notradamme
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 2,009
- 453
Acha utoto wewe km hujaelewa si ungesema tuu hujaelewa.Nani kasema ni siri?Ni kwamba mahusiano na CDM hayawezi tena kuwa km siku zile Zitto akiwa na baraka za kila mtu,akiwa anaminiwa na kila mtu.
Sasa km ndivyo na adhabu imempasa, kwa faida yake tuu ni kwamba asiwasukume CDM waseme yote mabaya na kuamua mdhalilisha mjini.Asepe basi kwa makosa yanayoonekana na yaliyotosha hata kwake kujiona mkosefu.Basi,sijasema siri ila heshima na kutofurahia downfall ya mtu mwingine.Hiyo ndio nji aya CDM km nji aya Barcelona.
Timu kubwa huwafukuza wachezaji ambao kuna kipindi walikuwa wakifunga magoli sana kwa wapinzani bila kutaa jenga scene.HUko ndipo kustaarabika.Ila Zitto km anapenda sana.akina Lema wapo wa kumaliza..
Umeshamhariri na mleta mada?
Chaga bwoy!!!
You don't deserve to contribute anything on this........
You will spoil it and divert the meaning. You are too inferior compared to it. Bonsafooooooooooo
Mmmh kazi kweli kweli, ama kweli usimwamshe aliyelala utalala wewe. Mimi sijaelewa hata unachopinga katika nilichokiandika au unaandika tu kwa sababu ya ushabiki, lakini nahisi ulisoma harakaharaka tu bila kuelewa ukakurupuka kuandika. Kama unaandika kwa sababu ya ushabiki sawa bahati mbaya mimi siwezi kubishana nawe ktk hilo. Bahati nzuri kabisa na mbaya kwako ni kwamba mimi ni mtaalamu wa kuandika proposals/write-ups ziwe za kitaaluma au za kuombea hela na pia naijua siasa kuliko unavyoijua. I have been in active politics for 20 years. Cha zaidi nimefanyakazi na Zitto namjua in and out, na elimu ya mjerumani naijua kwa sababu nimeisoma, tena elimu kubwa tu ambayo wewe you can dream of. All the best.ulichofanya wewe ni kuonyesha ujuaji wa kiingereza lakini sio uelewa wa mambo muhimu ya kisiasa. Wengi sana wameandika hizo write up/ proposal lakini hawakufanikiwa kwa sababu zilikuwa poor writeup, haziko well organised na sio halisi/genuine, ni uongo mtupu... Ndio mana zitto aliandika schorlary writeup proposal chadema/kadima ikamwagiwa mabilioni...rudi shule acha bush lawyer
Ndugu mleta mada, kichwa cha habari sijakielewa. Pia lugha uliyotumia kwa kweli inakushusha. Nashauri tu ujifunze tena imla maana umeharibu. Ishu hapa si content wala context tu. Hata form ni muhimu sana. Hivyo ukileta mada nyingine kama itakusumbua kuweka sawa bora umpe mtu akusaidie kuhariri kwanza. Kuhusu zitto, let the nature decide maana jamaa ni mtata sana. Waweza kumuunga mkono kumbe umepotoka. Pia waweza mpinga kumbe umekosea. Atakayemhukumu zitto kihalali ni zitto mwenyewe.
ndugu nashukuru kwa kuyaona mapungufu yangu, nitajitahidi kuboresha wakati mwingine.,
Lakini kama umeshindwa kuelewa kichwa cha habari nashindwa kuwa na hakika hapo tatizo nilipi, kwamba hakieleweki ama tatizo uelewa Wako, -sifahamu.
Lakini all in all, kama kushindwa kwangu kuandika katika viwango nilivyopaswa kuandika kumekufanya kukosa kupata chochote kwenye ujumbe huu, basi naomba ifahamike tu ninacho kisisitiza nikwamba lazima tuwe makini HAKI ya msingi ya mtu yeyote isipotee.,
Mtu asiwe judged kwa taarifa ambazo hazijawa verified na yeyote.,
Mtu asiitwe tu msaliti kwasababu eti anaonekana kuwa na urafiki na watu ambao ni wanachama wa CCM, mimi nasema shutuma zi thibitishwe! Zikishindwa kuthibitishwa basi, hatuwezi kuwa na haki ya kupoint fingers hapa tukiitana wasaliti kirahisi rahisi tu hivyo.,
hii si sawa!
Nashukuru ndugu
Chaga bwoy!!!
You don't deserve to contribute anything on this........
You will spoil it and divert the meaning. You are too inferior compared to it. Bonsafooooooooooo
Ji-habari lake refu sana nikaona uvivu hata kulisoma. Ame-save.
Too much of anything is bad - Mark Twain
Fikisha ujumbe wako kwa maneno machache yasiyochosha au kukatisha tamaa kusoma. Wengi watachangia bila kusoma kikamilifu.
Nyie ndo mnao shindwa kusoma mikataba kwa sababu mirefu na kusaini bila kuelewa inasema nn.
Character X...Rule of thumb, bosi wako hawezi kukufuta kazi kwa kosa la siku moja! Itakuwa alishakufuta kazi long time! Zitto issues zake za kuihujumu CDM ilikuwa inafuatiliwa kwa karibu sana tena kwa muda mrefu sana, a moment alipokalia issue ya EPA mpaka Dr Slaa akaamua kuifumua mwenyewe, alipoteuliwa kwenye tume ya jaji Bomani, alipoanza kutumia resources za CDM kumnadi Kafulila, alipoamua kumnadi JK kwenye jimbo ake wakati wa uchaguzi, ushirikiano wake na akina ZOKA na baadae kujihami eti namba hiyo hajaitumia kwa muda mrefu, Ushirikiano wake na Dr Walid Kaborou nk... Huwezi fanya siasa kwa muda mfupi ikakuwezesha kumilliki Hammer na kiasi kikubwa cha fedha kiasi alichokuwa nacho Zitto, Zile nyumba na Gavana alizozipigia debe eti ni gharama halisi 2.8 B, Issue ya Dowans na baadae Symbio alivyokuwa anaipigia chapuo...ZITTO SI MSAFI! Kamwe hatufai katka mapambano haya ya kuikomboa nchi yetu kwa maslahi mapana ya watanzania wote... Hivi mnajisikiaje sisi kuwa matajiri number moja kwa rasilimali za kila aina Allah alizotujalia lakini tumefanywa masikini tegemezi wa kila kitu kwa misaada ya watu wa Marekani? Dhahabu, Almasi, Uranium, Gesi Vinathamani kiasi gani dhidi ya Condom na Net za Mbu?... Yawezekana kweli Tumerogwa na aliyetoroga naye alirogwa na aliyemroga!...Zitto? F..ck...ss
Wabhezyaa mkolo waane.Mjadala wa Zitto umeshafungwa....................