Zitto Kabwe mwenyekiti mpya kamati ya PAC

Zitto Kabwe mwenyekiti mpya kamati ya PAC

hongera sana kabwe! but this shouldnt cloud us! uamuzi wa kuivunja POAC haukuwa sahihi, and we still need it, PAC imepewa majukumu menhi mno, kiasi cha kwamba inaondoa uhalisia wa kamati kuwa na uwezo na ufanisi unaotegemewa!
tuko pamoja kabwe, mission impossible kama kawa..
 
Duh! Chadema mna matatizo haswaa, no wonder mipango ya kumzuru kwa mambo yenu haya ya hisia mnazojitungia yanabumburuka. Inabidi ifike mahali mumkubali tu Zitto, kumsambazia habari za uongo na Mungu anawaona...

Sikiliza Mr. nice 2
Mbona mimi ninakukubali sana kamanda Zitto pamoja na kwamba nakukubali lakini ukiharibu ninakuambia ukweli!

Jambo moja liko wazi ni kwamba ccm wanajua jinsi ya kunufaika na zitto kwa expense ya kuleta rabsha kwa wanachadema na kuwahadaa watanzania ili waonekane hawana nia mbaya na Chadema wala ukuaji wa demokrasia.

Sisi wenye kuwatazama viongozi wetu kwa jicho la tatu tunawafahamu kila mmoja na tabia yake na mwenendo wake kwa mustakabali wa chama na nchi yetu kwa ujumla.

Kama umesoma comments za wadau kuhusu uchaguzi huu bila shaka utajua wanachadema wanakuwazia nini.
Hivi unafikiri hatujui ni kwanini Mnyika na Lema wamebadilishiwa kamati lakini Zitto ameachwa?
 
Last edited by a moderator:
Kwa kuuona mchango na utendaji wake ndo maana hata wajumbe wamekuona unafaa. Nenda utumike kama ulivyoaminiwa. ninatoa pongezi kubwa kwa Mh. Cheyo kushindwa maana hafai tena na hilo si siri tena... Pumzika kwa amani...
 
Huo ndo upuuzi ambao unawakera watanzania wote hata kama wengine hawawezi kusema na hawana access na mitandao.
 
Binafsi nampongeza Ndg. Zitto Kabwe (MB) katika nafasi hiyo aliyopewa na wabunge wenzake.

Kiukweli wabunge wenzake wamemwamini naye bila shaka yoyote asiwaangushe katika yale waliyomwaminia kuyasimamia.

Hakika sote tumpongeze na kumtakia majukumu mema kwa maslahi ya wote.

Na kwa upande mwingine wa aliyeshindwa Ndg. John Cheyo (MB) bado anahitajika sana kwa ushauri kwa kuwa wazee wetu

hawa tusiwaweke mbali na masuala makubwa kama haya kiushauri ni vema nao wakawa karibu pindi wanapohitajika.
 
Hii ni habari njema sana. Walau sasa kuvunjwa kwa POAC litakuwa si pengo na kazi ipo pale pale... Bravo ZZK...
 
Mkuu mwitaMaranya maadam umesema unaangalia kwa jicho la 3 naomba nikuulize...
Slaa alipokuwa mwenyekiti wa LAAC ni CCM waliagizwa wampigie kura?
Unazungumzia Mnyika na Lema kuhamishwa kamati ina maana haujaona kwamba Mbowe kaamishwa kamati, Silinde kahamishwa kamati? Zitto kamati yake imevunjwa achilia mbali kuhamishwa.
Mbona Sugu kabaki kamati yake ile ile na hatusemi?
Spika kampelecha mxh. Natse na Philip Mturano kamati ya. LAAC, bila haya wote wawili toka chama kimoja wamesimama kugombea nafasi ya uenyekiti, matokeo yake CUF wameshinda nafasi hiyo. Hii ni aibu kubwa kwa chama kufanya mambo kama haya. Mkae vhini kujitafakari badala ya kutafuta mchawi! Zitto ni jitihada zake zimemfanya ashinde, wakati nyie mnakaa kupiga majungu na kutafuta mchawi mwenzenu anapiga kazi
 
Last edited by a moderator:
Siku zote nimekuwa nikisema ZZK is powerful MP, sasa with PAC at his hands, this makes ZZK the most powerful MP ndani ya bunge hili!.
ZZK take advantage ya PAC kutimiza ile ndoto yako!.
Chadema msifanye makosa ya ki CCM, kutengeneza wagombea urais wa kibindoni!, "ikulu mtaishia kuisikia...!"
Pasco.

Kwa umakini mkubwa pasipo 'unazi', nimekusoma na nakuunga kwa ulichonena. I always have the great trust on ZZK, especially on serious national interests/issues. Hupigana haswa!
 
