sixgates
JF-Expert Member
- Mar 19, 2011
- 3,979
- 1,673
Leo nimesikia kwenye powerbreak fast wakijadili uwepo wa Zitto Kabwe ifikapo usiku sa tatu na nusu kwenye mijadala ya Clouds360.
Nasikia leo analo jipya tena kuhusu wagombea wawili wakubwa wa CCM. Swali langu ni hivi amemaliza majina ya uswis?
Ni kweli Zitto kaficha baadhi ya majina ya watu walioficha fedha Uswis? Zitto ni mzito kweli.
Chanzo: PB, Clouds FM