Zitto Kabwe ndani ya kipindi cha Clouds360 saa 3:30 usiku

Zitto Kabwe ndani ya kipindi cha Clouds360 saa 3:30 usiku

Kijana Niki Wa Pili anajitahid kupelekeshana na Zito ila Zitto anajitahid kuonyesha ukomavu wake

kipindi kimekuwa vizur ila mtangazaji amepwaya .Niki Wa pilli kaonekana Kama mtangazaji
 
Kijana Niki Wa Pili anajitahid kupelekeshana na Zito ila Zitto anajitahid kuonyesha ukomavu wake

kipindi kimekuwa kizuri ila mtangazaji amepwaya Sana

Niki Wa pilli kaonekana Kama mtangazaji
 
Aisee zito kwakuongea ni mtu safi sana kiukweli he is the public speaker kweli
Sema mimi ana kiloho flani cha kutaka kila kitu
 
Hivi hiki chama ni cha mtu mmoja? Mwenyekiti, katibu mkuu,katibu wa uenezi Taifa, makamu mwenyekiti na mshauri wa chama Kitila Mkumbo mbona wao hawazungumzi kwenye vyombo vya habari? Asilimia 90 ya watanzania ukiwaambia wakutajie viongozi watano wa kitaifa wa ACT hawataweza! Ajabu ni kwamba Afande Sele anapewa nafasi na umuhimu kuliko mwenyekiti,makamu mwenyekiti na katibu mkuu.Yote haya yanatokana na Zitto kuhodhi kila kitu kwenye chama na kuwaburuza wenzake kama ming'ombe.
Mbona hata mimi ukiniambia nitaje viongozi watano wa CHADEMA wa kitaifa siwajui!!?
 
Huyu dogo (niki wa pili) analeta sifa za kisanii..
Anataka amfunike kwa lazima wakati hana hata uwezo wa kujenga hoja na kumchalenji.
Zito amerelax sana cz wanaomhoji hawako deep ktk siasa!

nick wa pili hawez hata kujenga swali anauliza vitu vyepesi sana ,alafu ana masters huyu,amakwel elimu ya Tanzania bado sana
 
Wanabodi hakika Zitto amenishangaza sana,kwenye kipindi cha clouds 360 usiku,anasema kuwa tunachagua viongozi kwa kuangalia future. Niki wa Pili amemwambia ni vema kuangalia past,mfano kama mtu alikuwa waziri basi tumpime amefanya nini kwa nafasi yake,lakini Zitto amekuwa mbishi kwa kusema tunachagua kwa kuangalia future.
My take, Zitto atakuwa na siri nyuma ya pazia,isije kuwa wanavizia fisadi from CCM, then waje waseme tuangalie ya mbele.
 
Niliona bora kucheki mieleka na kweli nime-enjoy kuona John Cena akichezea.
 
Zito sema kweli ujamaa kwa kiasi flan umetusababisha tubaki nyuma
 
Nick wa pili chaArusha kinakudhalilisha kama huna sio masters holder
 
Hutu dogo sijui Niki anauliza maswali ya kitoto na Zitto kaishamuona. Halafu unaleta musician amuulize maswali Zitto? Clouds hawajatutendea haki walau wangeleta Kibonde hahahaaa
 
nick wa pili hawez hata kujenga swali anauliza vitu vyepesi sana ,alafu ana masters huyu,amakwel elimu ya Tanzania bado sana

Kwanza hana discipline ya kuongea. Muongozaji wa kipindi nadhani ni huyo mwenye miwani. But huyo mtangazaji akiwa anaongea yeye anadakia kwa juu. Na akiambiwa aweke pozi yeye anaendelea kutokwa povu mpaka mtangazaji anamshika mguu kwa chini ili anyamaze.
Huyu dogo ni limbukeni na anaona hio masters ndo kamaliza wakat elimu yake ni ya kukariri..
Ameboa sana na KAHARIBU KIPINDI, HAKUSTAHILI KUWEPO
 
Ataijua CCM kama imeanzishwa na nyerere au na Kikwete maana kala hela zao halafu kazi aliyopewa kaishindwa(kazi ya kuiua Chadema) ajiandae msitu wa Mabwepande unamuhusu

We hata mswaki hupigi ,acha kukaririshwa tumia hata kidogo masaburi yako!
 
Ndugu zangu wana jf nadhani wote mliona na kusikia hotuba ya zito hivi majuzi kati,,pale mwembeyanga,huyu jamaa alishindwa kutoa majina ya walioficha pesa uswiss.ni pale aliposema eti nawapa waandishi wa habari mtayapata kwenye vyombo vya habari kesho...sikuelewa alimaanisha vyombo vipi na wakati yeye alkuwa anaruka live channel ten,,au ili channel sio chombo cha habari?? Na sijui alitaka mwandishi gani ayatoe wakati yeye kashindwa,,huyu jamaa ni mjanja sana,na wanaomshabikia nadhani ni wale mazuzu wasiojipambanua
Usilazimishe watu wote wawe wafuasi wa Edwin Mtei, na mtu anaejitambua hawezi kumshabikia mzinzi wenu Slaa!
 
Hivi hiki chama ni cha mtu mmoja? Mwenyekiti, katibu mkuu,katibu wa uenezi Taifa, makamu mwenyekiti na mshauri wa chama Kitila Mkumbo mbona wao hawazungumzi kwenye vyombo vya habari? Asilimia 90 ya watanzania ukiwaambia wakutajie viongozi watano wa kitaifa wa ACT hawataweza! Ajabu ni kwamba Afande Sele anapewa nafasi na umuhimu kuliko mwenyekiti,makamu mwenyekiti na katibu mkuu.Yote haya yanatokana na Zitto kuhodhi kila kitu kwenye chama na kuwaburuza wenzake kama ming'ombe.

Ndio maana kulikuwa na haja ya kuwa na mgombea binafsi. Huyu jamaa anauwezo mkubwa kuliko wapinzani wote ukiwaweka pamoja bila lipumba.
 
Back
Top Bottom