Hivi wewe utajifunza lini kiingereza?Very nice Analysis!
You hit the Ball....
Hivi wewe utajifunza lini kiingereza?Very nice Analysis!
You hit the Ball....
Siku haiendi bila kumtaja zitto. Nani amekwambia zitto anakaa quotas za chuo kikuu? Juzi mlisema anaishi kwenye bungaloo, leo tena anakaa chuo kikuu. MtachanganyikiwaZitto anaishi kimjini mjini.Hata mahali anapoishi mlimani kotazi za udsm ni kwa demu wake ambaye ni mtumishi wa chuo
Wewe tatizo lako ni mvivu wa kufikili hebu ni nikukumbushe hii ukiacha mgombea urais ni mbunge yupi aliyezunguka majimbo mengi zaidi kuwapigia kampeni wabunge wenzake zaidi ya zitto n
wenyewe ccm hawaaminiani! Ndio wamwamini zzk??? Labda kwa kuihujumu cdm! Iko agenda lazima!wanamtetea kwasababu wanamuamini. Na wanahisi anatendewa isivyo haki