Bora kuwa negative, kama ni kuwa upande wa haki, kuliko kuwa positive lakini ndio kuwa upande usi wa hakiCDM ni lazima wajue strategies za kumaliza mambo sio kila wakati kuwa negative tuu.
Kwa hotuba ya Mh Rais na kurudia maneno ya kwamba kusamehe kupo naona kutakuwa na msamaha kwa Mbowe. Ila wakati gani msamaha utatoka ndio siwezi kujua; ima utatoka kabla ya hukumu kwa DPP kupiga Nolle ama baada ya Mbowe kukutwa na hatia na kupewa adhabu na Mh Rais kutumia mamlaka yake ya Kikatiba na Kisheria kumsamehe Mbowe. Yote kwa yote naona Mama amekuja na jani la mzeituni akitaka maridhiano; mwenye masikio na asikie.Nawasalimu wanajukwaa.
Acha niende moja kwa moja kwenye hoja, nimemfuatilia kwa umakini Mh. Zitto jinsi ambavyo amekuwa akiendesha siasa zake na nikiri huyu Mh. hafanyi siasa kwa mihemko bali akili kubwa sana.
Wakati wengine wakisusia mkutano yeye amekwenda na alipopewa nafasi amemuomba Mh. Rais ikiwezekana kiongozi mwenzao mwenye changamoto za kisheria aachiwe, kwakweli ameonesha ukomavu wa kisiasa.
Pongezi kwako Zitto Kabwe.
Niwatakie kazi njema wanajukwaa.
Tunamshukuru tunaopenda siasa za nchi hii,hiki ndii kitu tulichokuwa tunakisubiria.Kwa hotuba ya Mh Rais na kurudia maneno ya kwamba kusamehe kupo naona kutakuwa na msamaha kwa Mbowe. Ila wakati gani msamaha utatoka ndio siwezi kujua; ima utatoka kabla ya hukumu kwa DPP kupiga Nolle ama baada ya Mbowe kukutwa na hatia na kupewa adhabu na Mh Rais kutumia mamlaka yake ya Kikatiba na Kisheria kumsamehe Mbowe. Yote kwa yote naona Mama amekuja na jani la mzeituni akitaka maridhiano; mwenye masikio na asikie.
Yaani ukiamua kutotumia akili uliyopewa na Mungu ni ujinga wako.Nawasalimu wanajukwaa.
Acha niende moja kwa moja kwenye hoja, nimemfuatilia kwa umakini Mh. Zitto jinsi ambavyo amekuwa akiendesha siasa zake na nikiri huyu Mh. hafanyi siasa kwa mihemko bali akili kubwa sana.
Wakati wengine wakisusia mkutano yeye amekwenda na alipopewa nafasi amemuomba Mh. Rais ikiwezekana kiongozi mwenzao mwenye changamoto za kisheria aachiwe, kwakweli ameonesha ukomavu wa kisiasa.
Pongezi kwako Zitto Kabwe.
Niwatakie kazi njema wanajukwaa.
Staged,Nawasalimu wanajukwaa.

utasikia tu.Sijaskia mkuu kasemaje?
Muhimu Zitto ana busara sana ameenda na agenda ya kuomba muafaka Mbowe awe huru.Staged,
Zitto ni mwenzao na wanamtumia kutafuta gia ya namna ya kumuachia Mbowe
Muhimu ni kuacha uonevu na kubambika watu kesi,sio unafiki wa kumpaisha Zitto asiyostahili.Muhimu Zitto ana busara sana ameenda na agenda ya kuomba muafaka Mbowe awe huru.
Nampongeza sana.
Uko sawa. Dawa ni kuwapuuza (ignore) tu wapotelee mbali. Kinachowavimbisha kichwa CHADEMA ni kuwa, pamoja na kufutwa kwenye ubunge na nafasi mbalimbali nchini, bado watu wengi hasa viongozi, wanachama na mashabiki wa CCM wanashindwa kuwa-ignore.Ili uwe na akili kubwa lazima ufuate kile CDM wanachotaka na kuamini...ukienda tofauti nao tu kidogo basi wewe ni akili ndogo, msaliti nk..
We Dada una mambo yani CHADEMA wamnyenyekee SAMIA ili aruhusu mchakato wa Katiba Mpya?? uliwahi kuona wapi mtawala ambae Katiba ina mfeva aruhusu mabafikiko ya katiba.
Kuutua KaziUjinga mzigo
Maridhiano at CHADEMA's grave expense. Kinachotafutwa tangu awamu ya nne, hasa ya tano, ni ama CHADEMA ife kabisa (literally) au ipoteze ushawishi (credibility) mbele ya Watanzania. Serikali ya CCM haitakaa ikubali uwepo wa chama aina ya CHADEMA nchini. Ni suala la kufa na kupona. CHADEMA and CCM are mutually exclusive. Hence, CHADEMA has to die for CCM to exist.Kwa hotuba ya Mh Rais na kurudia maneno ya kwamba kusamehe kupo naona kutakuwa na msamaha kwa Mbowe. Ila wakati gani msamaha utatoka ndio siwezi kujua; ima utatoka kabla ya hukumu kwa DPP kupiga Nolle ama baada ya Mbowe kukutwa na hatia na kupewa adhabu na Mh Rais kutumia mamlaka yake ya Kikatiba na Kisheria kumsamehe Mbowe. Yote kwa yote naona Mama amekuja na jani la mzeituni akitaka maridhiano; mwenye masikio na asikie.
Eti akili kubwa 😂😂😂ila wabongo daah, weng ni very dormant!!Nawasalimu wanajukwaa.
Acha niende moja kwa moja kwenye hoja, nimemfuatilia kwa umakini Mh. Zitto jinsi ambavyo amekuwa akiendesha siasa zake na nikiri huyu Mh. hafanyi siasa kwa mihemko bali akili kubwa sana.
Wakati wengine wakisusia mkutano yeye amekwenda na alipopewa nafasi amemuomba Mh. Rais ikiwezekana kiongozi mwenzao mwenye changamoto za kisheria aachiwe, kwakweli ameonesha ukomavu wa kisiasa.
Pongezi kwako Zitto Kabwe.
Niwatakie kazi njema wanajukwaa.
Ni akili kubwa maana hajakataa wito na katika wito kamuambia Mama ana kwa ana jambo lake.Eti akili kubwa 😂😂😂ila wabongo daah, weng ni very dormant!!