Zitto Kabwe amuomba Rais Samia amuachie Mbowe

Zitto Kabwe amuomba Rais Samia amuachie Mbowe

Bora hata Zitto kaenda na kasema hyo issue ya mbowe hao Susa Susa hawajitambui kabisa
Uwe unabadirisha pedi walau mara 1 kwa siku
Mama yako na dada zako wakibadilisha inatosha tena uwanunulie nyingi hadi unakuja kuwasema humu indirect.
Hafu Mimi situmii Pedi sawa wewe kenge madoa doa
Unafikiri ukitoa povu ukweli utaubadiri?
 
Nani awape vichaa na wavuta bangi nchi aisee, adabu tu hawana
Adabu unatikiwa ukaidai kwa watoto, boyfriend, mchepuko au mume wako, kwenye nchi ni Katiba na sheria tu ndivyo vinapaswa kuzungumzwa.
 
Mbona miaka yote CDM na vyama vingine walikuwa wakishiriki uchaguzi huku wakijua kabisa tume sio huru na kanuni ni mbovu na kura zinaenda kuibiwa....TL alishiriki uchaguzi 2025 huku akijua kabisa anakwenda kuibiwa kura na tume sio huru..

Nawaza tuu kama kuheshimu mawazo ya watu hamuwezi hivi mkijakupewa hii nchi si tutakula bakora wananchi? kwakweli mnatutisha sana nyie watu.
Mhaya wa wapi wewe huwezi kuona uovu wa Samia? Wahaya Ni wasomi wa ku analyse issue and put them in their right perspective, lakini, strange enough you have failed that duty. Hakika wewe Ni Mhaya wa Ngara
 
Mama yako na dada zako wakibadilisha inatosha tena uwanunulie nyingi hadi unakuja kuwasema humu indirect.
Hafu Mimi situmii Pedi sawa wewe kenge madoa doa
Cariha, unaona na huyu kakunanga, una kasoro
 
Nani awape vichaa na wavuta bangi nchi aisee, adabu tu hawana
Hakuna kichaa, nadhani mambo ya bangi umeyaona kwenu....Tena kwa faza wako akivuta na kuwa hovyo na hivyo kushindwa kuwahudumia. Short of that you have no right to speak with certainty the effect of Bangi
 
Uwe unabadirisha pedi walau mara 1 kwa siku

Unafikiri ukitoa povu ukweli utaubadiri?
Ni vizuri ungemwambia hivo aliyekuzaa maana umeona kwake habadilishi ndio maana unafikiria wengine humu hawabadilishi. Charity begins at home
 
Cariha, unaona na huyu kakunanga, una kasoro
Mjinga huyo maswala ya Pedi akamwambie aliye mzaa sio huku jukwaani kwenye hoja inaonyesha Hilo ni tatizo lao, mjinga huyo na wewe una support ujinga wake
 
Hakuna kichaa, nadhani mambo ya bangi umeyaona kwenu....Tena kwa faza wako akivuta na kuwa hovyo na hivyo kushindwa kuwahudumia. Short of that you have no right to speak with certainty the effect of Bangi
Wavuta bangi ndio Wana case daily huko police na wengine ni magaidi ya nchi kabisa, acheni bangi muache kukamatwa daily sisi kwetu hamna wahalifu kabisa
 
Mwanamke akishika madaraka akipewa challenge na mwanaume uhisi amedhalauliwa,kumbe ni inferiority complex ndo inawasumbua
Vipi magufuli aliyewapa vipigo na case na yeye alikuwa mwanamke?
 
Ni vizuri ungemwambia hivo aliyekuzaa maana umeona kwake habadilishi ndio maana unafikiria wengine humu hawabadilishi. Charity begins at home
Wewe ni muhuni tuu vile vile ni kiroboto
 
Kwa hotuba ya Mh Rais na kurudia maneno ya kwamba kusamehe kupo naona kutakuwa na msamaha kwa Mbowe. Ila wakati gani msamaha utatoka ndio siwezi kujua; ima utatoka kabla ya hukumu kwa DPP kupiga Nolle ama baada ya Mbowe kukutwa na hatia na kupewa adhabu na Mh Rais kutumia mamlaka yake ya Kikatiba na Kisheria kumsamehe Mbowe. Yote kwa yote naona Mama amekuja na jani la mzeituni akitaka maridhiano; mwenye masikio na asikie.
Jani la mzeituni....
Nimeipenda hii
 
Zitto Kabwe swali kwako, Kwani Mbowe yeye anasemaje??
 
Mbona miaka yote CDM na vyama vingine walikuwa wakishiriki uchaguzi huku wakijua kabisa tume sio huru na kanuni ni mbovu na kura zinaenda kuibiwa....TL alishiriki uchaguzi 2025 huku akijua kabisa anakwenda kuibiwa kura na tume sio huru..
Tuambie uchahuzi upi ulifanyika 2025 mkuu. Au wewe unatumia kalenda ya sayari ipi?
 
Zitto ni mjinga kama wajinga wengine,anashiriki uchaguzi huku akijua wazi sheria na kanuni za uchaguzi ni mbovu.

Sijawahi kumwamini Zitto hata siku moja ni mwanasiasa wa hovyo na ni hasara kubwa taifa kuendelea kuwa na aina hii ya wanasiasa.
Kumbe akina lissu na chadema ni wajinga pia kama wengine maana akina lissu na chadema wao ndo walishiriki hasa ule uchaguzi mkuu ambao wanadai ndio una vitimbi zaidi kuliko chaguzi zingine za wabunge na madiwani.

H
 
Back
Top Bottom