Zitto Kabwe More Than Meets the Eye!

Zitto Kabwe More Than Meets the Eye!

Shallow analysis......!Nilipoona title nikadhani kuna jambo kubwa lenye data na statistic na falsafa za kutisha.

Sijui niijibu vipi hoja yako, ila ninachokijua mimi ndio hicho, pia swala la ZZK lisikupe shida, because, we know how it feels, hating something you never created! Huh
 
Nguvu waliyotumia viongozi wa chadema kuzima seke seke la ZZK

Imetumika nguvu kubwa sana kuelimisha wanachama wa chadema juu ya uhalali wa maamuzi yaliyofikiwa na kamati kuu ya chama, ya kuwavua Zitto na wenzake nyadhifa zote ndani ya chama.

Kumetokea ziara za ghafla ghafla za watendaji wakuu kwenda mikoa iliyokuwa inapinga maamuzi hayo!

Hii inanifanya niamini kuwa waliovuliwa madaraka,wana nguvu ya ziada katika uhai wa chama kuliko waliobaki

Nimemaliza: wish to see you BS

Hivi ni lini unafunganae ndoa huyo basha wako?Maana inaonesha unahamu nae sana ng`ombe wewe...
 
Shallow analysis......!Nilipoona title nikadhani kuna jambo kubwa lenye data na statistic na falsafa za kutisha.

Kwani ww kizuri kwako ni kipi hasa? chenye falsafa? sina imani kama unajua maana ya falsafa.
 
sasa sielewi kinachoendelea ktk siasa zetu, kashfa hizi za mbowe, zitto znaninyima usingizi, sioni ndoto yangu ya tanzania yangu, sioni mtetez wa wanyonge, kila mtu anachumia tumbo lake sio ccm, cdm, cuf yaani wote wahuni katika rasilimali za nchi. chamsingi ngoja nihangaike na mimi kutafuta changu nimechoka na haya maisha ya hawa wahuni kuturubuni kumbe lao moja ktk nchi hii
 
CDM wakiendelea kumchelewesha Zito watajilaumu saana..! Siku 14 baado tu..!
 
I will make it short, sweet and fact based.

Zitto Kabwe lost major battles on multiple fronts.

1. He lost the "palace coup" front, since obviously his secret plan was outed.
2. He lost the democratic influence building path, since we haven't seen a successful transparent onslaught from him to attain what was outlined in the secret papers.

It then follows that he can't be all that Alexandrian. And if there is more than meets the eye in him, it must be his weakness, he is surely perceived to be more than what he actually is. For starters he does not know which battles to fight. The recent Swiss banked money hullaballoo makes him look amateurish and opportunistic than a true leader.

It's just that, in the middle of a stark, dry desert, any muddied spring would be hailed as wonderful as the miracle spring of Zam Zam, and perhaps cleaner than the Antarctic polar ice.

The fact that so many see so much in the joke that is Zitto does not reflect from his ability as some would have you believe, it is more a reflection of our lack of a serious leadership.

It has been said that "nature abhors a vacuum". In politics likewise, where there is no real leadership, any half witted nincompoop with half a dingbat's mind to chew gum and walk can project himself as the one, and plenty of people who are so disappointed in most politicians would gobble this chicanery up and be more than ready to project all their hopes into him.

Only to be disappointed.

One other thing. Do not interpret this to be an endorsement of Mbowe, Kikwete or any of the rotten lot.

As far as I am concerned, they are of the same ilk, with distinctions lacking a fundamental difference.
 
Hon. Zitto rose to prominence as a youngest MP in Tanzania. Due to his eloquence and ability to debate various motions in the Parliament, Zitto became a shinning star in the politics of Tanzania. With the help of his Party, CDM, Zitto worn the heart of many young people and influenced many students in Colleges and Universities to be active in politics.

Recently, Zitto entered into disagreement with his leaders to the point of being suspended. I may not know the details of this saga; but all I know is that Zitto is accused of betraying the Party and breaking the constitution of CDM. In addition, Zitto is accused of running his own show doing his own things independently without involving his superiors.

The Holy Book says, "PRIDE COMES BEFORE FALL"; this saying can easily be related to the situation between Zitto and his party - CDM. Mr. Zitto confessed that he joined CDM when he was 16yrs of age; which means CDM is the only political party which contributed much to his success.

My advice to Hon. Zitto is this: Please be humble and don't forget what your Party did for you. It is clear to all of us that you are no longer trusted by your senior leaders due to your actions; however, you can make things right. The saga that is going on is not benefiting your party (CDM) nor the main objective of bringing change in Tanzania. I believe there is a better way handling this crisis than what is happening now.