Zitto mdogo wangu una akili sana ya kuongoza tatizo lako ni pm nikuambie....nikitaja hapa wakubwa wa humu wataniadhibu hasa hasa invisible....hongera lakini
 
kwa ufupi, he got the support of CCM members, na wenywe wamepewa maelekezo ya kumpatia Zitto kabwe kura za ushindi
 
Kamanda Zitto zile combat za kijeshi alafu ulivyolazimisha kununa Kijeshi nimecheka sana!!!

btw Hongera sana kazi tu sasa!!!
 
Mhe Zitto Kabwe ameibuka kidedea kwenye uchaguzi wa kumtafuta mwenyekiti wa kamati ya hesabu za Serikali (PAC) baada ya kumbwaga Mhe. Cheyo kwa kupata kura 13 kati ya 17.

Zitto awali alikuwa ni mwenyekiti wa POAC, kamati iliyovunjwa siku chache zilizopita na kuunganishwa na kamati ya PAC.

Binafsi nampongeza Zitto na kumtakia utendaji mzuri kwenye majukumu yake hayo mapya. Taifa linamtegemea.

hongera sana ZZK the party continues!!!
 
Binafsi namtakia majukumu mema mh.Zitto kwani hajachaguliwa kwa ushabiki wa vyama ila amechaguliwa lutokana na weledi alionao katika masuala ya kusimamia kamati za bunge.Bila shaka kamati hii ataisimamia vizuri zaidi kuliko iliyopita.Na suala hili limeniondolea uvulivuli machoni kuhusiana na kuvunjwa kwa kamati ya awali ya mh.Zitto jambo lililozua minong'ono mingi kwa Watanzania.

Ila bado naona kuwa wabunge wengi kutoka vyama vya upinzani ambao walikuwa wakiibua mambo yenye manufaa kutoka kwenye wizara kwa sasa hawaonekani.Nadhani spika wa bunge angewapanga vizuri wabunge hawa wote ili waweze kutoa usimamizi mzuri na utendaji kazi wa serikali na kutokomeza kabisa masuala ya rushwa na ufisadi hapa nchini.
 
Duh! Chadema mna matatizo haswaa, no wonder mipango ya kumzuru kwa mambo yenu haya ya hisia mnazojitungia yanabumburuka. Inabidi ifike mahali mumkubali tu Zitto, kumsambazia habari za uongo na Mungu anawaona...

Hapa kijiweni wanasema Zitto yupo kwenye centre ya video ya Lwakatare kwa sababu masalia kama JUliana Shonza anamjua LUdovick kaandika kwenye wall yake ,na yeye nasikia alikuja JF Zitto kuuliza kama tarehe ya kutengenezwa video inajulikana na rafiki yake mpendwa Msaky katajwa kwenye video,kuna vijana wanasema special investigators wasisahau kumhoji Zitto
 
Binafsi namtakia majukumu mema mh.Zitto kwani hajachaguliwa kwa ushabiki wa vyama ila amechaguliwa lutokana na weledi alionao katika masuala ya kusimamia kamati za bunge.Bila shaka kamati hii ataisimamia vizuri zaidi kuliko iliyopita.Na suala hili limeniondolea uvulivuli machoni kuhusiana na kuvunjwa kwa kamati ya awali ya mh.Zitto jambo lililozua minong'ono mingi kwa Watanzania.

Ila bado naona kuwa wabunge wengi kutoka vyama vya upinzani ambao walikuwa wakiibua mambo yenye manufaa kutoka kwenye wizara kwa sasa hawaonekani.Nadhani spika wa bunge angewapanga vizuri wabunge hawa wote ili waweze kutoa usimamizi mzuri na utendaji kazi wa serikali na kutokomeza kabisa masuala ya rushwa na ufisadi hapa nchini.

Kuna majamaa hapa kijiweni wanasema kahongwa hiyo post kwa sababu anasema hajamaliza kazi ya kuisambaratisha chadema kwenye vikao vya siri na akina zoka nasikia kaapa kwamba haifiki 2014 atakuwa amemaliza kazi ,inabidi mambo kama haya kufuatiliwa
 
Kwa kuuona mchango na utendaji wake ndo maana hata wajumbe wamekuona unafaa. Nenda utumike kama ulivyoaminiwa. ninatoa pongezi kubwa kwa Mh. Cheyo kushindwa maana hafai tena na hilo si siri tena... Pumzika kwa amani...
Kapewa kwa maelekezo ya Jakaya ana special mission ulishaona anayoibua lipi limefanyiwa kazi anaunguruma jioni anaenda toa ripoti Masalia at work embe niishie asije akanifanya mapanya bure
 
..duu NA MIMI NAKUPONGEZA! nimeamini "KUZIMA KWA KOLEO SIO MWISHO WA UHUNZI!!!!!!
 
Mwanachama pekee wa upinzani ninayekukubali kwakuweka maslahi ya wananchi na taifa lako mbele kuliko chama chako. Hongera kwa ushindi wako ambao naamini umeupata kwakuwa wewe ni mweledi wa kusimamia wizara na mambo ya msingi yanayohusu mustakabali wa taifa letu na watanzania.
Kazi njema mh zzk.
 
Back
Top Bottom