazi zake zinafanywa na Zitto.Katibu mkuu,manaibu katibu wakuu,makamu wenyeviti, na wajumbe wa kamati kuu ya ACT hawajawahi kufanya kazi yoyote ya siasa au kuhutubia mikutano wakiwa peke yao mpaka waongozane na Zitto.CHADEMA viongozi wote ni wanasiasa mahiri hata ngazi za kata,wilaya na mikoa viongozi wanafanya kazi za siasa kila siku bila kuwasubiri viongozi WA kitaifa.
jicho la kawaida unaweza kusema chadema na ACT kuna utofauti lakini hakuna tofauti yyte ile, mbowe mwenyekiti kwa mhula wa tatu, chama kimejaa ndugu, kwa jicho la ndani ACT, CHADEMA, CCM wote the sake hakuna jipya