Mr. Zitto; you still have a chance to prove that you are a true leader. But always remember that you cannot be a leader if you cannot be led. Unless you handle this issues wisely, then the heading of my thread will become true; THE RISE AND FALL OF ZITTO KABWE!!"
 
Mbunge wa kigoma kaskazini chadema zitto kabwe ana ushawishi gani katika siasa za tanzania hsusan mvuto wake kwa upinzani? Kijana huyu mwenye hoja shawishi kwa muda sasa yuko kimya, hajitokezi kwenye matukio hususan ya kitaifa zaidi ya ushiriki wake bunge la katiba. Naona hivi sasa chadema inaporomoka kuliko kawaida, je ushawishi wa zitto sio msaada kukinusuru chama hicho??
 
ZZK ni msomi hategemei siasa tu km akna Min kabaang,Sugu,na mchungaji kichaa.
 
Zitto akinusuru Chadema ili wewe ccm ufaidike na nini?

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Zitto kabak na nguvu moja tu ambayo kila anayeitwa baba anayo na kwa undumila kuwili wake hta hio sizani atadumu nayo
 
CDM itastawi na kunawiri zaidi bila ya wasaliti akina Zitto et al...Mavi hayapuliziwi perfume hata siku moja! Zitto ananuka dhambi la Usaliti kuanzia utosini kwake mpaka kwenye kwato zake... Haiingii akilini yeye kutumika kuijenga NCCR, CCM et al na kutumia kila fursa anayoipata kuibomoa CDM halafu mseme eti CDM inamuhitaji Zitto! No way brothers, Sisters na waomba msaada UK...
 
Zitto ni ngumi jiwe

Hakuna mwana Ilboru ---- kama wewe ... punguza uchumia tumbo.. wanailboru siku zote popote pale walipo ni watu wakufanya mapinduzi ...sidhani kama ulikuwa unapata kitei na chui wewe...
 
Asalaam aleykum Jf.

Kwanza kabisa naomba moderator huu uzi ukae hapa hapa umelenga hasa kutujenga zaidi kisiasa na kiroho.

Injili: Mathayo: 13:24-43
Yesu aliwatolea mfano, akisema, ufalme wa mbinguni umefanana na mtu aliyepanda mbegu njema katika konde lake; lakini watu walipolala, akaja adui yake akapanda magugu katikati ya ngano, akaenda zake.

Baadaye majani ya ngano yalipomea na kuzaa, yakaonekana na magugu. Watumwa wa mwenye nyumba wakaenda wakamwambia, Bwana, hukupanda mbegu njema katika konde lako? Limepata wapi magugu?

Akawaambia, Adui ndiye aliyetenda hivi. Watumwa wakamwambia, basi, wataka twende tukayakusanye? Akasema, la; msije mkakusanye magugu, myafunge matita matita mkayachome; Bali ngano ikusanyeni ghalani mwangu.

Ndugu zangu; nimetafakari huu mfano na mwenendo wa Zitto ndani ya chama cha chadema kumbe alikuwa ni Yale majani yaliyokuwa yanafanana na ngano baada ya kuzaa ndipo yakaonekana kumbe si ngano ni magugu!

Baada ya chadema kugundua kumbe Zitto na wafuasi wake yalikua magugu ndani ya chadema, mchakato wa kuyachoma moto ulianza mara moja. Moto umekuwa mkali sasa wanakimbia mmoja baada ya mwingine si mmesikia Kigoma, Temeke, Ubungo na huko kanda ya magharibi.

Ifahamike kwamba chadema walishajua haya magugu muda mrefu kwa kuwa viongozi ni wenye huruma waliwapa muda wa kujirekebisha ili warejee njia ya haki wao waliendelea kujimvinjari katika kukiumiza chama.

Rai yangu kwa chadema mnapo fanya chaguzi zenu ndani ya chama, epukeni mapema kupanda mbegu mkalala usingizi na kumpa nafasi adui, kupanda magugu katikati ya ngano itakuwa vigumu kutambua yupi ni chadema damu na msaliti.

Mwenye tafakari zaidi ya hii anakaribishwa kuchangia na kuboresha.

Naomba kuwasilisha.
 
Asalaam aleykum Jf.

Kwanza kabisa naomba moderator huu uzi ukae hapa hapa umelenga hasa kutujenga zaidi kisiasa na kiroho.y

Hakika lilikuwa gugu hatari tunashukuru mwenyezi mungu ameweza kutufunulia mapema kabisa japo tulichelewa kidogo.huyu jamaa hafai ona hata sura yake imejaa machozi ya watanzania wanyonge masikini wanaonyonywa na jopo la mafisadi.
 
Hoja imepita na kuungwa mkono. Sasa nitawahoji; wanaoafiki waseme ndiooo... na wasioafiki waseme sio. Waliosema ndio wameshinda. Mjadala umefungwa.
 
Back
Top Bottom