zitto kweli kasumbua vichwa vya watu. nimeamini zitto ni mtu mkubwa nchi hii. ujue watu wanabaki wanampima kama vile ni rais au waziri mkuu.
Tofauti ya ACT na chadema ni ipi??
Zito Kabwe katika kipindi cha 360 clouds anasema kwa mara ya kwanza wabunge wa upinzani wamefanya maamuzi sahihi kususia miswada ya gesi kupitishwa kwa hati ya dharura...
Kuna mbwa yeyote wa chagadema anaweza kuchambuaa siasa kama zitto anavyochambua this time clouds[/QUOTE unaona raha kutukana sio endelea
Kuna mbwa yeyote wa chagadema anaweza kuchambuaa siasa kama zitto anavyochambua this time clouds
mwanaharati bakari hapa humjengi Zitto, unazidi tu kumbomoa.Kuna mbwa yeyote wa chagadema anaweza kuchambuaa siasa kama zitto anavyochambua this time clouds