Zitto Kabwe asema Kikwete alimwambia CCM hakina muda mrefu madarakani na kumshauri abaki upinzani. Aliahidiwa uwaziri wa fedha iwapo angejiunga CCM

Kwa maoni yangu;

1. Hata kama Zito Kabwe ingetokea akasimama na Freeman Mbowe na kushindanishwa katika sanduku la kura la Uenyekiti taifa, asingeweza kutoboa kwa mwamba.!

2. Na kwa upande mwingine, tu - assume basi kuwa angetoboa. Uhakika na ukweli ni kuwa, CHADEMA isingekuwepo leo na CCM wangekuwa wanatamba watakavyo.!

3. Hata hivyo tatizo la Zito Kabwe na wenzake kwa sababu ya kuyataka madaraka kwa njia yoyote (ukiwa ni mpango wa CCM yaJakaya Kikwete kwa kuitumia TISS kuivuruga na pengine kuisambaratisha CHADEMA by then), Hawa kina Zito Kabwe na wenzake hao kwa kujua au kutojua waliingia kwenye mkakati wa CCM through TISS wakajikuta wanatumia taratibu zilizo nje ya chama ili kuupindua uongozi halali uliokuwepo chini ya Uenyekiti wa Freeman Mbowe.

4. Thank to God kwa kuwa CHADEMA waliuona uasi huo mapema na kuchukua hatua kuudhibiti.


5. Zito Kabwe mwenyewe anathibitisha leo kuwa walitumwa na CCM kuivuruga CHADEMA wakati huo. Anasem kuwa baada ya kushindwa kwa mkakati wao immediately, walikutana na mwenyekiti wa CCM na Rais wa nchi wakati huo Jakaya Kikwete na kumwambia hiki anachokisema leo kuwa; "...sasa bwana mdogo naona mkakati wetu umefeli, tunafanyeje Sasa..?"

Mtazameni usoni na kile kinachotoka mdomoni kwake. Mara Moja mtu anaweza kugundua kuwa anadanganya na kutengeneza story tu ya kumwezesha kusonga mbele ..
 
Unaweza kutunza siri kw miaka mingi sana lakini ipo siku utaropoka tu hata chooni au mahala popote. Siri duniani haipo.


Zitto hatimaye kafichua siri kuwa alikuwa akitumwa na jk kuiua chadema na baada ya kushtukiwa jk akamwambia aanzishe chama kingine ili kupambana na chadema.

Nadhani mmeamini kuwa watu wa kigoma hawafai kabisa kupewa uo gozi sijui ni kwa sababu ya umaskini wao au ni nature tu
 
Tabia tu za baadhi ya waganga njaa wapo kila mahali !
 
Wanazindua nembo ya Chama Mwenyekiti OMO hayupo, Makamu Mwenyekiti Jussa hayupo. Kuna kitu hapa
 

Attachments

  • 20240428_123906.jpg
    419.1 KB · Views: 1
Kiukweli, asingekuja Jiwe kukiimarisha chama kwa mkono wa chuma, CCM ilikuwa hoi mwaka 2025.

Jiwe aliturudisha nyuma miaka 30 iliyopita pale alipominya demokrasia ikiwemo mtindo wa kupita bila kupingwa kuanzia serikali za mitaa, madiwani na wabunge.

Enzi za Kikwete mchanganyiko wa viongozi wachaguliwa wa CCM na vyama pinzani ulikuwa tishio kwa CCM.
 
2012 na 2015 respectively...... Ni kauli mbili katika nyakati tofauti!!
 
Lema alimpiga Mwigamba ngumi ngumu ambayo Hadi Leo anaamini lilikuwa jiwe,

Hiyo yote, ni katika kukihami chama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…