matumizi ya fedha wanajua watu watatu tu,mtendaji mkuu,msaidizi na mtunza fedha by waraka wa ushindi 2013
zitto siyo saizi
yenu kabisa.
matumizi ya fedha wanajua watu watatu tu,mtendaji mkuu,msaidizi na mtunza fedha by waraka wa ushindi 2013
Mwacheni Zitto apumzike why all the time mnamtafuta ? Mwacheni sasa inatosha fanyeni kazi zingine .
Kwani Zitto ni chupi mpaka useme mambo ya saizi?zitto siyo saizi yenu kabisa.
Nguvu waliyotumia viongozi wa chadema kuzima seke seke la ZZK
Imetumika nguvu kubwa sana kuelimisha wanachama wa chadema juu ya uhalali wa maamuzi yaliyofikiwa na kamati kuu ya chama, ya kuwavua Zitto na wenzake nyadhifa zote ndani ya chama.
Kumetokea ziara za ghafla ghafla za watendaji wakuu kwenda mikoa iliyokuwa inapinga maamuzi hayo!
Hii inanifanya niamini kuwa waliovuliwa madaraka,wana nguvu ya ziada katika uhai wa chama kuliko waliobaki
Nimemaliza: wish to see you BS
Shallow analysis......!Nilipoona title nikadhani kuna jambo kubwa lenye data na statistic na falsafa za kutisha.
kwani zitto alivuliwa vyeo kwa takwimu na uharisia upi,najua unajuta kukosa kumuua zitto.humuwezi.