Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,035
- 12,812
Nani nyani wa pwani ya hindi?!!!!!Na ndio unataka HESHIMA ,, yaani nyinyi nyani wa pwani ya hindi hamjuhi hata maana ya heshima.
Mnabana na sauti kabisa kuwa kuna kujadiliana
Kumbe si mkomavu wa mijadala ?!!!
Kinyume chake usingetanguliza ARGUMENTUM AD HOMINEM kwa kunihusisha na pwani bila ya kujua nitokako.......tena ukanitukana mimi na hao watu wa pwani.....😳😳
Bado mko na safari ndefu sana ya KUTOELEWEKA.....