Mimi nashindwa kuelewa huu unafiki tunaoukumbatia watanzania. Zitto hajaanza leo kuwasaliti CHADEMA, hakuna mtu mwenye akili timamu atasimama na kutamka toka moyoni kuwa Zitto ameonewa. Hata wana CCM tunaotaka ushindani wa kisiasa hakuna haja ya kumsapoti Zitto,mtu msaliti hata akija CCM ataendeleza tu usaliti wake. Mwenyekiti wetu Mh. Kikwete angekuwa na uchu wa madaraka kama Zitto,naapa mbele za mungu asingekuwa raisi wetu hii leo jap6 kama angependa kuigawa CCM hapo 1995. Mimi naenda mbali na kuamini kuna baadhi ya makabila hayapaswi kupewa madaraka makubwa hapa nchini. Huku usukumani ukitaka kuoa hapo miaka ya nyuma tulikuwa tunatahadhariswa kuoa mchanga-wapo kwa pesa, wahaya-si waaminifu kwenye ndoa,msukuma-hajui mapenzi isipokuwa kazi. Waniramba-ujiandae kukamata ugoni dkk yoyote! Kwa mifano hiyo midogo naomba muangalie mwenendo wa Kafulila hata alipoenda NCCR-MAGEUZI baada ya kutoka CHADEMA, angalieni Kaburu,muoneni Zitto alivyowageuka wenzake halafu watu mnaendelea kuunga mkono mchawi! Malaya ni malaya tu hata kama amekulia BOT. Zitto ni malaya wa siasa,mpenda sifa,mwenye kujiona kwa elimu yake ya Wajerumani. Nasema kila mara hapa jf forum Zitto alitumia hoja za migodi yetu ya dhahabu kujulikana na kujitajirisha na baadhi ya wana CCM majinzi. Wapambe wake naomba mjulisheni akome kubeba ajenda za kanda ya ziwa hasa Shinyanga kwani Lembeli anatosha kutuwakilisha akomae na mawese pamoja na migebuka huko kwao. Mimi hakuna kauli iliyoniudhi kama yakudai wakristu hawampendi Kigoma wakati mimi mtoto wangu namwita Zitto huku nikiwa mkiristu.
Umezungumza mengi,. Na mtazamo Wako nimeuona na nimeuelewa., lakini nasikitika sana kusema ninaona elements ubaguzi na ukabila kwenye mchango wako.,
umeonyesha hisia zaki baguzi na ki kabila., na hili Linaudhi., linaharibu utu na heshima ya binaadamu.,
I am so disappointed.
Sijui Ninani amekuambia kwamba wasukuma nibora zaidi ya watu wengine?? Ni nani??
nahatakama basi wasukuma ndo watu bora kuliko wengine, ebu tell me wewe Ulichagua kuzaliwa msukuma???? au ulilipia kuzaliwa msukuma? how much did you pay for??
Kwasababu kama ungekua Ulichagua tungesema wewe unaakili sana, ulichagua vyema, wengine walikua wajinga walichagua kuzaliwa kwenye makabila mabaya,. Kwahiyo hao tuwatenge, sisi ni bora kuliko wao.,
Lakini kama wote tulizaliwa tu,. Tukakua ndotukajua kumbe kuna kitu kinaitwa makabila na mimi ni kabila hili na Yule ni kabila lile, sijui unatoa wapi ujasiri wakujiona bora kuliko wengine sijui??
hivi where does any body get the audacity to even think of mimi mkabila flani ni bora wale wakabila flani wakohivi., where???
Ndugu yangu,. Hii ni aibu, aibu kubwa!!
Niaibu kwa kila mwenye mawazo ya namna hii.
Its a pity, am so sorry! Lakini hili huniudhi kuliko chochote kile anachoweza kuzungumza mtu.
Niwieradhi.