Zitto Kabwe ndani ya kipindi cha Clouds360 saa 3:30 usiku

Zitto Kabwe ndani ya kipindi cha Clouds360 saa 3:30 usiku

Hiv umenisoma kweli kabla ya kujibu?ebu rudia tena alafu anangalia ilichoandika.

Uchaguzi ni juu ya future sio past, iweke hii bank,tunamchagua mtu ili afanye in future,miaka ile atakayokuwa madarakani.

Nisome vizuri,tunaweza kuthibitisha uwezo wake wa kufanya hayo kwa kuangalia record zake in the past, lakini tunamchagua kwa ajili ya future,elewa tofauti hapo.

Mandela alikuwa shujaa aliyefanya mengi sana,lakin takriban miaka mitano kabla ya kifo chake Mandela alikuwa mgonjwa asiyejitambua,usingemcjagua katika hali ile eti kwa sababu alikuwa hana mfanowe in the past,kuna wengi wa aina hii,ambao walikuwa wazuri sana in the past lakin kwa sababu ya uzee,umri,mabadiliko n.k hawawezi lolote in the future,ndio maana nasema kama na hili hamlijui basi atakuwa amewazidi sana, elections are all about the future.

Wait a moment, tunajadili kuhusu mtu aliyoyafanya huko nyuma (past) na anayopanga kuyafanya huko mbeleni(future) au tunajadili kuhusu serikali na yale iliyokwisha kuyafanya (past) na yale inayopanga kuyafanya siku zijazo (future)?
C'mon, nimetumia mifano ya China na nchi nyingine duniani zenye mafanukio to highlight the importance of the past in shaping the future. Kwa viongozi pia ni hivyo hivyo,mtu mwenye records nzuri au mbaya za utendaji records zitatumika kumhukumu kama anafaa kwenda mbele zaidi au.
Kuhusu Mandela, ndugu yangu hapo umeongezea ambayo hukuyaongea,naona unaongeza maneno.
 
Mkuu upo deep sana kama kuna mtu asieyeelewa haya basi ni atakuwa mfuasi wa Dj Zero!
Usikariri misemo bila kuielewa, Mao tse Tung anahusiana vip na tunachojadili hapa?labda kama hoja ingekuwa kuwa Mao tse Tung angekuwa hai basi angepaswa achaguliwe leo kwa sababu ya hana mfano wake in the past katika nchi ya China,ata yeye angewashangaa!

Hoja ni je Wazanzibar wamchague sasa Aboud Jumbe ili tupate serikali 3 kwa sababu alikuwa mtetezi mahiri wa hilo kabla ya yeyote mwaka 1983?hoja ni je kupambana na ubepari tumchague Mzee Kingunge kwa sababu in the past ni mjamaa mwenye record iliyotukuka?nikuoe mfano mwepesi,twende nje ya siasa hoja ni je Real Madrid imsajili leo Pele kwa sababu hakuna kipaji kama yeye kilichopata kutokea?ata perform leo?
No,its always about the future.

Unazunguka saaana lakin huwezi kuukwepa ukweli ulio mbele yako.Tunachagua kiongozi kwa ajili ya future na sio past,hatumchagui kiongozi leo kwa ajili ya 2010 bali kwa ajili ya october 2015-2020, which is the future.

Ingekuwa tunachagua kwa ajili ya pat basi wasingekuja na ilani ya mambo waTAkayo(FUTURE) tekeleza basli wangekuwa na mambo waLIyotekeleza(PAST),uchaguzi haupo hivyo.Dunia haisimami,uchaguzi wowote ni future!

Past inatumia tu kuthibitisha uwezo wa kufanya hayo in the future!Shika hilo,hii ni first principle, mtu yeyote mwenye walau elimu ya darasa la 4 anapaswa awe anajua hili.Kutolijua hili ni dalili ya kutoweza kufikiri ndio maana nasema kama ata hili hamlijui basi kawazidi sana..
 
Najaribu sana kubakia ktk hoja ya msingi,hata mifano yangu haiko mbali na mada, tatizo nikiwatoa nje kidogo tu mnapotea kabisa. Hoja inahusu past na future ktk kuwapata viongozi.
 
Ndugu zangu wana jf nadhani wote mliona na kusikia hotuba ya zito hivi majuzi kati,,pale mwembeyanga,huyu jamaa alishindwa kutoa majina ya walioficha pesa uswiss.ni pale aliposema eti nawapa waandishi wa habari mtayapata kwenye vyombo vya habari kesho...sikuelewa alimaanisha vyombo vipi na wakati yeye alkuwa anaruka live channel ten,,au ili channel sio chombo cha habari?? Na sijui alitaka mwandishi gani ayatoe wakati yeye kashindwa,,huyu jamaa ni mjanja sana,na wanaomshabikia nadhani ni wale mazuzu wasiojipambanua

Zito sio mshirikina kama wewe unavo fikiria,, zitto m mtu wa khak na anseifaham din.. muhimu kumbuka tupo ktka mwez wa kuto kula mchana,, na ndo time bado kidogo....je watu tusiende kufutar?????
 
Najaribu sana kubakia ktk hoja ya msingi,hata mifano yangu haiko mbali na mada, tatizo nikiwatoa nje kidogo tu mnapotea kabisa. Hoja inahusu past na future ktk kuwapata viongozi.

Huwezi kunipoteza bali ni mie nakurudisha usipotee.

Simple, angalia hivi.

Je tunamchagua rais mwezi wa 10 kwa ajili ya lini?

Je afanye tunamtaka kwa ajili ya tunayoyataka October 2015 mpaka 2020 (FUTURE)

Au PAST( 08July 2015 kurudi nyuma mpaka alipozaliwa)

Very simple!

Uchaguzi wowote ni juu ya future, wapi tunataka kwenda, nini huyu atafanya in the timeframe we want him to work for us?usichanganye na hii miongoni mwa vitu vya kuzingatia kuhakikisha kuwa kweli ana uwezo wa kuyafanya hayo in the future ni record yake ambaye ipo kwenye past.
 
Back
Top Bottom