TEKNOLOJIA
JF-Expert Member
- Jan 6, 2014
- 4,305
- 2,564
Wanabodi hakika Zitto amenishangaza sana,kwenye kipindi cha clouds 360 usiku,anasema kuwa tunachagua viongozi kwa kuangalia future. Niki wa Pili amemwambia ni vema kuangalia past,mfano kama mtu alikuwa waziri basi tumpime amefanya nini kwa nafasi yake,lakini Zitto amekuwa mbishi kwa kusema tunachagua kwa kuangalia future.
My take, Zitto atakuwa na siri nyuma ya pazia,isije kuwa wanavizia fisadi from CCM, then waje waseme tuangalie ya mbele.
Haya wale mnaodai Zitto is the most intelligent politician in Tanzania mje mtuambie kati ya Zitto na Nikki wa 2 nani yupo sahihi?Mahaba kando,tanguliza ubongo wako mbele!