Zitto Kabwe amuomba Rais Samia amuachie Mbowe

Zitto Kabwe amuomba Rais Samia amuachie Mbowe

Maridhiano at CHADEMA's grave expense. Kinachotafutwa tangu awamu ya nne, hasa ya tano, ni ama CHADEMA ife kabisa (literally) au ipoteze ushawishi (credibility) mbele ya Watanzania. Serikali ya CCM haitakaa ikubali uwepo wa chama aina ya CHADEMA nchini. Ni suala la kufa na kupona. CHADEMA and CCM are mutually exclusive. Hence, CHADEMA has to die for CCM to exist.

Hivyo, msamaha wa mama kwa mtuhumiwa wa ugaidi Mbowe ukipokelewa bila masharti yoyote litakuwa deni zito sana kwa CHADEMA ambalo litawakata makali ya kisiasa kisawasawa. Kwa bahati mbaya sana, hakuna maridhiano na CCM/serikali yenye heri kwa CHADEMA: There is only death and the (ongoing) fight to death for the party. - And, consequently, de-facto death to multiparty politics in Tanzania. Labda tutaishi kwa amani baada ya hapo.
Hutaki muafaka wa kitaifa; national reconciliation!
 
Nawasalimu wanajukwaa.

Acha niende moja kwa moja kwenye hoja, nimemfuatilia kwa umakini Mh. Zitto jinsi ambavyo amekuwa akiendesha siasa zake na nikiri huyu Mh. hafanyi siasa kwa mihemko bali akili kubwa sana.

Wakati wengine wakisusia mkutano yeye amekwenda na alipopewa nafasi amemuomba Mh. Rais ikiwezekana kiongozi mwenzao mwenye changamoto za kisheria aachiwe, kwakweli ameonesha ukomavu wa kisiasa.

Pongezi kwako Zitto Kabwe.

Niwatakie kazi njema wanajukwaa.
Amekanusha Sasa kuwa hajaomba msamaha wa Mbowe. Unasemaje?
 
Amekanusha Sasa kuwa hajaomba msamaha wa Mbowe. Unasemaje?
Ni kweli hajamuombea msamaha Mbowe ameomba kiongozi mwenzao mwenye changamoto za kisheria asaidiwe.
 
Nawasalimu wanajukwaa.

Acha niende moja kwa moja kwenye hoja, nimemfuatilia kwa umakini Mh. Zitto jinsi ambavyo amekuwa akiendesha siasa zake na nikiri huyu Mh. hafanyi siasa kwa mihemko bali akili kubwa sana.

Wakati wengine wakisusia mkutano yeye amekwenda na alipopewa nafasi amemuomba Mh. Rais ikiwezekana kiongozi mwenzao mwenye changamoto za kisheria aachiwe, kwakweli ameonesha ukomavu wa kisiasa.

Pongezi kwako Zitto Kabwe.

Niwatakie kazi njema wanajukwaa.
Rubbish tupu. Kuganga njaa tupu.
 
Rubbish tupu. Kuganga njaa tupu.
Nawaza tuu kama kuheshimu mawazo ya watu hamuwezi hivi mkijakupewa hii nchi si tutakula bakora wananchi? kwakweli mnatutisha sana nyie watu.
 
Suala la zito naliangalia kwa kona ingine kuwa ni kumtega rais ili akitoa alichoombwa ni kuthibisha ukosefu wa utawala wa sheria. Inaweza kufanya ndo akomae zaid na hivyo mbowe aumie zaid. Wakat mwingine hata mpambe wako anaweza kukuharbia. Au la zito kamnanga rais kwa akili kubwa. Au bas anamchomea mbowe kwa akili kubwa! Cha muhim ni kuwa mbowe si tu atendewe haki bali haki ionekane ikitendeka.
 
Mimi Binafsi nampongeza Sana Zitto kabwe ..ameonesha ukomavu wa level ya juu Sana ya siasa...Ameweza kuongea na raisi kwa utulivu mkubwa na kupangilia maneno yake bila jazba mihemko na hasira...nategemea kuona hekima za raisi kwenye hili jambo
 
Uwe unabadirisha pedi walau mara 1 kwa siku
Mama yako na dada zako wakibadilisha inatosha tena uwanunulie nyingi hadi unakuja kuwasema humu indirect.
Hafu Mimi situmii Pedi sawa wewe kenge madoa doa
 
Nawaza tuu kama kuheshimu mawazo ya watu hamuwezi hivi mkijakupewa hii nchi si tutakula bakora wananchi? kwakweli mnatutisha sana nyie watu.
Nani awape vichaa na wavuta bangi nchi aisee, adabu tu hawana
 
Wakuu Hawa vyama vya siasa wanaokutana dodoma hawana posho kwel, isije watu wameenda huko kwa sabb ya posho nene, na kupiga picha na rais
 
Mwanamke akishika madaraka akipewa challenge na mwanaume uhisi amedhalauliwa,kumbe ni inferiority complex ndo inawasumbua
 
Wakuu Hawa vyama vya siasa wanaokutana dodoma hawana posho kwel, isije watu wameenda huko kwa sabb ya posho nene, na kupiga picha na rais
Posho wanalamba wanaoendesha kesi ya Mbowe.Jaji posho laki 5 kwa siku laki ya kulala.
Kwann wasiipige danadana Ili waendelee kupiga pesa.
 
Back
Top Bottom