AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,049
Ngoja nirudi kwenye thread za Rwakatare tu.
Mkuu unawaza pombe za offer?
...aisee vipi mambo...nimekuona kwenye web ya serengeti freighters..ebu nipe utaratibu wa kuingiza gari tz.....kutokea japan kwa kupitia kampuni yenu....au nyie mnashughulikia issue za kutokea UK tu??....maana nimeona kampuni yenu pia kwenye ule utata wa TBS na kampuni za kukagua magari nje......Hongera Mheshimiwa
Mkuu unawaza pombe za offer?
Bibi kibogoyo na Magamba wenzako take note: imekula kwenuMhe Zitto Kabwe ameibuka kidedea kwenye uchaguzi wa kumtafuta mwenyekiti wa kamati ya hesabu za Serikali (PAC) baada ya kumbwaga Mhe. Cheyo kwa kupata kura 13 kati ya 17.
Zitto awali alikuwa ni mwenyekiti wa POAC, kamati iliyovunjwa siku chache zilizopita na kuunganishwa na kamati ya PAC.
Binafsi nampongeza Zitto na kumtakia utendaji mzuri kwenye majukumu yake hayo mapya. Taifa linamtegemea.
Hazina. Hata wagonjwa wanaweza kuwa wenyeviti.Hongera ZZK. Hivi hizo kamati hazina kigezo cha maximumu & minimum age?
Siku zote nimekuwa nikisema ZZK is powerful MP, sasa with PAC at his hands, this makes ZZK the most powerful MP ndani ya bunge hili!.Mhe Zitto Kabwe ameibuka kidedea kwenye uchaguzi wa kumtafuta mwenyekiti wa kamati ya hesabu za Serikali (PAC) baada ya kumbwaga Mhe. Cheyo kwa kupata kura 13 kati ya 17.
Zitto awali alikuwa ni mwenyekiti wa POAC, kamati iliyovunjwa siku chache zilizopita na kuunganishwa na kamati ya PAC.
Binafsi nampongeza Zitto na kumtakia utendaji mzuri kwenye majukumu yake hayo mapya. Taifa linamtegemea.
Tatizo kubwa kati yangu na Zitto ni kwamba sina Imani naye kwa lolote kwasasa!!!
nakutakia kazi njemaMhe Zitto Kabwe ameibuka kidedea kwenye uchaguzi wa kumtafuta mwenyekiti wa kamati ya hesabu za Serikali (PAC) baada ya kumbwaga Mhe. Cheyo kwa kupata kura 13 kati ya 17.